CHADEMA yashinda uwenyekiti mji mdogo Usa River leo

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni. Pamoja na utundu uliotumika wa CCM kuongeza madiwani watatu nao wapige kula lakini juhudi zao ziligonga mwamba na Ndugu Malisa kutoka kwenye ukumbi akiwa kidedea.Pia jopo hilo limemchagua makamu mwenyekiti nao ikaenda kwa CHADEMA na kuchaguliwa ndugu Richard Mkungu kwa kula nyingi na kumbwaga Richard wa CCM kitongoji cha Usa Madukani. Kwahiyo pia nafasi ya makamu wa mwenyekiti ikaenda CHADEMA.
ni hatua nzuri sana....ni vema sasa tukaangalia na mikoa mingine maana inavyoonekana mwamko bado kidogo huku mikoani......
 
Ushindi wa CHADEMA ukanda wa Arusha is no longer interesting news to me. Nitafurahi siku mtakapokuwa mnaongelea ushindi wa CHADEMA Mtwara, Lindi, Zanzibar, Tanga, Tabora, Dodoma etc. Lakini kwa Arusha wala haitushitui hata kama madiwani wote wangekuwa ni wa CHADEMA. Maana ipo dhahiri kwamba Arusha ni ngome ya CHADEMA.

hatua inaanzia kwenye mlango wa nyumba yako. ukatae ukubali ndo matokeo hayo. mia
 
Inatakiwa wafanye kazi pasipo kupiga madili ya rushwa na kupendeleana. Waache tamaa ya vitu vya wizi wajue wanajenga njia ya uaminifu ya watanzania
 
Siyo chadema lakini. Upinzani Tanzania bado kabisa.

Kwa stahili hii bado mna safari ndefu sana. Kila siku chama chenu kinajenga na kubomoa![/QUOTE]

CCM kinauwa na kuchinja kikiwatumia polisi by kikwete.
 
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni. Pamoja na utundu uliotumika wa CCM kuongeza madiwani watatu nao wapige kula lakini juhudi zao ziligonga mwamba na Ndugu Malisa kutoka kwenye ukumbi akiwa kidedea.Pia jopo hilo limemchagua makamu mwenyekiti nao ikaenda kwa CHADEMA na kuchaguliwa ndugu Richard Mkungu kwa kula nyingi na kumbwaga Richard wa CCM kitongoji cha Usa Madukani. Kwahiyo pia nafasi ya makamu wa mwenyekiti ikaenda CHADEMA.

Mungu aendelee kutupigania.
 
Back
Top Bottom