Chadema yashinda 7 kwa 4, Shinyanga

Habari hii haikunifurahisha sana, kwani CDM imeniangusha mno kwa kushindwa kuchukua viti vyote hii inaelekea bado tunakazi kubwa ya kufanya. Makamanda tusife moyo tuongeze bidii kwani hakuna sababu ya kutoa nafasi kwa CCM kupata hata kiti kimoja: Peoplessssssssssssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Shinyanga walishazika CCM siku mingi, Dr.Slaa jiandae kuongoza nchi iliyofilisika, lakini tuna imani na wewe utarejesha matumaini, ulisema hutaingia ikulu kwa kumwaga damu za watu 2015 utaingia bila tone kudondoka maana hata uchakachuaji wa magamba hautawezekana kutokana na margin itavyokuwa kubwa.Karibuni shytown.


Dr Slaaa namkubali sana lakini mwee 2015 si atakuwa kishazeeka sana..na atakuwa kaanza kuwa DHAIFU
 
Mkuu Omutwale, hiyo kwa kanuni zetu za JF ni name callling.

Mkuu Gagnija

Nilifikiri name calling code inafanyika kwa mtu kusema Omutwale ni James Paul kumbe pia kusema asili ya pen ID ni kuvunja sheria? Sikujua!! Lakini wenye asili wenyewe wanapenda kutambuliwa na wanaona fahari pamoja na mapungufu ya hivi karibuni katika Mkoa wao. Si unaona?!

Umenisahau waitu omutwale.
 
CDM 2na mvuto na 2nakubalika na Watz na hizi ndizo dalili za 2015; ila niwaombe mlioingia mjengoni kutuwakilisha (CDM), hoja nzuri mlizo nazo zinaweza kuvurugwa na maneno makali mnayotumia kufikisha ujumbe. Tupunguze myanya inayoweza kuwapa magamaba Credit. Kazi ya kuondoa magamba imeshaisha, hivyo hatupaswi kupoteza "RISASI" kwa ajili ya Kupambana na MBU. Pepleeeeeeeeeeeeeeeeeees..........
 
Mkuu Gagnija

Nilifikiri name calling code inafanyika kwa mtu kusema Omutwale ni James Paul kumbe pia kusema asili ya pen ID ni kuvunja sheria? Sikujua!! Lakini wenye asili wenyewe wanapenda kutambuliwa na wanaona fahari pamoja na mapungufu ya hivi karibuni katika Mkoa wao. Si unaona?!
Nilikuwa natania tu. Ni mapungufu gani tena unayosema?
 
Thante thana kwa taarifa kweli Jf 2meweka dunia mkononi, magamba hoii..
 
Shinyanga walishazika CCM siku mingi, Dr.Slaa jiandae kuongoza nchi iliyofilisika, lakini tuna imani na wewe utarejesha matumaini, ulisema hutaingia ikulu kwa kumwaga damu za watu 2015 utaingia bila tone kudondoka maana hata uchakachuaji wa magamba hautawezekana kutokana na margin itavyokuwa kubwa.Karibuni shytown.
Fikra hizi husababishwa na ndumu nyingi na viroba heko zikiisha kichwani utaelewa sanaaaa!
 
Ni ukweli unaoonwa na hata kipofu kuwa shangwe ya mabadiliko inapigwa vema kwingineko Tanzania lakini si Kagera. Na si kwamba wanashangilia kwa minajili ya kushangila bali pia wanapiga hatua za maendeleo kwa kasi.

Wanakagera kuendelea kukumbatia ccm ndo upungufu mkuu. Ingekuwa vema kama hatutaki kubadili utawala wa nchi wakati tunafanya vema na kunufaika na mfumo wa sasa. Kinyume chake hali yetu kiuchumi inazidi kwenda halijojo kila sekunde tunayoendelea kuikumbatia ccm. Mazao ya biashara yamekufa, vyama vya ushirika vinazidi kuwafanya wakulima maskini, tuko karibu na nchi zote za ukanda wa Afrika Mashariki lakini hatunufaiki na mipaka kuliko Walioitelekeza ccm mapema, kwa elimu yetu mkoani sasa wala hatustahili kuitwa NSHOMILE. Tukiitwa hivyo na wachaga waitweje? Yaani we niache tu kwa sasa niishie hapa.

Kama bado hujaafikiana nami kuwa haya ni mapungufu karibu tudadavue huku https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ungumze-tufanye-maamuzi-na-tuchuke-hatua.html

Nilikuwa natania tu. Ni mapungufu gani tena unayosema?
 
Kama kawaida nami nitawaisha moto kama huu kwa siazi yangu Ludewa huo ni mwanzo tuu,Nawapongezeni sana
 
bado ,mpaka kielewe.CCM NI SUMU TENA YA PANYA ,HAWANA HURUMA HATA KIDOGO...OGOPA WATU WANOPITISHA KILA KITU 100%

SUMU ......100%

MFUMUKO WA BEI......100%

BUDGET MBOVU......100%

UFISADI HADHARANI......100%

MWENZAO KAONGEA PUMBA ......100%


NI CHAMA AMBACHO HAKINA STRATEGIES ,HATA STD 7 KNOWS ......100%....HUU NI ULEMAVU WA AKILI AU NI MKUMBO?......100%,......100%,......100%,......100%


JAMANI NIMECHOKA.
 
Hongera sana wananchi, wapiga kura na wana-CHADEMA huko Shinyanga kwa ushindi hu wa uhakika na usio na utata dhidi ya MAGAMBA! Kwa kweli mmeanza kutuonesha njia sahihi na murua itakayotukomboa kutoka kwenye utumwa na shida hizi chini ya CCM. Naamini majirani wenu huko Mwanza, Geita,Kagera na Mara wameipata hiyo; na wao wafuate njia ili tukomboke ifikapo 2012.
 
Hivi hiki chama cha CDM sio kile cha msimu, au ni kile kinachokubalika na watu wa kaskazini tu? Naona kama kumbukumbu zangu zinakwenda kando kidogo vile. Itabidi kina malaria sugu waje wanikumbushe
 
Back
Top Bottom