CHADEMA Yasimamisha Dodoma

CHADEMA Yasimamisha Dodoma

Naiona saa ya ukombozi inakaribia.
 
Ccm walijisahau na kufikiri watanzania wa miaka ile ni sawa na kizazi hiki sasa wajitathimini upya maana ccm mwaka walishinda kwa asilimia 81 chadema 05 asilimia na 2010 walishinda kwa asilimia 61 na chadema 26 je mwaka ccm watashinda? Maana vyama vya upinzani wameungana wata pata 52 ccm 45 na 3 vyama vilivyobaki ukawa hoyeeeee
 
mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa dodoma na viongozi mbalimbali wa chama wapo hapa mwitikio wa wananchi nimkubwa sana updates zinakuja
attachment.php

attachment.php

mchungaji washirika na waumini wake kanisani wamedumaa amekimbilia siasa teh teh njaa mbaya hizi afu anapenda hela sana huyu,
 
Tatizo la maccm hawanaga hoja nimatusi tuu. Ila mjue hata watoto nao hutukana so kama hoja hamna cinibora ukubali coz niswala lakikanuni tu nyeupe cio nyeusi Ila bado muda kidogo sanaa
 
Ccm mnawakat mgumu sanaa bado sun mtajitafuta jitahidini kujenga hoja yaan kuwa ccm niutahira
 
Ccm walijisahau na kufikiri watanzania wa miaka ile ni sawa na kizazi hiki sasa wajitathimini upya maana ccm mwaka walishinda kwa asilimia 81 chadema 05 asilimia na 2010 walishinda kwa asilimia 61 na chadema 26 je mwaka ccm watashinda? Maana vyama vya upinzani wameungana wata pata 52 ccm 45 na 3 vyama vilivyobaki ukawa hoyeeeee

Kweli ukipumbazwa unapumbazika Unasema CCM wamejisahau wakati ndo wanaongoza nchi wewe ni mtu wa aina gani usiyefikiri hata kidogo ukaelewa hizo asilimia ulizozitaja ni Sarakasi na nyimbo baada ya kulewa mvinyo!
 
Hii ndiyo maana ya Taasisi.Asante Mbowe kukijenga chama hiki kwa viwango vya kimataifa
 
Kweli ukipumbazwa unapumbazika Unasema CCM wamejisahau wakati ndo wanaongoza nchi wewe ni mtu wa aina gani usiyefikiri hata kidogo ukaelewa hizo asilimia ulizozitaja ni Sarakasi na nyimbo baada ya kulewa mvinyo!
Mbilingondo helewa hili ccm imekataliwa
 
hali ccm Dodoma imekuwa tete sana magamba kimia lissu katibuwa harati za wataka ikulu
 
Attachments

  • 1433349253346.jpg
    1433349253346.jpg
    46.2 KB · Views: 353
  • 1433349275004.jpg
    1433349275004.jpg
    46.7 KB · Views: 335
Mambo yameiva sana kama wagogo wameamka nchi tuimebeba.......Chadema kwanza anza kutupa taarifa
.
 
kiboko ya maccm kanda ya kati leo kawabatiza wagogo kwenye jeshi la ukombozi
 
Attachments

  • 1433350021855.jpg
    1433350021855.jpg
    33.7 KB · Views: 347
We unadhani maisha bora ni kunywa maziwa kila siku na kula pilau na kuku plus viepe? Hahahaha una akilimza kitoto kweli wewe kijana, maendeleo huyaoni kwani ktk nchi hii?

Stupid,Idiot
 
CHADEMA/UKAWA ndiyo mkombozi wetu, na Dr.Slaa ndiye Rais wetu, VIVA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom