ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Kwako hii ndio unaona habari kubwa! !!!?Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Kwako hii ndio unaona habari kubwa! !!!?Aliekua mgombea wa ubungo kwa katika kura za maoni ndugu tabasamu amerejea ccm pamoja na mwenyekit wa chadema sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Aliekua mgombea wa Ubungo katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Aliekua mgombea wa Ubungo katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Ni makosa tu ya kiuandishi. Nadhani mhusika atafanya marekebisho
afadhali hao wamejiambua chama kimeshanunuliwa na mafisadiAliekua mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
sisimiz, tunapoteza 6, tunapata 24
Nadhani waongo ni hawa CHADEMA ambao walizusha kuwa Sumaye anataka kuhamia CHADEMA
kidumu chama cha mapinduzi.....
mleta mada edit hapo kwenye red ikae vizuri
Nadhani waongo ni hawa CHADEMA ambao walizusha kuwa Sumaye anataka kuhamia CHADEMA
Msafi nani hapo?Chenge,JK au Tiba?Nitakuwa wa mwisho kuhama CDM kwenda kujiunga na wezi wa mali za umma
kwel nyie n malmbuken, kupata 2 tuu ndo mnafurah..
mbna sisi tumepokea zaid ya wanachama 2000000p lakn tumetulia?
kaa chin ujtadhimin kabla t
ya kuleta uzi
Chadema ishasambaratika tokea siku Dr Slaa ameandika barua ya kuachia ngazi.
Mbona mmechelewa sana mnaanza leo wakati wenzenu ndio wanafunga mahesabu wanasubiri kuapishwa kuingia ikulu?
Mwambie Ngejaie aliyekutuma uandike utumbo huu , kua amemeza Sindano asuburi kujisaidia (long call) mtarimbo !