Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,260
Kila ubaya utalipwaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi maeneo ya Mabwepande Jijini Dar es salaam huku Mtu mmoja kati yao akiripotiwa kufariki.
Majina ya waliotambulika hadi sasa ni Peter Alex Kilomba, Emmanuel Severin, Robert Mawege, Kanifa Musa, Emmanuel Modest Munihawa na Nasri Abdallah Saidi ambapo Chama hicho kimesema Mtu aliyefariki ameshindwa kutambuliwa kwa haraka kutokana na Polisi kutoushusha mwili wake Hospitalini hapo ambako CHADEMA walikuwa wakiusubiria.
“Hali ya Naibu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Fedha ni mbaya, na taratibu za kuwapeleka katika Hospitali ya juu kwa matibabu maalum zinaendelea, ukatili huu haustahili kupita kimya, tunaendelea kufuatilia kwa karibu hatua lazima zichukuliwe”
@AyoTV_ imelitafuta Jeshi la Polisi kuhusu taarifa za kifo hicho lakini juhudi hizo hazijazaa matunda, tunaendelea kufuatilia zaidi taarifa hizi. #MillardAyoUView attachment 3314158PDATES
ACHENI UJINGAMaza amenogewa na damu za Watanganyika.
Kutaka kushiriki kusikiliza kesi wanakuua, je kushiriki kuchagua chama tofauti na CCM si utakuwa supu.Halafu kuna watu wanasema CHADEMA washiriki uchaguzi.
Yule mwehu ndio mwalimu wa huyu kaburu mwanamke.Hii ndiyo faida ya kushangilia kifo cha Magufuli
Kifo ni kifo.Apo Samia amefurahi mtu huyo kufa
Wajinga ni nyie maccm mashetani wakubwa nyieACHENI UJINGA
Wewe umeacha lini upumbavu?ACHENI UJINGA
Hahaha na sisi tunashangilia kazi anayofanya mama ni nzuri sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Yule mwehu ndio mwalimu wa huyu kaburu mwanamke.
Na tutaendelea kushangilia vizuri hata huyu mwanafunzi wake atakapomfuata huko aliko.
Sio Maza, ni wapumbavu fulani hivi wamenogewa kuuawa kiboya..!!!Maza amenogewa na damu za Watanganyika.
Anao uwezo wa kuyazuia kama akitaka, kuyakalia kimya ni kuwa anayaunga mkono.Sio Maza, ni wapumbavu fulani hivi wamenogewa kuuawa kiboya..!!!
Ona jinga hili mabwepande iko Zanzibar?Tanganyika like where ?? So tukio limewapata wazanzibar huko. Au na kule ni Tanganyika kwa katiba ya Chadema mzee ???
Though yanayoendelea so mazuri Ila punguzeni kuongopa bas.
Shetani ni wewe, ba wenzio wote mnaojifanya Nchi hii mnahaki miliki...Huyu mama ni shetani kubwa, ni aheri arudi kwao.
Tii sheria bila shuruti
Maza hawez mpinga mkuu wake mr tabasamu na lile jopo la manyuzi, riz two na rosti azizikii.Anao uwezo wa kuyazuia kama akitaka, kuyakalia kimya ni kuwa anayaunga mkono.