PreGE2025 CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Madikteta uchwara wa Chadema na majizi ya Ccm tofauti yao ni mmoja hana madaraka tu ila wakishika madaraka ukiwa na wazo tofauti jiandae kufukuzwa hata nchi
 

Msajili mjinga mjinga unaenda kuwalipia kodi watu kama hawa🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
wamemvua uanachama the terminator?

wamefuata taratibu za katiba ya chama kweli au wanataka kufurahishwa zaidi?
Wewe kila siku nakuambia ni mtoto wa vilabuni maana hauna akili!! Yule aliyepinga Samia kujiteua vipi nae kufukuzwa kwake ndani ya CCM taratibu zilifuatwa.
 
Wewe kila siku nakuambia ni mtoto wa vilabuni maana hauna akili!! Yule aliyepinga Samia kujiteua vipi nae kufukuzwa kwake ndani ya CCM taratibu zilifuatwa.
Jikite kwenye hoja bila mihemko wala makasiriko 🐒
 

lipilau hilo, limewekwa kiunyumba na msajili kule masaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…