CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

Lendapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
201
Reaction score
37
Cdm Arusha baada ya kupata fununu kuwa ccm na polis wanapanga kupiga bomu maandamano ya cdm,leo kupitia mwenkt wa cdm wilaya ya Arusha,mh Nanyaro,wamesitisha maandamano yao.
Lakin katka hali ya kushangaza na kuonekana kuwapendelea ccm,polis wamesema ni marufuku kuandamana kwa chadema,huku akiacha kuzungumzia kuhusu ccm waliotangaza pia jana kuwa kesho juma tano wataandamana.
 
Ccm ni halali kuandamana kesho ni siku yao wanasheherekea miaka 37 ya ccm! Chadema walichotaka kufanya ni kutia mchanga ktk chakula cha ccm, yaani waharibu sherehe za ccm kitu ambacho ni uchokozi usiovumilika kwa mtu yoyote, wapange siku yao ila siyo tarehe 05 Feb.
 
unajua arusha msituletee siasa zenu za kitoto ambazo zilishapitwa na wakati.
 
mimi nazan polis wangeachana na kombat za kaki wavae kijan na vituo vya polis vipakwe rang ya kijan njano
tujue moja kuliko kuvaa ngoz ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu
 
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.

Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza

kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?

Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?
 
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?

Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.

Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.
 
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge
 
wewe kwanini ujiunge huku kwa waelewa kama uelewa wako mdogo. IQ yako ipo below zero nikuwekee picha?
 
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge

kweli kabisa mkuu, kuna watu waliokwisha kupewa off kazini kwa maana kwamba wasingefungua biashara zao leo.
 
mkuu,chadema wakifanya maandamano ujue siku hiyo arusha hakuna shughuli yoyote ya maendeleo itakayofanyika, wafanyabiashara wote wanafunga biashara zao kwa kuogopa kuporwa na wahuni wa chadema, ndio maana uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema
 
mnaiogopa sana chadema, kwa kudhihirisha woga wenu, kwenye bandiko lako umeiandika chadema mara tatu (3) katika mistari sita. hadi mnatia huruma.
 
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.

Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza

kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?

Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?

Kumbe lengo lao huwa ni kupora?!,ndio maana baada ya maandamano maisha yao huwa yanabadilikaaaaa?!!
 
kweli kabisa mkuu, kuna watu waliokwisha kupewa off kazini kwa maana kwamba wasingefungua biashara zao leo.

Mkuu, unajua mtu ambaye ni jambazi, hawezi kukaa hivi hivi bila ya kuwaza kupora. Thanks polisi wetu wameliona hilo
 
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?

Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.

Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.

Mkuu jibu basi umeambiwa wewe ni zaidi ya zero,sema uwekewe picha?!
 
mkuu,chadema wakifanya maandamano ujue siku hiyo arusha hakuna shughuli yoyote ya maendeleo itakayofanyika, wafanyabiashara wote wanafunga biashara zao kwa kuogopa kuporwa na wahuni wa chadema, ndio maana uchumi wa arusha umeshuka sana kwa ajili ya vurugu za chadema
vipi uchumi wa kwenu LINdi
 
Back
Top Bottom