CHADEMA yasambaratika Sengerema

si kweli tabasam baada ya kuona post yako nimempigia,yaani mpaka kushangaa ameshindwa,Gamba wewe acha uongo.
 
kwel nyie n malmbuken, kupata 2 tuu ndo mnafurah..
mbna sisi tumepokea zaid ya wanachama 2000000p lakn tumetulia?
kaa chin ujtadhimin kabla t
ya kuleta uzi

Uongo mtupu
 
Mwambie Ngejaie aliyekutuma uandike utumbo huu , kua amemeza Sindano asuburi kujisaidia (long call) mtarimbo !
 
5days Left Tutaelewa Nan Ni Nan!!Hzo Zote Mbwembwe Tunangoja Kampeni Sasa!!
 
Mbona mmechelewa sana mnaanza leo wakati wenzenu ndio wanafunga mahesabu wanasubiri kuapishwa kuingia ikulu?

Wanasubiria kuapishwa amakweli Tz inapaswa maombezi du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…