CHADEMA Yamwaga ajira Zanzibar.

Status
Not open for further replies.

Sikua na maana kua yaliyotokea Libya yatatoke Znz ila nilifurahi baada ya wewe kuniweka sawa na PANYA na ndio maana nikakushukuru kwa Hilo!

Eeeh! Sasa unajenga hoja nzuri na Km ungekua hivyo tangu mwanzo Wala tusingevutana!

Hizo hoja zako watakuja wanasiasa kukujibu lkn Kumbuka yaliyomkuta Morgan Tsvangirai Wa Zimbabwe na Amoro Odinga Wa Kenya baada ya kuunda serikali ya mseto chaguzi zilizofata walipigwa chini!
 

Mtu kupigwa chini sio mbaya watu wanahitaji Amani sio siasa za majitaka kama zinazofanyika huko bara,watu wanafanya chama ni mali ya baba mkwe na mashemeji na watoto halafu munasema kuna demokrasia! hakuna kitu ujanja ujanja tú.
 
Wewe ni mfuasi wa Lema?
 
Mtu kupigwa chini sio mbaya watu wanahitaji Amani sio siasa za majitaka kama zinazofanyika huko bara,watu wanafanya chama ni mali ya baba mkwe na mashemeji na watoto halafu munasema kuna demokrasia! hakuna kitu ujanja ujanja tú.


Mkuu Yani hapa sasa unajenga hoja Yani mpk Nafurahi moyoni! Eeeh namna hiyo! Safi sn Mkuu!

Ila hoja zako bado hazina nguvu! Nani anafanya vurugu? Au ujanja ujanja?
 
Nafsi hiyo imeandaliwa kwa Mzanzibar mwenye Asili ya Moshi.
 
Mkuu Yani hapa sasa unajenga hoja Yani mpk Nafurahi moyoni! Eeeh namna hiyo! Safi sn Mkuu!

Ila hoja zako bado hazina nguvu! Nani anafanya vurugu? Au ujanja ujanja?

wa lumumba huyu pandakizi wasubiri 2015 tutawapig mchan kweupe onyesha udin upo wapi hapo ndio imekuwa hoja yenu
 

hapo ndo mmemwaga ajira! Au mna mtu wenu toka kanda yenu mnatuzuga tu.
 
Kutangaza nafasi moja ya kazi ndio ku "mwaga ajira"? Heading zingine kwa kupotosha...
 
Molemo, mbona unafilisika kisiasa mdogo angu? Utahangaika sana.
umesema ajira zimemwagwa, mbona ajira yenyewe ni moja tu? Any way kule hamna akina mangi jaribuni baadaye

Ni kwamba unataka sema wazenj hawawezi hata kazi ya kupiga domo...?Kwa taarifa yako Zenj na greener pasture ya CDM kwa siku za karibuni....

walion ana kusikia kilichotokea bungeni ...waliberali walivyoumbuliwa, walisikia walipoambiwa CUF ni nyumba ndogo ya CCM...na wanaona maalim alivyobadilika baada ya ndoa na CCM...

nimeongea sana na vijana..wanasubiri kidogo CDM iwaonyeshe mziki wake,iwaonyeshe kuwa wankaribishwa.
 
Please, Itakuwa vyema kama nafasi hiyo akapewa mzanzibar wa jinsia ya Kike. Why? Political image to win the Population.

haha..unataka wa kike...?kwani jinsi wako inamata sana..?kwani ukisema mzazibari inaondoa mwanamke?
 
Hivi tatizo ni kutojua kiswahili au ni udaku tu. Nafasi moja ya ajira ndo juu unatwambia cdm yamwaga ajira!!! mmmh, ushabiki mwingine bwana! matope kabisa
 
cdm are very creative. Dola hatujawakabidhi tayari mmeshaovatek manaleta ajira kitu ambacho hakipo kwenye rasimu yenu . Magamba yametuahidi maisha bora hamna lolote zaidi ya utapeli.

Hakika Zanzibar ni yenu na Tanganyika pia. cdm oyeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…