Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Achana na siasa kahubiri injili mkuu.
Yani Mkuu nasikitika sn kuona namna unavyolidhalilisha jina lako kwa uongo!
Achana na siasa kahubiri injili mkuu.
Ndo tuseme mnataka kubalance udini makao makuu,7bu tunajua zenji atatoka shekh tu,Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.
Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
Ndo tuseme mnataka kubalance udini makao makuu,7bu tunajua zenji atatoka shekh tu,
Mtaondoka kwa aibu na mnalilia dola mm ninayo njoeni niwape hio 2015 mbona ni mbaliM4C mmelala uchaguzi wa serikali za mitaa mwezi wa kumi sio mbali,wazee tuamke tuachane na Zitto kwani kwa sasa hana jipya.
Yani Mkuu nasikitika sn kuona namna unavyolidhalilisha jina lako kwa uongo!
Kumwaga siyo lazima viwa vitu viwili ndiyo maana hata Gazeti la Habari leo liliandika Zito aimwaga chadema mahakamani.Molemo, mbona unafilisika kisiasa mdogo angu? Utahangaika sana.
umesema ajira zimemwagwa, mbona ajira yenyewe ni moja tu? Any way kule hamna akina mangi jaribuni baadaye
Mkurugenzi wa Habari wa CHADEMA John Mnyika ametangaza nafasi ya kazi kwa mtu yeyote Mzanzibar anayeweza kufanya kazi katika kurugenzi ya Mawasiliano na Mahusiano CHADEMA.
Mnyika amesema nafasi hiyo itatolewa kwa Mzanzibar yeyote atakayetimiza vigezo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Pia hii ni kuonyesha thamani ya Wazanzibar kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ambapo vigezo vyote vinaonyesha Watanzania wamejiandaa kukikabidhi dola 2015.
Wewe ni panya unang'ata na kupuliza Unajifanya muungwana kumbe hamna lolote hili li chama lenu la kikristo hatulitaki huku ZanzibarNyie si ndio hua mnalalamikia MFUMO KRISTO? Mbona Mmekua vigeugeu? Mara ccm Na serikali yake ina mfumo Kristo Mara Cdm ni wadini wakabila?! Ivi ni nani aliyewaroga!!?
mnatafuta bwana ee?
mlitaka nijiite mboo?
Chadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?
Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.
Mkuu KhawarizmChadema wanaijuwa leo Zanzibar, hebu waangalie wamefanya nini cha maana katika Zanzibar tokea CDM iasisiwe?
Si walisema wao hawana hata mipango ya kampeni Zanzibar sababu hawaitambui Zanzibar kama jimbo la uchaguzi ukilinganisha na majimbo ya Bara.
Wewe ni panya unang'ata na kupuliza Unajifanya muungwana kumbe hamna lolote hili li chama lenu la kikristo hatulitaki huku Zanzibar
teh teh,mkuu hayo ndo mambo ya jk mkuu...Ndo tuseme mnataka kubalance udini makao makuu,7bu tunajua zenji atatoka shekh tu,