CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

CHADEMA yang'ara Uchaguzi marudio s/mitaa

Kuonesha watu wana hamu ya kuitia CCM adabu ktk uchaguzi mkuu october 2015 wananchi wana amka mishale ya saa7 usiku kuelekea 8 usiku kujiandikisha, kule Njombe!

Nadhamira yao ni CDM.
Nami huku namsubiri huyo Jaji Lubuva kwa hamu.

Kama hutaki kuamini andamana.
 
Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
kwa hali hii kama ni kweli lazima ccm wameaacha plan A ya kupiga kampeni kubwa kutumia mahelicopter ya bluu, na kwenda plan B ambayo ni kuhahikisha wanabaki madarakani na kuunda serkali ya mseto hata kama wasipopata kura hata moja. watawatumia wajinga wao TISS na policcm kukamilisha haya yote. kwisheney checheemu
 
Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50

Hiyo ndio habari sahihi ndugu.
Ondoa kutokujiamini kwako.
CDM na UKAWA ndio habari ya mjini.
 
Ya sumbawanga yalikuwa hivi;
,
CHADEMA-39,
CCM-4
Mtaa mmoja umewekewa kipingamizi. Jumla ni mitaa 44 katika kata tatu.

Why hayamo kwenye post iyo?

Nilivyosikia mimi kupitia ITV taarifa ya habari, CDM 38, CCM 5 na Mmoja wamegongana kura - utarudiwa
 
Mimi muumini wa namba 9 katika haya matokeo,Lumumba wao waseme

Nimeikuta whatsapp kwenye group moja linaitwa ccm vs ukawa! Na wanaccm wapo kimya kama kuna mwenye hizi habari tiririke wandugu!
Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa baada ya marudio ya uchaguzi.
1: Sengerema mitaa 21, ccm5,chadema15.
2:Magu mitaa18, ccm4,chadema14.
3: Ilemela, mitaa189, ccm29,cuf3, UDP2,chadema155.
4:Nyamagana mitaa175, ccm32, Chadema142.
5:Busega vijiji32, ccm5,chadema27.
6:Bariadi vijijini, vijiji 49, ccm8,Chadema41.
7:Morogoro mjini, mitaa168, ccm45, Chadema 123.
8:Singida mashariki, vijiji140, ccm22, Chadema118.
9:Musoma mjini, mitaa 179, Ccm 0, Chadema 179.
10:Bunda, vijiji 119, ccm7,chadema 112.
11:Tarime, vijiji116, ccm24,chadema92.
12:Ukerewe, vijiji76, ccm23,Cuf3,Chadema50
 
hahahaaaaaaa! Pasco andaa wasifu wa marehemu Dec.2015 usomwe rasmi lakini Dondoo hizi ni muhimu;
  1. 'ugonjwa uliosabbisha kifo chake'
  2. Mwenendo wake 'alipokua hai'
  3. Uadilifu/ wizi 'alipokuwa hai'
  4. Ushirikiano na wenzake!

Mfu hupambwa kwa mazuri hata kama alikuwa na roho mbaya.

Haya hapa ni machache tu:
1. Hupenda kutabasamu
2. Mgawaji wa ubwabwa
3. Mgawaji wa t-shirts
4. Mgawaji wa vitenge
5. Mgawaji wa chumvi
6. Mgawaji wa mafuta ya gari
......
 
Hapo Morogoro mjini napata Mashaka kidogo,kuwa ni mitaa 168? Ina maana hakuna hata mtaa mmoja uliokuwa umefanya uchaguzi au ndo mitaa ni mingi hivo? Morogoro sio pakubwa kivile
 
Wana janvi naomba taarifa mazishi ya hii mijizi mi CCM yatafanyika makaburi gani? nami nataka angalau nikatupie udongo kidogo jamani
 
huu uchaguzi umefanyika lini mbona kuna maeneo yalikuwa na zuio mahakamani huko musoma kwani kesi iliisha mi nataka watu kutoka hayo maeneo hata maeneo matatu tu
 
he! msala hiki chama sasa kimebaki na sera ya kung'oa meno vijana wa jkt
 
Back
Top Bottom