CHADEMA yanasa mbinu chafu za RC wa Arusha kuwatumia madereva Noah kuandamana

Huyo Rama tunamtafuta popote alipo taarifa zimeshasambazwa
Atambue fika kuwa atamezwa na nguvu ya umma kama kamfuko ka rambo kanavyomezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzwa na moto mkubwa. Haipendezi kuvuta hii picha akilini. Lakini asipotii ... Hicho ndicho kina msubiri.
 
Ndugu zangu ukombozi wa Tanzania unatuhusu sote bila kujali itikadhi zetu, tushirikiane sote kupinga siasa za kikabila na udini Tanzania. Anachojaribu Mulongo ni kuwagawa watu wa Arusha kwa ukabila.
Ziara ya Obama imeisha tumerudi kwenye siasa chafu za chama cha mapinduzi. Huu ni mkakati wa ccm kuvuruga uchaguzi wa udiwani Arusha.
Akili za BAVICHA hizi na mtaweweseka sana.

Dim-wittedly makes you think majority of Tanzania good citizen can buy this nonsensical rhetoric. You still live in the past.

Wajinga tu ndiyo bado wanafikiri Tanzania haijakombolewa.

Chema chajiuza na kibaya chajitembeza.
 
Huyo mkuu wa mkoa ni shoga???? Nani bahasha wake ??? Labda lema, mbona anajipendekeza sana, anafikiri arusha ni sawa na bagamoyo?????? Hafiki 2014 tutazika
angalia mdomo uliponza kichwa ivi ni kweli wa tz wanaopoteza maisha hasa kwenye mikutano ya vyama husababishwa na cdm mbona kauli zinajitosheleza humu.
 
Mkuu wa mkoa sijui kwanini anatumika kisiasa while kiprotoko anapaswa kuwa neutral kama mwakilishi wa rais.

Tunataka kumjulisha tu kuwa kwanza kama hajui ameshakuwa public enemy tangu tukio la uhasibu. Ajifunze kwa RCs waliokuwa hapa kabla yake.
 
Mulongo ni Wakala mbovu sana wa mfumo kandamizi wa gamba Arusha.
Jambo lolote kubwa linalotokea hapa Mjini Arusha kwa sasa linawekwa kwenye mzani wa KISIASA penda usipende, na wananchi hatimaye wanajua nani yuko nyuma ya nini!

Hizo mbinu za kizee za Mulongo kwa WanaArusha hazifai maana watu wa hapa si wa level hizo, walishapita huko zamaani sana, wako anga za tofauti kabisa.

Wanaompenda huyo mtu wakamkataze wamwambie mchezo wake ni kama nguruwe anavyokaangwa kwa mafuta yake mwenyewe. Aache kujidhalilisha.
 
Hivi CCM hawana watu makini wa kutumia mbinu zinazoeleweka?mbinu wanazotumia hata mtoto wa darasa la saba anazielewa,ina maana uwezo wa kufikiri umegotea hapo?

Hivi mkiongozwa na dhaifu na mpu.mbavu unategemea mtafanya maamuzi ya busara. !?? under ccm we are heading fora dead end..
 
Akili za bavicha hizi na mtaweweseka sana.

Dim-wittedly makes you think majority of Tanzania good citizen can buy this nonsensical rhetoric. You still live in the past.

Wajinga tu ndiyo bado wanafikiri Tanzania haijakombolewa.

Chema chajiuza na kibaya chajitembeza.

Mmmh....! kweli chema chajiuza...
c.c Mulongo..
 
Ningekuwa Mulongo na ccm yangu kazi ya kuiondoa chadema ni rahisi sana yaani wala uhitaji nguvu wala maandamano Chadema ni rahisi sana kuidhoofisha dawa ya chadema ni kuleta maendeleo ya kweli na kuondoa umasikini kwa wananchi hakikiaha hakuna ufisadi,huduma zote muhimu za jamii zinapatikana tena kwa kiwango cha kimataifa aliyewadanganya watu wanataka vyama ni nani? watu wanataka maendeleo na ajira fullstop.
 
Mungi..... Itapendeza sana Kama kuna uwezekano wa kupata kithibitisho Kama audio au video hawa jamaa hawakawii kuja kukanusha na kusema CHADEMA waongo na wameanza kuwabagua wamasai.... Stay tuned hawa jamaa wanatapatapa kila kukicha anything is possible
 
Last edited by a moderator:
Magamba bwana yanafikiri hyo ndio mbinu ya kuidhoofisha CDM?,CDM ipo Moyoni mwa waTz kwa sasa
 
CCM haina viongozi wenye elimu ya kuongoza bali huongoza kwa matumbo yao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hivi kazi ya mkuu wa mkoa hasa ni nini na mkuu wilaya, hawa wapumbavu ni wa kuondoa na kama ni mhimu wawepo basi wachaguliwe na wananchi siyo hawa mahouse boy wa salma kupewa ukuu wa mkoa kwasababu kampikia vizuri...
 
Mkuu pamoja na kuwa elimu ya mkuu wa mkoa ni tatizo, lakini pia kuna shinikizo nyuma yake kuhakikisha Arusha hakutulii kisa mbunge Lema.
Kitendo cha Lema kuwa karibu na wapiga kura wake imewaudhi sana ccm na serikali yake.

Raha ya ccm ni kuona Mbunge Lema kuhamia Dar kama wengine wa ccm wanavyofanya

nampenda lema sabu anapigania watu wake akiwa jimboni kwake sio kama wabunge mapopo wanaoyakimbia majimbo Yao
 
Back
Top Bottom