CHADEMA yasambaza PikiPiki nchi nzima

CHADEMA yasambaza PikiPiki nchi nzima

Hahahahahahahahahaaa!! MOLEMO!!!
DON'T be obsessed by politics of poor Countries like Tanzania! utaishia kujitia kiberiti!!
Ningesema maneno ya aina hiyo hiyo dhidi ya JK ungeshangilia au kutoa maneno matamu ya kuunga mkono!
Kwa taarifa yako Katibu mkuu wa CHADEMA ndo mtendaji mkuu wa chama!! hata ma-auditor wanamhoji yeye kuhusu matumizi si mbowe. Kubaliana nami kuwa Mbowe kapotoka kwa kauli yake hiyo hasa katika kipindi hichi ambacho chama chake ndo kinasimika mizizi!! You must learn to be flexible!! ccm wapo rigid ndo sababu wanayumba. sasa nanyi mkiwa rigid kama wao hakika tutashuhudia mnavyosambaratika!!

BY THE WAY: MBOWE ANGEPUNGUKIWA NINI KAMA ANGESEMA CHAMA KITASIMAMIA UZAMBAZAJI WA HIZO PIKIPIKI KWA KARIBU ZAIDI? BADALA YA KU-PERSONALIZE USIMAMIZI WA HIZO PIKIPIKI?. CHEO CHA MWENYEKITI NI TAASISI SI MTU BINAFSI. KITENDO CHA KUSEMA YEYE KAMA MBOWE ATASIMAMIA IS DEADLY WRONG!! HASA KWA CHAMA MAKINI KAMA CHADEMA!!

MTU anapojitangaza kuwa yu-professor, sisi tunauangalia huo u-prof. chadema ikisema ni chama makini nasi twaangalia huo umakini. kama vile ccm wanavyojigama ni chama cha wafanyakazi na wakulima ambapo tumeshawakataa kwa kuwa si chama cha hao watu tena bali ni chama cha wafanyabiashara!!

Acha upofu mkuu wangu.

Waambie Magamba waliokutuma kwamba Mbowe ndiye kiongozi mkuu wa chama na ana mamlaka ya kusimamia kila kitu.Pia watonye magamba wenzio kuwa Dr Slaa ndiye Mratibu mkuu wa kila kitu.Huwezi kuwatenganisha Dr Slaa na Mbowe kwa jambo lolote.Hawa ni Miamba wa CDM.Una lingine zaidi?
 
Mimi nilijua hizo pikipiki ni kwa ajili ya kuwasaidia wakina mama wajawazito na wagonjwa maeneo husika, kumbe kwa ajili ya viongozi wa chadema kufika huko na kuwapa watu elimu ya uraia,lengo likiwa ni kuikataa CCM na kuchagua Chadema 2015.Helicopter vipi haziwezi kufika huko.Kweli ndugu zangu mpo katika Strategic Dialema ya hali ya juu.Mzee Sabodo umri umekwenda sana yule,Shauri zenu.Tumieni rasilimali kidogo mlizonazo kwa kutatua kero za wananchi lazima watawachagua tu,lakini siyo kwa namna hii ya kuzunguka kama Kikwete(Vasco da Gama)

Vipi bado unaota? Kumeshakucha mkuu ni mchana saa hizi.
 
Duuu nawaonea huruma CHADEMA, mmejitahidi weeee kuelimisha watu, mmejitahidi kufichua mafisadi, mmejitahidi kufuatilia walioiba fedha wakaficha nje; Kwa jitihada zote hizo mlitakiwa mtuongoze na wanaotuhumiwa wapigwe chini lakini mwisho wa siku wananchi wanawapa madiwani 5 kati ya 29. Huenda kuna kitu hamjawajulia hawa wapiga kura au mbaya wenu hamjamjulia. Ila msikate tamaa mungu yupo pamoja nanyi. Kuna siku ndoto yenu itatimia na mtafurahi nasi watanzania tunaopenda haki tutashangilia na kufurahi huku tukinwa wine zetu.

Wewe unafanya nini kwa ajili ya nchi yako, maana usisema chadema itakufanyia nini, sema wewe utaifanyia nini nchi yako! Kama unakaa unategemea chadema ukuletee ukombozi huitendei haki nchi yako, maovu hushamiri pale wanaopenda haki wakikaa kimya!
 
bakini kuwa rigid kama hao wenzenu ccm!
tutawashuhudia mkianguka!
Molema: Mimi sio CCM wala CHADEMA.
ninakosoa kupongeza na kutahadhalisha. fuatilia post zangu utaliona hilo. sichangii kwa ushabiki au ukereketwa!
CHADEMA bado kinajiimarisha kwa hivo ni lazima viongozi wake wawe makini katika kauli zao. huo ndo ulikuwa ujumbe wangu. content of the story is fine but the detail has been swaggered by Mbowe!

Acha upofu mkuu wangu.

Waambie Magamba waliokutuma kwamba Mbowe ndiye kiongozi mkuu wa chama na ana mamlaka ya kusimamia kila kitu.Pia watonye magamba wenzio kuwa Dr Slaa ndiye Mratibu mkuu wa kila kitu.Huwezi kuwatenganisha Dr Slaa na Mbowe kwa jambo lolote.Hawa ni Miamba wa CDM.Una lingine zaidi?
 
safi huku ndio kwenye wapiga kura wengi ambako elimu ya uraia imekuwa haifiki kwa muda na wakati muafaka
 
Ningepekeza hizo pikipiki zipigwe kabisa, rangi na nembo ya chadema.. Hii itachangia kujitangaza zaidi kwa chama.! :clap2::clap2::clap2::israel::israel:
 
wewe unafanya nini kwa ajili ya nchi yako, maana usisema chadema itakufanyia nini, sema wewe utaifanyia nini nchi yako! Kama unakaa unategemea chadema ukuletee ukombozi huitendei haki nchi yako, maovu hushamiri pale wanaopenda haki wakikaa kimya!

umenena!
 
mkoa kilimanjaro unawatesa sana

Kweli kabisa,tena toka kipindi cha ukoloni, wakati chifu wenu mareale alipoenda New york(UN) kudai uhuru wa watu wa kilimanjaro,na pia mwaka 1995 mrema alivyosema katika uchaguzi,kuwa akishinda kiti cha uraisi, atawafukuza wahindi wote wenye maduka kariakoo ili maduka hayo yataifishwe kwa wachaga.Kiukweli mambo haya yanaogofya sana katika jamii ya kitanzania yenye makabila mengi.
 
Back
Top Bottom