CHADEMA yatajwa mgomo chuo kikuu...

Wewe kweli TAHILA,kosa langu ni nini hapo??
SHANGAZI MKUBWA WW!

Unajua kuna hoja zingine bwana yaani hata hazielewi hivi hakuna hoja ya maendeleo hata kidogo? Udsm udsm chadema chadema unahuakika?? Uhakika uliopo ni chuo ambacho kinazidi kuporomoka kiubora kutokana na uongozi uliopo hapa chuoni ni mbovu wa kidikteta hausikilizi wanafunzi, ANAYEBISHA HILI ANIKOSOE PLZ
 
mr. mzumbe;
WEWE NI WA KUHURUMIWA NA KUSAMEHEWA KWANI HUJUI ULITENDALO. NINA WASIWASI SANA NA UELEWA WAKO. SASA KWA MAWAZO KAMA HAYA ULITEGEMEA NA WEWE USOME UDSM? ACHA CHUKI ZAKO KWASABABU HUKUPATA NAFASI YA KUPITA UDSM NDUGU YANGU. KUTOFANIKIWA KUPITA UDSM ISIWE SABABU YA KUTOONA YANAYOENDELEA DHIDI YA VIJANA WETU PALE UDSM. JARIBU KUWA NA UELEWA NA YANAYOENDELEA KWA WALE VIJANA WETU, KWANI NI MATOKEO YA MFUMO NDIYO UNACHANGIA HAYA YOTE KUTOKEA.

WALE VIJANA WA PALE UDSM NA KWENYE BAADHI YA VYUO HAPA TANZANIA KWASASA WANA TAABU SANA KWASABABU YA SERIKALI YETU NA MFUMO WETU WA ELIMU.

PIA USIONE SOO; KAMA TAYARI UNA BACHELOR UNAWEZA OMBA MASTER PALE UDSM; KWANI KWENYE LEVEL HII PERFORMANCE INA UMUHIMU LKN SIYO SANA KAMA WKT UNAJIUNGA BACHELOR. KWANI KWENYE MASTER 2 YRS EXPERIENCE NI MUHIMU NA USHINDANI SI MKUBWA SANA, KWANI WANAOOMBA BACHELOR WANAKUWA WENGI KULIKO WANAOOMBA POSTGRADUATE. JARIBU KUACHANA NA CHUKI HATA KTK MAMBO AMBAYO NI MUHIMU KWA MASLAHI YA NCHI YETU.
 
chadema=udsm!!nahamini hki kitu kitakuwa sawa.
Nitaanza na vigezo vifuatavyo :-
1.wote wana-tabia ya kudai haki kwa njia ya maandamano.
2.wote ni waoga,wakitishiwa nyau tu wanarudi tunduni.
3.viongozi wao ,wengi wao ni wanafiki.
4.wanapenda sifa kwa wananchi.
5.wote umaarufu unapotea au unapungua kwa speed ya ligh.
6.maandamano yao uwa hayana mafanikio.
7.....
8,....
9.....
Ebu endelezeni ndugu zangu wapendwa!!
Kama unabisha,"raise intellectual defence".
Source:wanaojielewa wote watakuwa na source.
acha usenge wako ,udsm itabaki kuwa chuo cha taifa milele hata mkilalama vipi na huo ndo ukweli.cdm ni mbadala wa kweli wa watanzania.endelea kusoma vyuo vyenu vya kata tuonane duniani
 
Wewe kweli TAHILA,kosa langu ni nini hapo??
SHANGAZI MKUBWA WW!

Ungekuwa na mdogo wako ambaye amefaulu na amepata chuo lakin hawezi kusoma kisa hana mkopo usingeeleza upuuzi kama huu! Hebu nenda chuoni hata wiki moja uone taabu zilizopo pale! HAUJAFANYA UCHUNGUZI,HAUNA TAKWIMU HAUNA SABABU YA KUANDIKA AU KUZUNGUMZA!
 
Uongo mtupu hakuna mkono wa chadema hapa. Ni haki zetu na za wadogo zetu na za watanzania kwa ujumla ndiyo tulizokuwa tunazitafuta mbele ya mafarisayo haya na udikteta wao.
 
alafu wewe jinamizi nilishakushtukia kuwa umetumwa na nape kujiunga,umeanza rasmi kuonesha rangi yako..yaani elfu 2 za nape ndizo zinazo dhalilisha utu wako!! Kweli ukilaza bado hauna tiba by mwita25.
 
jaman kuna mashoga humu,.yaan wadogo ze2 wanafukuza kwa kudai haki mnafananisha na chadema..njoo nikusugue kwa gunzi kwan naona basha lako halikutimizii vizuri..

asalaaaale!hapo ujue umetukana chuo kizimz cha mzumbe
 
Uongo mtupu hakuna mkono wa chadema hapa. Ni haki zetu na za wadogo zetu na za watanzania kwa ujumla ndiyo tulizokuwa tunazitafuta mbele ya mafarisayo haya na udikteta wao.

wanatafuta pa kujishikiza,ila ukweli utabaki palepale.
 
Nakuomba ulifute hilo jina la mzumbe kwanza ww kijana.., alafu uweke gamba au fisadi. Unakidhalilisha hicho chuo!
Yaani ww ni kilaza wa mwisho! Watu km nyie kule CHINA... Mnanyongwa!!
 
Note:
kama unapinga...toa vigezo vya kupinga..sio kulalamika na kutukana!!
Mwenyewe haujatoa vigezo vyenye mashiko kusapoti utumbo ulioandika,nani mwenye muda kutafuta vigezo vya kujibu upupuwako, aliyesema wewe mke mdogo wa Nape alikuwa sahihi kabisa, kama unatumika na JK na CCM yake, huko huko kwenye kahawa zenu, JF tunajadili hoja za msingisio ujinga wako, kama vipi sepa....!!!
 
Back
Top Bottom