CHADEMA yamjibu Lazaro Nyalandu, yamkaribisha na kusema chama cha siasa ni watu

Yangu ni tahadhari tu-tusije takafikia hali ambayo ni vigumu kujua tofauti kati ya CCM na CDM.

Usiogope hatutakaa tufikie huko bali tutarudi kwenye mstari mkuu wa uongozi. Badala ya watawala tutapata viongozi tu kwani watu watajua kuwa ukiongoza vibaya tutakutoa
 
Jerry Muro na le mutuz wakiongozwa na Bashite Maliyamungu wapo busy mda huu kumtengenezea Zengwe, kumpakazia kila Aina ya ubaya, Uzushi mwingi na kuna moja inapangwa akamatwe Airport pindi akiwa anasafiri awekewe Dawa za kulevya au Madini, Siri nyingi huvuja pindi Le mutuz akiwa bar analewa hasa mara nyingi akiwa na mchepuko huropoka sana.

Haya sasa mmeanza kubadilika nyalandu Mtakatifu sasa. Kigwangalla Dr amesema Kazi kabla ya jmaa kujiuzuru. Sasa sijui unasemaje Mpendwa mwenye kuona mema ya Chadema tu.
 
Nasari alikuwa anaomba Dkt Slaa(akiwa raisi) ampe uwaziri wa mambo ya Ndani ili ashughulike na akina Nyalandu ambao kazi yao ni kushika makalio ya Maaskari wa wanyama pori, kwenda Marekeni kupiga picha na mamis.

Siasa za Chadema ngumu sana.
 
Safi sana kwani hilo ndio jibu sahihi kabisa. Chama ni watu na bila watu hatuna chama.
Enzi zile mlitaka mpaka nyeupe a.k.a mamvi auawe kwa kuchomwa moto kwa sababu ni jizi, enzi zile mlitaka Mwizi nyalandu aondoshwe kwenye uwaziri ili ajibu tuhuma za kufilisi maliasili zetu, enzi zile mliaminisha watu mafisadi kiboko yake ni upinzani, leo mnakaribisha jizi na fisadi kama nyalandu?? Hahaha kweli upinzani ni muunganiko wa wezi, na msahau kabisa kuongoza nchi hii, mtakufa na nchi mtaiacha na itaendelea kuongozwa na CCM!
 
Back
Top Bottom