MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,411
5days Left Tutaelewa Nan Ni Nan!!Hzo Zote Mbwembwe Tunangoja Kampeni Sasa!!
Unajipa Iman vizuri
5days Left Tutaelewa Nan Ni Nan!!Hzo Zote Mbwembwe Tunangoja Kampeni Sasa!!
sisimiz, tunapoteza 6, tunapata 24
Tehetehetehetehe. Subiri Muziki wa Magufuli.
Aliekua mgombea wa ubunge katika kura za maoni ndugu Tabasamu amerejea CCM pamoja na mwenyekiti wa CHADEMA Sengerema.
Kazi ndo kwanza haijaanza
wa mwisho asisahau kufunga mlango
Tusubiri mziki upi wa kuja kujitambulisha tena mwz au wa kampeni. Najua mtasomba watu ili eti kumfunika lowasa, mnajisumbua bure tu
. Mikutano yenu mnatumia nguvu na pesa nyingi kuandaa ie matangazo ya tvs, radio, magazeti, malori na magari ya matangazo kibao. Sie ukawa ni mitandao ya kijamii tu halafu mwitikio ni mkubwa kuliko matangazo.
hahaha...raha bosskidumu chama cha mapinduzi.....
Mleta mada edit hapo kwenye red ikae vizuri
Kweli mkuu,hatutaki wasaliti wasalie,waondoke tu. Then tubaki tufanye mambo ya maanaKazi imeanza ...baada ya wachafu kutolewa sasa wasafi wanakuja kukaa pamoja