Duniani kuna maajabu sana! Eti Chadema nao wanawaza kuingia ikulu! ukisikia ndoto za mchana ndio hizo
Ukiona mpaka wagogo wamebadilika ujue ikulu hiyooooook
Ingekua wingi wa watu ni ushindi chadema mngeshachukua nchi zamani
we boko naona una mambo ya kitoto sana na unataka kutuendesha humu jf kila muda unaongea kashfa unaona hii nchi kwasababu wewe umenunuliwa pamoja na baako kwasababu ya njaa zako na ww ni mwoga sana wa njaa ndio maana umeamua kujiuza ccmNambari wani eeeeh eheeeeeee nambari wani ni CCM, naamini enzi za utoto wako ulishaga wahi imba haka kawimbo! Je jiulize ni miaka mingapi tokea hujazaliwa huu wimbo ulishakuwepo na hadi hivi keo lijibaba umekuwa mkubwa na midevu kama mbuzi dume imekutoka lkn CCM iko pale pale! Hahaha kuna ubishi tena hapo? Eeeenh?!
we boko naona una mambo ya kitoto sana na unataka kutuendesha humu jf kila muda unaongea kashfa unaona hii nchi kwasababu wewe umenunuliwa pamoja na baako kwasababu ya njaa zako na ww ni mwoga sana wa njaa ndio maana umeamua kujiuza bccm
Na unawasiwasi sana hii nchi ikichuliwa na ukawa utaishi vipi wakati wewe.maisha yako ni kujiuza ccm huu mwaka utaluona na njaa njaa zako
Kura ndio mwamuzi.CHADEMA KWENDA kwenda ikulu ni maamuzi ya waelewa wakiwa wengi ikulu tunaingia.