CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
kama matokeo ndiyo haya hata kama ni sample, CCM wamepata wapi huo shndi wa jumla?
 
CHADEMA inazidi kuwa tamu zaidi ya mcharo...

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
 
sisi kina gogo la shamba tulishasema ccm haiwezi kushinda bila wizi kwa sasa uchaguzi wowote utakaofanyika lazima ccm wapigwe chini kwa sababu hawajapata nafasi ya kuratibu wizi
 
CHADEMA inazidi kuwa tamu zaidi ya mcharo...

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50

Huo uchaguzi ulifanyika lini?.
 
Huko bunda ndio anatoka wasira au jiografia imegeuka gografia, kama ni hivyo ndio maana mzee wa watu amechanganyikiwa mpaka kasahau kanuni za kufunga koti.
 
Nashindwa hata kuamini, maana CCM wamepigwa mbaya. Naomba Tumaini Makene aje kututhibitishia hapa.
 
Mbona tume ya uchaguzi haiongelei kabisa haya matokeo. Maana mimi ninayapata kupitia katika vyanzo ambavyo sio rasmi tu
 
Rai yangu kwa walioshindwa na walioshinda tuwe kitu kimoja katika kuleta maendeleo katika sehemu zetu. Hayo matokeo yasiathiri jitihada za kujikomboa na umaskini na kuleta maendeleo.
 
Back
Top Bottom