Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Wapi Nape atoe kauli kuwa ni OIL CHAFU hao. Dah raha sana, yaani mtu unafungwa magoli wewe unaendelea kucheka tuu kuwa ni oil chafu, haya Nape endelea kutukana wapiga kura.

Upande wa pili wa shilingi mimi nadhani Nape anafanya makusudi kabisa kuua ccm na inawezekana ni shushushu wa CDM
 
huko nako ni kanda ya kaskazini? Haha haaaa! Magamba chaliiiii! Nape yuko wapi! Hao ni viongozi wa matawi tu wa cdm ndo wamefanya huu unyama kwa magamba.
 
Siku hizi ana ID nyingi kweli subiri atakuja....
 
Kaza buti twende kaza. 2014 ni uchaguzi wa vitongoji, huo uwe ni mwanzo wa kusambaratisha magamba nchi nzima.
 
CCM imekwisha kufa siku nyingi inasubiri kuzikwa,hongereni sana wakazi wa Shinyanga kwa jinsi mlivyo na mwamko,safi sana sana CHADEMA kwa ushindi mlioupata.
 

Naupenda sana huu wimbo

Naimaaaaani na CHADEMA iyo! iyo! iyo!
 
Very well done CHADEMA.

Hicho kiti kimoja walichochakachua msinyamaze wala kupuuza, pia kwa ccm kupata mitaa mitatu (halali) lifanyiwe kazi labda tu kama mitaa hiyo wanakaa wahalifu na wahamiaji haramu maana hizo kwa sasa ndizo ngome za ccm.
 
Hii chama kwisha kabisa. Halafu mtu anasimama na kupiga kelele, oh CCM itaendelea kutawala? Wakati kinaanguka?
 
Kwa heri CCM ngoma inogile! hakuna kulala mpaka kieleweke mpaki kusema ya Kaskazini tu.
 
Very well done CHADEMA.

Hicho kiti kimoja walichochakachua msinyamaze wala kupuuza, pia kwa ccm kupata mitaa mitatu (halali) lifanyiwe kazi labda tu kama mitaa hiyo wanakaa wahalifu na wahamiaji haramu maana hizo kwa sasa ndizo ngome za ccm.


Jumla,ilikuwa viti 12. Kilibaki cha Misungwi Uzogole,kata ya Ibadakuli. Ambacho nacho kimebebwa na CHADEMA. Hivyo,mpaka mwisho,CHADEMA nane, na CCM nne!
 
[h=6]Operation ya fukuza ccm manispaa ya shinyanga imeleta mafanikio makubwa sana baada ya ccm kupigwa kama mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi mjini shinyanga. [/h]Miongoni mwa kata ambazo ccm imeshuhudia zikidakwa na CDM ni pamoja na
[h=6]1. Magadula.
2. Ndembezi.
3. Bugweto.
4. Lubaga
5. Kitangili.
6. Luhende.
7. Mwamala.
8. Bugimbagu
[/h]Kwa habari za juu juu (ambazo bado hazijathibitishwa) ccm inaelekea imekosa hata kata moja
Kwa ujumla hali ni mbaya sana kwa magamba ndani ya manispaa hii hali inayopelekea MASELE kutokua na chake 2015
my take
CCM itegemee kuzikwa totally 2014 maeneo mengine
 
Ukifanya mtihani lazima usikilizie majibu. Haya ndio ndio majibu ya M4C sasa judge mwenyewe umefaulu au umefel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…