CHADEMA yasambaratika Sengerema

CHADEMA yasambaratika Sengerema

Hamis Tabasamu kakasirika baada ya kutokuchaguliwa kugombea ubunge, aliyechaguliwa ndugu Shejamabu aliwahi kuwa mpinzani mkubwa wa Ngeleja na anakubalika mpaka vijijini, hivyo ushindi ni lazima
 
aliyekuwa mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekiti wa chadema sengerema.

Kazi ndo kwanza haijaanza

arudi tu si ndiko alikotoka! Hana mbele wala nyuma huyo ukiona hivyo.ina maana maovu yaliyomtoa ccm yameisha?! Au alitumwa kuja kuharibu chadema?! Ili badaye ajitoe na kumuacha ngeleja bila mpinzani! Basi kakiona: Kura kanyimwa na aende zake.
 
Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.

Kazi ndo kwanza haijaanza

Huyo amekatwa, aende salama.Ila kichwa cha uzi na habari yenyewe mbona vitu viwili tofauti, yaani kutoka mtu mmoja tena ambaye amekataliwa na wapiga kura ndiyo Chadema kusamabaratika?
 
wewe ni miongoni mwa wapumbavu humu. habari zako sio reliable hata kidogo.
haya nenda kaendelee kunywa viroba huko.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.

Kazi ndo kwanza haijaanza
 
Jana umeshuhudia wanachama wangapi walio hamia cdm kutoka ccm?tipa ya tani tatu ilijaa kadi za ccm zilizo rudishwa jana,hivyo hiyo ulio iona ni pigo kwa cdm na kuiandika kishabiki eti cdm yasambaratika ni sawa na kilo moja ya chumvi kwenye bahari ya Hindi,pole sana kwa kuendelea kuchechemea na jiandae kutawaliwa na rais lowasa

Weka picha tuone hilo tipa lililojaa kadi.
 
Kura ndo mpango mzima. Tusubiri tuone maana bado October haijafika. Chochote kinaweza kutokea kipindi hiki. Mioyo ta watu inaweza kubadilika hivyo bado muda upo.

Labda mioyo ya wana ccm wachache ibadilike na waamue kuwapigia kura wapinzani kwa maana ya ukawa
 
Jana umeshuhudia wanachama wangapi walio hamia cdm kutoka ccm?tipa ya tani tatu ilijaa kadi za ccm zilizo rudishwa jana,hivyo hiyo ulio iona ni pigo kwa cdm na kuiandika kishabiki eti cdm yasambaratika ni sawa na kilo moja ya chumvi kwenye bahari ya Hindi,pole sana kwa kuendelea kuchechemea na jiandae kutawaliwa na rais lowasa

Hzo kadi zote mbona mpya, hakuna iliyo chakaaa hata moja hapa kuna kitu
 
Huyo amekatwa, aende salama.Ila kichwa cha uzi na habari yenyewe mbona vitu viwili tofauti, yaani kutoka mtu mmoja tena ambaye amekataliwa na wapiga kura ndiyo Chadema kusamabaratika?

Unategemea ataandika kitu gani wakati ccm kwa sasa wamechanganyikiwa?
 
Huu udaku tuwaachie TBC na radio uhuru ndo wanauweza bhana.......
 
Back
Top Bottom