CHADEMA Yasimamisha Dodoma

CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Wewe kipaji chako ni kuendesha baiskeli, sasa siasa na wewe wapi na wapi!? Umbeya tuu kama dada

Nafikir limekuchoma si umbeya mnapaswa kuambiwa ukwl nyie mafisi maana akili zenu ni kama mafisi tu, ukipewa buku 7 unaridhika huku unakuja kuteseka miaka 50 nyambafu mtu kama ww unanunuliwa kwa buku 7 na kupoteza utu wako bac nakushaur kwa njaa zako ungempeleka dada yako na mama yako ili wakanunuliwe na muongeze kipato katika falimia yenu, ila kumbuka cha bure lazima utakilipa cjui ww utakilipa kwa 0713 sina shaka kwa dada yako atalipa kwa Voda ya zaman.
 
Hiki chama ni janga kabisa hakioni kuwa kuna msiba hata bunge limesimamimishwa kama heshima ya marehemu wao wanaendelea kuomba huruma kwa wanchi tena pale pale dodoma. Shame shame

Acha wafu wazike wafu wenzie shame on you fool.
 
Nafikir limekuchoma si umbeya mnapaswa kuambiwa ukwl nyie mafisi maana akili zenu ni kama mafisi tu, ukipewa buku 7 unaridhika huku unakuja kuteseka miaka 50 nyambafu mtu kama ww unanunuliwa kwa buku 7 na kupoteza utu wako bac nakushaur kwa njaa zako ungempeleka dada yako na mama yako ili wakanunuliwe na muongeze kipato katika falimia yenu, ila kumbuka cha bure lazima utakilipa cjui ww utakilipa kwa 0713 sina shaka kwa dada yako atalipa kwa Voda ya zaman.
Wewe na baba yako mtabaki kuwa wachumia matumbo miaka lake Nane, mtatumikishwa na Ukawa mpaka mkome, na nchi hii itaongozwa na CCM mwanzo mwisho! Utake usitake hilo halina ubishi.
 
Ifikapo okto a usije ukabadili id yako maana nitakutafuta nikuumbue kwa chama chenu cha walala njaa kukosa urais

Nyie ndo kila mara huwa mnabadili ID maana hata kwenye kuchangia Thread kama hii mtu anabadilisha ID karibu Mara 3 kwa mtu mmoja sisi hatuko hv na hatuishi kwa matumain kama ww unavoishi kwa matumain, Watz wanahitaj kuishi kwa uhakika bal si kwamatumain.
 
Kibaka mwingine huyu ....kwa mujibu wa Makongoro Nyerere mgombea urais wa CCM "CCM inaongozwa na Vibaka"
Mimba alokupachika mbowe hivi majuzi inakusumbua wala sio kosa lako wewe mbwiga! Endelea kula embe chachu na pemba!
 
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!

Huu ni mwaka wa mabadiliko. Hakuna rangi mtaacha kuiona. Mmezoea ushindi wa kuiba kura na mapingamizi tu! Angalia aina ya watu wanaohudhuria halafu linganisha na mikutano yenu inavyojaa watu wasio na hamasa, ndipo utambue kuwa vijana wa 2010 sio hawa wa sasa. Subirini viboko tu Octoba. Serikali za mitaa ilikuwa cha mtoto. Anzeni kurudisha mlivyopora, muda ndio huu!
 
Usifananishe umati wa kuzomba watu kutoka mikoani kwa kutumia kodi zetu, fisadi
Na umati wa CHADEMA watu wanaenda kwa ihari yao
October tutaelewana tuu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

yes kama alivyofanya mtia nia pale SHEIK AMRI ABEID KARUME

View attachment 256747
 
Nyie ndo kila mara huwa mnabadili ID maana hata kwenye kuchangia Thread kama hii mtu anabadilisha ID karibu Mara 3 kwa mtu mmoja sisi hatuko hv na hatuishi kwa matumain kama ww unavoishi kwa matumain, Watz wanahitaj kuishi kwa uhakika bal si kwamatumain.
Pole sana kama unafanya kazi ya kujichumia tumbo lako kwa kumiliki id nyingi hapa wala halitokusaidia kitu, maana hapa ni dozi tuuu mpaka utaelewa tu, punguza jazba njaa itakuua maana unavyoongea utadhani umekabwa kooni! Hahahaha pole sana maneno yangu najua yankuumiza sana. Ila ndo huvo vumilia tu ndo ukubwa huo.
 
Usifananishe umati wa kuzomba watu kutoka mikoani kwa kutumia kodi zetu, fisadi
Na umati wa CHADEMA watu wanaenda kwa ihari yao
October tutaelewana tuu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Endeleeni kuganga njaa vijana maana hamjapewa hata uji na Ukawa
 
Huu ni mwaka wa mabadiliko. Hakuna rangi mtaacha kuiona. Mmezoea ushindi wa kuiba kura na mapingamizi tu! Angalia aina ya watu wanaohudhuria halafu linganisha na mikutano yenu inavyojaa watu wasio na hamasa, ndipo utambue kuwa vijana wa 2010 sio hawa wa sasa. Subirini viboko tu Octoba. Serikali za mitaa ilikuwa cha mtoto. Anzeni kurudisha mlivyopora, muda ndio huu!
Busness as usual, mtakuwa wasindikizaji moaka kufa kwenu nyie mizoga
 
Waliopo hapo dodoma ni waganga njaa kama wewe hawajui lolote ni vibendera fata upepo kama ulivyo wewe mbumbumbu

Mara wamekuja kuwachora wakimaliza wanasepa zao, Mara ni vibendera fata upepo, which is which?
 
Huu ni mwaka wa mabadiliko. Hakuna rangi mtaacha kuiona. Mmezoea ushindi wa kuiba kura na mapingamizi tu! Angalia aina ya watu wanaohudhuria halafu linganisha na mikutano yenu inavyojaa watu wasio na hamasa, ndipo utambue kuwa vijana wa 2010 sio hawa wa sasa. Subirini viboko tu Octoba. Serikali za mitaa ilikuwa cha mtoto. Anzeni kurudisha mlivyopora, muda ndio huu!
Naona leo mmekuja kwa kasi ya ajabu kwa vioe mmeshalipwa na Ukawa, kwahiyo naona mnabundoe zenu full za mb8 hahaha ama kweli njaa inawasumbua nyie wachumia matumbo vijana wa Ukawa
 
Chadema sio chama,hiyo ni saccos ya wachaga,wanatafuta huruma ya watanzania ili wapata kutafuna ruzuku
 
Wachumia matumbo nyie mnagawana vyeo tena hadi kwa mangumi na vurugu, njaa hizo zitawaua nyie

Unaonekana umevimbewa ndugu hadi hujitambui. Waite na wenzako waje kukusaidia. Au ndio uko zamu peke yako leo. Mmeshaambiwa na mwenyekiti wenyu (wenu), jiandaeni kisaikolojia nyie magamba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom