CHADEMA kama CHAUSTA uchaguzi wa serikali za mitaa watapata viti viwili tu, chama kipo hoi wamebaki kula ruzuku na mabibi zao
Ntuzu.Mkuu Mimi si mfuasi Wa mtu yeyote!
Mimi sio muhubiri wala sio mwanasiasa!
Nitasema ukweli na kusimamia haki!
Hapa unaaza kukusifia chama chako Chadema.Ni majuzi hapa Lumumba Wote mlipotea hapa jukwaani na kubaki Kua wasomaji tu! Kwa hoja za kijinga mnajazana na kuleta siasa zenu za Udini na ukabila mlikua wapi ijumaa kuwatetea Mawaziri wenu mizigo!???
Lumumba Majanga kweli!
Hapa chini jisome...teh teh teh huyu ndiyo Ntuzu anayesema hana chama.Cdm ni taasisi iliyowashinda Ccm ZZK ataiweza?!!!
Mnaota ndoto huku mnatembea Kwa siasaza za kulipwa!
Hapa unawapa taarifa Chadema wenzako.Nilikwambia hapo nyuma Kua Huyu jamaa Hawezi kukuelewa na hapa narudia tena Hawezi kukuelewa Kwasababu ukiwa Ccm unakua na mawazo mgando na chakavu km kilivyo Chama chao chakavu!
Yani hii serikali mfumo Wote ni mbovu Yani chakavu!
Eti mbunge anasimama nakusema wapinzani watakua walijipenyeza Kwa vikosi vilivyotekeleza Ile Oparesheni sasa mtu unajiuliza km wapinzani wamepenya mpaka kwenye vyombo vya ulinzi si ni bora wapinzani wakapewa nchi sasa?
Huyu ndiyo Ntuzu hana chama teh teh teh.Mwanangu Naona Lumumba wameamza kuingia!
Huyo Ifwero ni gamba!
Hapa unamsifia Lema ndiyo maana mwanzo nilikuuliza wewe ni mfuasi wa Lema ukajibi kihuni.Mkuu kwenye jamvi hili Leo Wote hawapo Wamekimbia!
Juzi walikua wanatusumbua Kwa hoja ya jamaa Yao Nchemba! Leo Hawana hoja
Hapa unaendelea kumsifia Lema ili mkono uende kinywani.Lema Jembe!
Ngoja niishie hapa... wabara CHAMVIGA Bill Cosby gombesugu.Wale Wote wanaombeza Lema mmemsikia hoja zake zilivyo nzito tena jasiri na ametoa hoja nzito mpaka ikulu ameigusia!
Wape ajira hao tuingie Ikulugooood chadema,anza movement kwa ajiri ya uchaguzi wa serikali za mitaa,mda haupo
Ntuzu.
Mbona umekuwa mnafiki sana mimi hauwezi kunidanganya nakujua kuwa wewe ni mfuasi wa Lema na Chadema ukiwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu, ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.... hapa ulianza kujitoa ufahamu.
Hapa ukaanza kuonyesha rangi yako halisi unaaza kuwashambilia CCM.
Hapa unaaza kukusifia chama chako Chadema.
Hapa chini jisome...teh teh teh huyu ndiyo Ntuzu anayesema hana chama.
Hapa unawapa taarifa Chadema wenzako.
Huyu ndiyo Ntuzu hana chama teh teh teh.
Hapa unamsifia Lema ndiyo maana mwanzo nilikuuliza wewe ni mfuasi wa Lema ukajibi kihuni.
Hapa unaendelea kumsifia Lema ili mkono uende kinywani.
Ngoja niishie hapa... wabara CHAMVIGA Bill Cosby gombesugu.
:violin:
Ntuzu.
Mbona umekuwa mnafiki sana mimi hauwezi kunidanganya nakujua kuwa wewe ni mfuasi wa Lema na Chadema ukiwa muongo jaribu kuwa na kumbukumbu, ngoja ni dadavue kiduchu bayana zako.... hapa ulianza kujitoa ufahamu.
Hapa ukaanza kuonyesha rangi yako halisi unaaza kuwashambilia CCM.
Hapa unaaza kukusifia chama chako Chadema.
Hapa chini jisome...teh teh teh huyu ndiyo Ntuzu anayesema hana chama.
Hapa unawapa taarifa Chadema wenzako.
Huyu ndiyo Ntuzu hana chama teh teh teh.
Hapa unamsifia Lema ndiyo maana mwanzo nilikuuliza wewe ni mfuasi wa Lema ukajibi kihuni.
Hapa unaendelea kumsifia Lema ili mkono uende kinywani.
Ngoja niishie hapa... wabara CHAMVIGA Bill Cosby gombesugu.
:violin:
Ritz
Ntuzu ni Msukuma wa kwetu, na hayo umkumbushayo tayari nilimtahadharisha mapema lakini hakutaka nisikiza,
Ntuzu
Leo kwa ushaahidi wa Ritz alioukusanya ni sawa na kakuvua nguo ulizokuwa ukipinga hujawahi zivaa na ilhaal watu waisha kuona, sasa zivue ili kujaribu tuaminisha kuwa si weye,
Jaribu kuiga ukweli na misimamo na kuyatendea haki maandiko ya kitabu ukifuatacho (BIBLIA) ama hukiamini na hutakiyasikiza tena ya ndanimwe?!
Mie nilikuambia sina Chama, kama ni Chama, basi Chama changu ni kusimamia haki bila kujali DINI, RANGI, KABILA wala UKANDA.
Ulinielewa nduu lao?!
Pole sana, sasa itanipasa kukutafakari kwa namna ya watu kama weye, maana hata maandiko ndani ya BIBLIA yatukumbusha katika : - TITO 3:14
WATU WETU NAO WAJIFUNZE KUDUMU KATIKA MATENDO MEMA, KWA MATUMIZI YALIYO LAZIMA, ILI WASIWE HAWANA MATUNDA.
Naamini ulijisahaulisha tu nduu lao, sasa nimekukumbusha mie msukuma wa Ng'okoro Matope.
Ahsanta .
anajitahidi kufikisha idadi ya posts anazotakiwa kwa siku bila hivyo buku7 haitoki, asikuumize kichwa.Ritz weeeee!
Leo uliniuliza kua Mimi ni mfuasi Wa nani nikasema Mimi sio mfuasi Wa mtu! Hiyo ni kweli! Sasa Km Lema alitoa hoja nzuri Kwani mtu usimsapoti?
Kutoa hoja haimaanishi Kua Mimi ni mwanasiasa! Wangapi humu wanachangia hoja, Kwani kila anachangia ni mwanasiasa?
Mimi naitaji mabadiliko! Na chama ninachoona kua kua kinaweza kuleta mabadiliko ni Cdm! Kwanini nisikipende?
Wabara ndugu Yangu! Ritz kakuita na umeitika!
Nafikiri Ata wewe uliwahi kuniuliza Km Ritz alivyofanya Leo!
anajitahidi kufikisha idadi ya posts anazotakiwa kwa siku bila hivyo buku7 haitoki, asikuumize kichwa.
Kazi sn Mkuu! Leo Alipita The Big Show ktk huu Uzi! Hali ya hewa ikaharibika sn kutokana na Propaganda zake!
Sasa ukisimama kusema hizo hoja sio nzuri kwa Tz yetu Matokeo yake yanakua Km unavyoona!
Kazi sn Mkuu! Leo Alipita The Big Show ktk huu Uzi! Hali ya hewa ikaharibika sn kutokana na Propaganda zake!
Sasa ukisimama kusema hizo hoja sio nzuri kwa Tz yetu Matokeo yake yanakua Km unavyoona!
Ntuzu
Hapo ndo ujue mie nasimamia kauli zangu, na hasa kuitafuta haki na kuifuata.
Umenena mwenyewe kuwa Ritz leo kaniita nikaitika, kama ambavyo weye pia umewahi niita nkakuitika.
Where is a problem from there?, nadhani simfuati biniyadamu mwenye kuyumbishwa na Ulimwengu, ndo ukaniona nikapaswa kukukumbusha japo kwa maneno ya kitabu kileee....!
Ama pia nimefanyiza kosa kukuelekeza Bwana ataka nini kwako weye?
Si semi kuwa umekosea ila napitia na walimengu wangine hizo collections alizokufanzia Ritz ili tujiridhishe uungwana wako upo wapi?
Ahsanta.
Haa haa haaa.....!
Ntuzu,
I saw you just deal with personal attacks...!
Anyway going on coz it's among our Tz politics.
Wabara sijasema kua Umefanya kosa kuitikia wito! Ila Nimefurahi kuona uwepo wako!
Lkn tusingefika huku Mkuu tena Mimi Nilikua napita tu! Nikachungulia humu kukuta Yule ndugu yetu aliekua anasema tuwaepuke Simba na Chui na walao Nyama wote! Nilivyo ona hoja zake ndio unaona mpk ndugu zangu kina Ritz au Sheikh Farid watoe hoja zao!
Kikubwa Mkuu ni hoja safi Na pia kila mmoja na mtazamo wake!
Mkuu sio hivyo Labda hiyo Personal Attacks ndio nageiuziwa Mimi sasa!
Mbona wewe hutoa hoja nzuri na tukaelewana?
Hoja ikiwa safi Hakuna shida Mkuu!
Ntuzu,
You said, Change we need...! but there's some provocations which you like to attack someone while you based on da other side,
No doubts, i'll get something ahead from you....!
Let me be learned more about your contributions in our Matters.
Ntuzu,
Twendelee na michango,
Nisaidie weye vipi umepokea huu uzi hapo?