Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
HoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUsiwastue mapema. CCM Hoyeeeeee.
HoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiUsiwastue mapema. CCM Hoyeeeeee.
operation ya fukuza ccm manispaa ya shinyanga imeleta mafanikio makubwa sana baada ya ccm kupigwa kama mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi mjini shinyanga.
miongoni mwa kata ambazo ccm imeshuhudia zikidakwa na cdm ni pamoja na
1. Magadula.
2. Ndembezi.
3. Bugweto.
4. Lubaga
5. Kitangili.
6. Luhende.
7. Mwamala.
8. Bugimbagu
kwa habari za juu juu (ambazo bado hazijathibitishwa) ccm inaelekea imekosa hata kata moja
kwa ujumla hali ni mbaya sana kwa magamba ndani ya manispaa hii hali inayopelekea masele kutokua na chake 2015
my take
ccm itegemee kuzikwa totally 2014 maeneo mengine
Operation ya fukuza ccm manispaa ya shinyanga imeleta mafanikio makubwa sana baada ya ccm kupigwa kama mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi mjini shinyanga.
Miongoni mwa kata ambazo ccm imeshuhudia zikidakwa na CDM ni pamoja na
1. Magadula.
2. Ndembezi.
3. Bugweto.
4. Lubaga
5. Kitangili.
6. Luhende.
7. Mwamala.
8. Bugimbagu
Kwa habari za juu juu (ambazo bado hazijathibitishwa) ccm inaelekea imekosa hata kata moja
Kwa ujumla hali ni mbaya sana kwa magamba ndani ya manispaa hii hali inayopelekea MASELE kutokua na chake 2015
my take
CCM itegemee kuzikwa totally 2014 maeneo mengine
bila wasiwasi kabisaa nyinyiem hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Duh, hii ni kweli au propaganda?...
mkuu ungepiga sm kwanza na wewe ndo upost duh kweli JF inakaribia FBAsante kwa taarifa yenye matumaini juu ya ukombozi wa taifa hili,ila tunaomba taarifa hizi ziwe za kweli!haipendezi kama taarifa hizi zitakuwa sio sahihi,hapa JF sio mahali pa kuleta mzaha,na ili kuhakiki,itanibidi nimpigie simu katibu wa mkoa wa CDM-Shilungu shela Nyangaki kupata ukweli wa jambo hili
Kwa sisi wanachama wafu wa CCM hii ni dalili nzuri kwani muda wa wale mafisadi na wafanyabiashara uchwara, walioingia kwenye chama kutafuta madaraka ili wachume, kuondoka sasa umewadia. Wakitoka tu tunafufua kadi zetu na kutangaza siasa za UJAMAA na KUJITEGEMEA na kurudisha misingi ya AZIMIO LA ARUSHA kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi.
Hakuna chama kitakachopambana na CCM itakayoundwa upya kwa misingi hii kwani vyama vyote kwa sasa ni makuwadi wa soko huria kwa sera na vitendo vyao.