CHADEMA Yatangaza makubwa kwenye Hukumu ya viongozi wake wakuu Machi 10, Jumanne

Na ole wake kama ikulu itakuwa ameandaa hukumu ya kuwafunga watu wasio na hatia. Atakuja kujuta.
 
Hukumu inaandaliwa ikulu kisha itasomwa kwenye ile Kangaroo Court sasa nini itakuwa hatima ya Mashinji aliyeenda kuunga mkono juhudi.

Huyo atawapa hao wanao-dictate hiyo hukumu wakati mgumu sana maanake defection yake wameichagiza at a very wrong time. Let us wait and see.
Mashinji hii kesi ya chadema haimhusu. Yuko sisiemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitafurahi sana wakiswekwa ndani. Nataka kuona hawa wanaopiga kelele humu mtandaoni watafanya nini hadharani. Pia itasaidia kuwaambia hawa wa mtandaoni ni wapiga kelele wa humu tu na hawana tofuti na TOOTHLESS BULL DOGS!!!!

Kwahiyo unafunga watu bila kuangalia haki unaangalia mtandaoni anaongea nini mtu?

Yaani impartiality inayotakiwa na mtoa maamuzi mahakamani inaondoka anachukua mtandaoni nani kaongea nini?

What shit is this?
 
Tukijaliwa nitahuduria mahakamani. Kuja kusikiliza hukumu.
 
Kwahiyo unafunga watu bila kuangalia haki unaangalia mtandaoni anaongea nini mtu?

Yaani impartiality inayotakiwa na mtoa maamuzi mahakamani inaondoka anachukua mtandaoni nani kaongea nini?

What shit is this?
The shit has been started by this thread. How comes he threatens the court for the coming verdict? I repeat, let them found guilty and see what stupid people who keep throwing threats will do!!
 
Nitafurahi sana wakiswekwa ndani. Nataka kuona hawa wanaopiga kelele humu mtandaoni watafanya nini hadharani. Pia itasaidia kuwaambia hawa wa mtandaoni ni wapiga kelele wa humu tu na hawana tofuti na TOOTHLESS BULL DOGS!!!!
Mnajivunia kale kadola kenu alikokasema bashru.
 
Back
Top Bottom