CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

Hujanielewa, ninaposema chanzo rasmi, habari inaweza kuwa ipo JF sawa, lakini ni nani mleta habari. Maana kwa matokeo ya uchaguzi aliyetakiwa kuyatangaza ni Tume ya Uchaguzi na sio mwananchi aliye eneo husika kutuletea habari hiyo. Huo ndio u-rasmi ninaouzungumzia

Wewe gublod, Tume ya Uchaguzi haina mamlaka na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakurugenzi wa Halmashauri ndiyo wasimamizi, ila si Tume. Sawa!
 
Last edited by a moderator:

Waiter!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bia baridi tafadhali waambie na huko jikoni waaniandalie na nusu mbuzi ni sherekee na kamanda wangu hapa

Agiza na Wine toka Dodoma na Samaki wa kuchoma naja kukujoin.Sijui nikeshe,inabidi huyu baba wa toto yeye chichiem damu nimuage mapemaaaa.
 
CHADEMA inazidi kuwa tamu zaidi ya mcharo...

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50

Inatia raha sana.
 
Mkuu N'yadikwa nadhani umeshindwa kunisoma between the line hiyo ilikuwa nukuu ya Nape mwenyewe.

Hata Kama tz ishaamka mkiweka wa kwenu wananchi wanamuapisha alieshinda kihalali,mshazoea vibudu halal haiwanogi
 
Last edited by a moderator:
Eeeh Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo uhimidiwe milele kwa wema na ukarimu wako.
 
Tunasema hivi , ile misingi ya cdm iliyosimikwa kwa kujitolea tofali mojamoja kutoka kwa wananchi wenye huruma na nchi yao madhara yake ni makubwa mno!
 
aaah!!! jamani ebu tufikilie kidogo!!! miaka hamsini ya uhuru vijiji havieleweki
 
CHADEMA inazidi kuwa tamu zaidi ya mcharo...

Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50

Ningependa kushangilia, lakini nakwazwa na authenticity ya uzi huu - kwa mfano:-
Jiji la Mwanza matokeo ya uchaguzi wa Desemba yalikuwa ya mitaa 173.
Haya ya marudio ni ya mitaa 364 (nyamagana na ilemela).

Ina maana jiji lina jumla ya mitaa 537!!! yaani zaidi ya jijila Dar yenye mitaa 485!!!

mleta taarifa isije kuwa anatuzuga.
 
CCM ilikuwa inashinda kihalali kabla ya mwaka 1995. baada ya hapo ni rafu ile mbaya. inatia hasira wanaoshindwa kulazimisha kuongoza. ndio maana tunashuhudia teuzi za ajabu ajabu. Mungu aendelee kutuongoza atuvushe salama.
 
Back
Top Bottom