nani msafi ccm? taja hata 1 tuKazi imeanza ...baada ya wachafu kutolewa sasa wasafi wanakuja kukaa pamoja
nani msafi ccm? taja hata 1 tuKazi imeanza ...baada ya wachafu kutolewa sasa wasafi wanakuja kukaa pamoja
Utasubiri sana! Kwa mafuriko ya Chadema mwaka huu hakuna mti hautazolewa!View attachment 277291View attachment 277294
Hiyo ndo CCM. Utaipenda tuuuu. Mtaisoma namba kazi ndo imeanza.
hawa tunaopokea wasiwe chanzo cha migogoro ndani ya chama ,pia wasitumike kutugombanisha na mwisho kuhalalisha matokeo mabovu ya kukubali kshindwa bila kuhoji mahakamani .
tuwemakini watatumika kutudhoofidha, hawana uchungu na chama hawa hawajalelewa katika na vuguvugu la mabadiliko na mageuzi
nani msafi ccm? taja hata 1 tu
nani msafi ccm? taja hata 1 tu
Hao watu mbona hawajazi hata robo ya uwanja wa taifa. Uwanja wa taifa ukijaa ni watu 60,000 sasa hawa ni kama robo ya uwanja wa taifa ni watu 25,000 waliojiandikisha kupiga kura kwa dar ni watu 2.3m. Sasa ni upuuzi kufikiria hawa majobless ndio population ya wapiga kura wote. Wapiga ura wengi hatuna muda wa kwenda kwenye maandamano. Tuna shughuli zetu. Hesabu zilivyo inaelekea wazi magufuli atashinda kwa kura nyingi.
Msafi nani hapo?Chenge,JK au Tiba?Nitakuwa wa mwisho kuhama CDM kwenda kujiunga na wezi wa mali za umma
Aliyekuwa mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
Msafi nani hapo?Chenge,JK au Tiba?Nitakuwa wa mwisho kuhama CDM kwenda kujiunga na wezi wa mali za umma
alivyo uza nyumba za serikali ndio usafiKwa upande wa CCM A ni Dr John Pombe Magufuli aka Tingatinga ila kwa upande wa CCM B hakuna kwani richmond imehamia UKAWA