CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

mshindi alishajulikana

hilo ndio kosa kubwa sana la ccm kujitabiria ushindi ndio maana kwenye mechi kati ya simba na yanga wana yanga wengi wanazimiaga matokeo yanapokuwa tofauti, tafadhali usijiweke kwenye hilo kundi
 
hahahaaaaaaa! Pasco andaa wasifu wa marehemu Dec.2015 usomwe rasmi lakini Dondoo hizi ni muhimu;
  1. 'ugonjwa uliosabbisha kifo chake'
  2. Mwenendo wake 'alipokua hai'
  3. Uadilifu/ wizi 'alipokuwa hai'
  4. Ushirikiano na wenzake!
 
Nawapongeza CHADEMA Taifa, Kanda na Mitaa kwa kazi nzuri. Huu ni mwanzo kuelekea kule ambako kila raia mwema anatamani Tanzania ifike. Nawapongeza kwa dhati wapiga kura wote wa maeneo hayo, bravo!

Tusibweteke, tuwe makini na wenye nidhamu zaidi.
 
Wanna ukawa wenzangu pls tuleteeni taarifa sahihi kuna walakin mbona kwenye idadi ya mitaa?
Taarifa kama za kutungwa!!
 
Mbona matokeo hayo yananiogopesha?!

Kweli Kikwete amekuwa M/Kiti wa Taifa kivuli wa CDM.
 
MMhh hapa kuna harufu ya uongo hebu Tumaini Makene tupe ukweli tusije anza kusherekea ushindi wa CCM
 
Last edited by a moderator:
Anguko la ccm limekaribia siku zinahesabika.

Ombea adui yako aishi siku nyingi , ili unapofanikiwa ajionee kwa macho hamna haja kabisa afe kabla hajaona , baraka ambazo MUNGU ameweka mbele yako.
 
hayo matokeo nami siyaamini ingawa najua huku usukumani ccm ilishajifia siku nyingi mfano magufuri ameweka rami na taa mitaa yote hapa chato mjini lakin matokeo chadema viti 15 na ccm viti 5 hivyo magufuri hapa kawa mpinzani yuko chini ya chadema
 
Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50


Hivi huu uchaguzi wa Serikali za Mitaa huwa unasimamiwa na NEC au chombo gani? If yes, mbona hakuna taarifa zozote?




[TD="align: center"]
Tanzania.gif

[TD="align: left"]
DSC01196.JPG
DSC01195.JPG


[/TD]
[TD="width: 638, align: left"]
NEC_BANNER2.gif
[/TD]
[/TD]

[TD="align: center"] [TABLE="align: left"]
[TR]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, align: center"] [TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: left"] [COLOR=#OOOOOO] [/COLOR] [/TD]
[TD="width: 100%, bgcolor: #ECE9D8, align: left"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, bgcolor: #ECE9D8, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 458, align: left"]
Welcome Note

[TD="width: 100%"] [TABLE="align: left"]
[TR]
[TD="align: center"]
03.jpg
[/TD]
The website is intended to be a Comprehensive Resource Centre for Tanzania Election. It is also expected to reflect the Commission'broad vision of moving into the Internet way of computing for activities connected with elections and major electoral events.
The overall objective of this website is to serve as a portal for disseminating information relating to the roles and functions of the NEC, election procedures and the like meant to ensure that the elections are free and fair.

It is our hope that, to that extent, the website will be an integral part of the overall management strategy of the Commission.
(Retired Justice Damian .Z.Lubuva)
Chairman
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

doc.jpg
News & Press Release

[TD="bgcolor: #F1F6FB, align: left"]

[/TD]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B1C3D9, align: left"]
video.gif
Videos
[/TD]
[TD="bgcolor: #B1C3D9, align: left"]
doc.jpg
Vacancy and Tender [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: left"] Click for information about:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]More Videos[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD="width: 240, bgcolor: #FFFFFF, align: center"]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 2, align: left"]
doc.jpg
2010 Election Results
[/TD]

[TD="bgcolor: #ECE9D8, colspan: 2, align: left"][/TD]

[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"]Election Type[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"]Region[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"]District[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"]Constituency[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: left"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"][/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"][/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, colspan: 2"] << 2005 Election Results[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 2, align: left"]
doc.jpg
By-Election Results
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8, colspan: 2, align: center"] Parliamentary Councillors

[TD="bgcolor: #ECE9D8"]Date:[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"] [/TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"][/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"][/TD]
[/TR]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]

[TD="bgcolor: #ECE9D8, colspan: 2, align: center"]
[/TD]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 2, align: left"]
doc.jpg
Registration Status
[/TD]

[TD="bgcolor: #ECE9D8, colspan: 2, align: center"]
cardap.jpg


Click appropriate link to view your status

[TD="bgcolor: #ECE9D8, align: center"]
icon_email5.gif
[/TD]
[TD="bgcolor: #ECE9D8"] Email [/TD]
[/TD]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, colspan: 2, align: left"]
doc.jpg
Voter Education [/TD]

[TD="align: center"]
moved.jpg
[/TD]

[TD="width: 100%, align: center"]
6.gif
8.gif
9.gif
9.gif
2.gif
0.gif
6.gif
User online : 8 [/TD]
[/TD]
[TD="width: 228, bgcolor: #FFFFFF, align: center"]

[TD="align: left"]
doc.jpg
Ask the Director of Elections
[/TD]

[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: center"]

[TD="align: center"] Mr Julius B. Mallaba [/TD]

[TD="align: center"] Director of Elections [/TD]
[/TD]

[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: center"][/TD]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, align: left"]
doc.jpg
Documents and Publications
[/TD]

[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: left"] [/TD]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, align: left"]
doc.jpg
WebMail Login [/TD]

[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: center"]
email%20icon.png
Click to read Mail
(Staff only)[/TD]

[TD="bgcolor: #B1C3D9, align: left"]
doc.jpg
Photo Gallery [/TD]

[TD="bgcolor: #F4F1DF, align: center"]

[TD="align: center"] [/TD]

[TD="align: center"][/TD]

[TD="align: right"] More Photos [/TD]

[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 100%, bgcolor: #08829C, align: center"]

[TD="align: left"]
Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008, The United Republic of Tanzania, National electoral Commission All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd​
[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mwananchi anayeshangilia CCM mimi bado namshangaa sana,. kwa uzalendo gani alionao? wakae kando nchi iongozwe
 
Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50


Mimi ni CDM damu, lakini sidhani kama haya matokeo ni ya kweli. Lazima yangekuwa yamesharipotiwa na chombo kimojawapo cha habari, mfano magazeti na redio. Morogoro mjini kwa mfano hicho kitu hakipo na mimi naishi hapa.
 
Mbona tume ya uchaguzi haiongelei kabisa haya matokeo. Maana mimi ninayapata kupitia katika vyanzo ambavyo sio rasmi tu
Huu uchaguzi ulisimamiwa na TAMISEMI hivyo Tume ya Uchaguzi haihusiki na matokeo yake. Kuna haja ya Tume kusimamia chaguzi zote zinazoendelea nchini.
 
Ee,mungu muumba wa mbingu na dunia asnte kwa matunda mema ya harakat za makamanda!!!
 
Back
Top Bottom