Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Kaa udode chama teule hiko kama inakuuma jinyonge sasa! Tuachie ccm yetu kwa raha zetu, hapati kitu mtu hapa mwanzo mwisho!Kiteule au mapinduzi ya kiwizi??!! Mungu hafungamani na wezi!
Kaa udode chama teule hiko kama inakuuma jinyonge sasa! Tuachie ccm yetu kwa raha zetu, hapati kitu mtu hapa mwanzo mwisho!Kiteule au mapinduzi ya kiwizi??!! Mungu hafungamani na wezi!
Waliopo hapo dodoma ni waganga njaa kama wewe hawajui lolote ni vibendera fata upepo kama ulivyo wewe mbumbumbu
Mungu hapendi wezi wanaokula ruzuku za chama kama wanavyofanya akina Mbowe na Kaka yake SlaaChadema nimpango wa Mungu ndio maana mkifanyacho tunajua
CCM ni kama yule bondia Mayweather hang'oki kitoto, hata muende mkaroge hamuwezi kukitoa hiko chama ng'oooo chama teule hiko
Upepo wa baba yako mchumia tumbo!TUKUMBUSHE VILEE.. WEWEE UNAFATA UPEPO WA WAPI VILEEEE????:confused2::confused2:
Endeeleni kujidanganya wachumia matumbo wa Ukawa nyie, lkn ukweli mnaujua kwamba chama hiki ni chama teule na hakitakuja kutoelewa na kiumbe yeyote yule in this Universe!Mkuu kama Tanu iling'oka basi na ccm inawezekana
basi na wewe nendaga kwa waganga ukagagnge il chadomo kipite afu uone kama kitapita!
hivi kati ya ccm na Chadomo nani wanafanya maigizo? Nyie mmetafuta urais kwa muda gani mpaka hvi leo? Je mmewahi kuupata huo urais? Sasa hauoni hapo nyie mnaigizo, sawa sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
Nambari wani eeeeh eheeeeeee nambari wani ni CCM, naamini enzi za utoto wako ulishaga wahi imba haka kawimbo! Je jiulize ni miaka mingapi tokea hujazaliwa huu wimbo ulishakuwepo na hadi hivi keo lijibaba umekuwa mkubwa na midevu kama mbuzi dume imekutoka lkn CCM iko pale pale! Hahaha kuna ubishi tena hapo? Eeeenh?!Siyo kosa lako Maana wale fisi kwa ccm ni binadamu
Naona mumeo kaenda bafuni kakuachia katecno kake unamalizia kibundle chakeEndeeleni kujidanganya wachumia matumbo wa Ukawa nyie, lkn ukweli mnaujua kwamba chama hiki ni chama teule na hakitakuja kutoelewa na kiumbe yeyote yule in this Universe!
Mkutano mkubwa sana unaendelea mdaa huu hapa Dodoma na viongozi Mbalimbali wa Chama wapo hapa mwitikio wa Wananchi nimkubwa sana Updates zinakuja
![]()
![]()
Kwa Macho ya Ccm hao ni FisiSasa wew jamaa HOVYO..ndo unaona hawa ni watu ,kwenye manispaa kama Dodoma ,kwanza mpiga picha kapiga kijanja janja ili ionekana halaiki ya watu
Na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yapo wapi kwenye kale kawimbo chenu?Nambari wani eeeeh eheeeeeee nambari wani ni CCM, naamini enzi za utoto wako ulishaga wahi imba haka kawimbo! Je jiulize ni miaka mingapi tokea hujazaliwa huu wimbo ulishakuwepo na hadi hivi keo lijibaba umekuwa mkubwa na midevu kama mbuzi dume imekutoka lkn CCM iko pale pale! Hahaha kuna ubishi tena hapo? Eeeenh?!
Kaa udode chama teule hiko kama inakuuma jinyonge sasa! Tuachie ccm yetu kwa raha zetu, hapati kitu mtu hapa mwanzo mwisho!
Basi na wewe nendaga kwa waganga ukagagnge il Chadomo kipite afu uone kama kitapita!
Wanao Tangaza nia ccm wanautu?Huo mkutano kama umehudhuriwa na Wabunge hao Wabunge watakuwa hawana utu kabisa yaani mwenzao yuko kwenye jokovu wao kuzidi kuongezea wengine pressure badala ya kuomboleza!!!