Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Nyahende upo humu tata,mbona nshomile wanatajana humu harafu mula wewe kimya.
 
Wakuu Heading naona imekosewa ingesomeka hivi: CCM YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA KWA KUZOA VITI 4 KATI YA 11. Hii inatokana na hali halisi ya chama hicho.
 
mkuu kuwaita vipofu watu washinyanga ni kuwakosea adabu mwamko uliko pale shinyanga ni wajuu mno..yaani hawa takikusikia kitu kinaitwa ccm na mdudu dhaifu..

Hana kumbu kumbu huyo achana naye shinyanga tangu 1995 ilikuwa na majimbo 3 chini ya upinzani kati ya kumi ya mkoa. Bariadi mashariki, magharibi na jimbo la kisesa.Soma historia ya vyama vingi tanzania usiandike kufurahisha nafsi yako huku ukidanganya umma
 
Vipofu wameanza kuona

Hebu fafanua; Vipifu walikuwa ni CCM au CDM? kwa mtizamo wangu vipofu walikuwa ni CCM waliposema vyama vya upinzani ni vya msimu na/au hata wakiondoka wote nitabaki mwenyewe na CCM haitakufa (Nape et al, 2012)
 
ngoja kwanza nitoroke ofisini, nikajipongeze walau kwa kiroba cha konyagi! People Power bwana!!

mkuu muda wa kukaa na kujipongeza bado unaonaje hako ka hela ka kiroba ukikadumbukiza kwenye fuko la M4c ikawakombea watu wa mikoa mingine
 
Tata

nisamehe bure.....tufanyeje Tata enshoni nkazatugoba omwikombo?

kyoma shumalamu, chadema tunatisha lakini si km njaa, kama ni raha pia utamu ndo huu, dah siku yangu leo imekuwa nzuri sana, thanks alot for good news, …… rip ccm 2015
 
Last edited by a moderator:
Wakazi wa dar mnaopenda ubwabwa vitambaa laini vya ccm,mpo hapo wasukuma wamewapiga bao mbaya na ujanja wenu!
 

Binafsi picha ninayoipita ni kwamba "Alakua enkole abanza n'Omugobe" Kwa kuanza na ushindi mkubwa ngazi za chini ni dalili tosha uchaguzi wa ngazi za juu dalili ya ushindi ni wazi.
 
Back
Top Bottom