CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

Semeni yoote enyi wana-LUMUMBA, na msidharau wananchi wa Arusha na maamuyi yao na nakuapieni msema kweli ni sanduku halali la mpiga kura ndiko ukweli ulipo. CCM Arusha ni chama cha upinzani. Ndivyo ilivyo kwani baada ya 4-0 sasa ni 1-0..
 
We mwanamke umeshachoka saivi huna nyimbo tena,umezeeka hadi maini!!
 
Gongo inaongea hapa sio wewe. Katika kata 27 nyie mtapata ngapi?
 
We mwanamke umeshachoka saivi huna nyimbo tena,umezeeka hadi maini!!
Wabejasana umeufunga rasmi mjadala huu, haya wale wa gongo waende wakanywe na sisi wachapa kazi tunaenda kulijenga taifa
 
Watu wengine maboya kweli bila kumuongele mh lema na CHADEMA siku haiishi!! Taarifa tu mh lema ndio ndesa wa A.tawn nucta
 
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge

wote nyie ni misukule wa chama cha mashuzi na simnajua misukule haipatagi maslahi yoyote zaidi ya kutumika tu
 
Na inatakiwa wakikaidi hii amri halali ya Polisi, wapigwe.
 
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge

Bora ya Lema kuliko Mkuu wa Kaya
 
Nyumbu wa Lumumba wamehamia huku kujifariji...
 
Semeni yoote enyi wana-LUMUMBA, na msidharau wananchi wa Arusha na maamuyi yao na nakuapieni msema kweli ni sanduku halali la mpiga kura ndiko ukweli ulipo. CCM Arusha ni chama cha upinzani. Ndivyo ilivyo kwani baada ya 4-0 sasa ni 1-0..

wamefanya nn kwenye kata hizo muda wote ili waendelee kuwachagua? Mbali na kung'ang'ana kumng'oa meya? Na kama kweli wewe ni great thinker ule ushindi ulikuwa wa halali? Ndo staili hiyo hiyo ya ushindi wanaitaka? Tumieni akili acheni sifa. 5years is about to finish. Samahan lakini kama hii lugha huijui mpelekee tindu lisu akupotoshe kama kawaida yake.
 
Lumumba saivi dau limeongezwa nn au kuna PaDM naona mmechangamka kweli saiv, ushirikiano wakuosha. komaeni mjiongezee kipato jamaa yupojikoni saiv
 
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?

Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.

Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.

.
Duh, nilifikiri ni mie peke yangu simuelewi. Utafikiri jamaa anaripoti kutoka chumbani alikofumaniwa.
.
 
Mkuu Msuki naomba kutofautiana na wewe katika hili. Kwanza,ki-nadharia napinga hatua ya Jeshi la Polisi kuzuia maandamano ya amani iwe kwa CCM, Chadema, CUF or whatever party or socio-political group. Si kweli kuwa eti Chadema wakiandamana ni chanzo cha fujo na uporaji kwani matukio haya hutokea popote utakapotokea mkusanyiko wa watu. Vibaka kumbuka ni opportunists, mwizi hana itikadi isipokuwa wizi. Pili napinga hii dhana kuwa uchumi wa Arusha unashushwa na maandamano ya Chadema. Hili haliingii akilini; iweje maandamano ya siku moja yakashusha uchumi wa jiji zima? Mimi namuunga mkono Mheshimiwa Lowassa lakini kwenye hili nasema mnawaonea Chadema bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…