Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Wewe siasa tuache tu maana tutavunjiana heshima bure...Unajua tunaizungumziaa kauli ipi Chifu?
A.k.a wa Mchangani.....Naaona mmemtimua DYlan Kerr
Hivi kocha tumetimua
Wewe siasa tuache tu maana tutavunjiana heshima bure...Unajua tunaizungumziaa kauli ipi Chifu?
A.k.a wa Mchangani.....Naaona mmemtimua DYlan Kerr
Yule mbaguzi wa kidini au mwingine?Mwanahistoria Mohammed Said alishalizungumzia.
Yote ni kwa sababu wana dola na jeshi LA police kamwe halita wagusa.Kweli kabisa mkuu... hiyo kauli ni mbaya sana kwakweli...binafsi imenistua sana.... wamelewa sifa na madaraka hawa ccm, washajigeuza Mungu ....wamesahau kuwa kinachowafanya wafanye dharau zote hizo ni upole wa wananchi... ila wakae wakijua kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na ncha...wasiwalazimishe wanachi kufika mahali na kusema sasa basi inatosha
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CCM WAMEDHIHIRISHA FIKRA ZA KIKABURU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ambayo kwa namna yoyote haiwezi isingeachwa imee katika fikra za watu achilia mbali kuachiwa itembezwe hadharani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia katika mojawapo ya mabango yaliyobebwa na wanachama wake kuiadhimisha Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, imedhihirisha kuwa inakumbatia fikra hatari za kikaburu.
Kupitia bango hilo ambalo kwa namna lilivyotengenezwa na lilivyobebwa ni vigumu kuamini kuwa liliibuka ghafla kama vile kitambaa cha mfukoni, mwanachama wa CCM akiwa amesindikizwa na wenzake, waliopita mlangoni mwa Uwanja wa Amani bila kuzuiliwa, kukemewa wala kubugudhiwa, ujumbe hatari wa kibaguzi umeandikwa 'MACHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI NCHI YA WAAFRIKA'. Hizi ni fikra za kikaburu. Ni ishara ya mbegu za kibaguzi zilizokomaa na sasa zinachipua.
Kwa wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa nchini na kipekee katika muktadha huu, siasa za Zanzibar wataelewa kuwa kauli iliyotolewa katika bango hilo, si ya bahati mbaya. Ni matokeo ya siasa za chuki zinazopaliliwa, kusimamiwa, kuratibiwa na hata kunyamaziwa na uongozi wa juu kabisa wa CCM.
Tutatoa mfano. Moja ya maskani maarufu za masuala ya kisiasa Visiwani Zanzibar inayomilikiwa na CCM iitwayo Kisonge imekuwa na kawaida ya kuandika lugha hatari zinazoashiria ubaguzi ulio wazi kabisa ulio na maudhui sawa sawa na huu uliotolewa leo kwenye Sikukuu ya Mapinduzi.
Mojawapo ya kauli ambazo ziliandikwa katika ubao ulioko katika maskani hiyo hivi karibuni wakati wa joto la Uchaguzi Mkuu uliopita, iliandikwa hivi "Katiba ni ya Unguja na nyinyi Wapemba mwende mkatengeze yenu Pemba."
Lugha hiyo na nyingine za namna hiyo kama ilivyotokea leo, zimekuwa zikitolewa mbele ya viongozi wa CCM au wanaziona lakini kwa sababu wanazozijua wao, pengine zinawasaidia katika kufikia malengo ya siasa hatarishi zinazokiuka misingi yote ya demokrasia, zimekuwa zikifumbiwa macho na kuzidi kumea vichwani mwa wanachama wao na kuleta mpasuko wa ubaguzi wa itikadi za kisiasa, rangi, kanda, kabila na hata dini, si Zanzibar pekee bali nchi nzima.
Kilichotokea leo Zanzibar, ni mwendelezo usiokuwa wa bahati mbaya bali maelekezo ya kimkakati ya kueneza propaganda za chuki miongoni mwa Watanzania ambayo ndiyo imebakia kuwa silaha pekee ya kuibeba CCM ikiwa ni dalili ya wazi ya chama kilichofilisika sera, kuacha misingi yake, kuishiwa ushawishi wa hoja na kukosa uhalali wa kisiasa hivyo kujihalalisha kwa ubaguzi kama huo.
Ni mwendelezo wa kauli za viongozi wakuu wa chama hicho ambazo hutolewa hadharani kwenye majukwaa ya siasa, wakiwabagua wanachama, wapenzi, wafuasi wa vyama vingine kuwa ni wa dini fulani, kanda fulani au kabila fulani. Wakijua kabisa hakuna kikundi chochote cha kisiasa chenye sifa hizo kwa sababu ni kinyume cha sheria na misingi ya taifa letu.
Ni mwendelezo wa kauli iliyowahi kutolewa na viongozi wa chama hicho dhidi ya viongozi wenzao na wala viongozi wakuu wa CCM hawakuthubutu hata kukaripia, tena yakiwa maazimio rasmi ya kikao kwamba "Rais wa Tanzania hawezi kutoka Kaskazini".
Kauli hiyo iliyotolewa baada ya kikao ilikuwa kauli ya kikaburu sawa sawa kabisa na ile iliyotolewa leo huko Zanzibar.
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliwahi kusema ukaburu si rangi, ni fikra.
CHADEMA tunalaani na kupinga kwa nguvu zote mipango, mikakati, tabia na chembechembe za ubaguzi wa aina yoyote, ukiwemo huu wa kisiasa ambao sasa unaanza kusakafiwa kwa ubaguzi wa rangi kwa sababu tunaamini wanaobeba agenda hii hawataishia hapo bali watazidi kutugawa Watanzania pia kwa ubaguzi wa ukanda, ukabila na udini kama ambavyo wamekuwa wakijaribu kuchochea.
CHADEMA kwa kusimamia misingi yake na kuzingatia kikamilifu misingi ya taifa letu hasa haki, uadilifu, utu, umoja na uzalendo, haiko tayari kuona taifa likifikishwa huko na kuhatarisha maisha ya jamii nzima ya Watanzania kwa sababu ya maslahi ya kikundi cha watu wachache.
Tunamkumbusha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu kuwa kauli za namna hii ambazo zimekuwa zikipaliliwa na viongozi wa CCM na wengine wakitumia nafasi za kiserikali kuchochea ubaguzi ambao ni hatari kwa amani ya nchi na usalama wa raia na mali zao, ni ushahidi wa wazi kwa ajili ya hatua za kisheria badala ya jeshi hilo kujikita katika kubambikia wanachama, wafuasi na wapenzi wa vyama vya upinzani, hususan UKAWA tuhuma na kesi zisizokuwa msingi wowote kwa maslahi tu ya kisiasa kuisaidia CCM.
Wakati tukimtaka Rais John Magufuli kutimiza kwa vitendo kauli yake ya kwamba Serikali yake haitawabagua watu kwa misingi ya kisiasa (huku Waziri Mkuu wake akitoa maagizo kinyume kabisa na kauli hiyo) tunakitaka CCM, kupitia kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete kama hakiko nyuma ya agenda hizo za kibaguzi na fikra hizo za kikaburu, kichukue hatua za haraka mara moja kuwawajibisha viongozi wake waliosimamia na kuachia jambo lililotokea leo huko Zanzibar.
Imetolewa leo Jumanne, Januari 12, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari
CHADEMA
Zama za ubaguzi zilikuwepo na sio zanzibar tu wakoloni tabia zao zilikua zinafanana hata wajerumani navwaengereza walikua hivo hivo ila mambo haya yalipigwa vita dunia nzima na mabadiliko yamepatikana ila wewe akili yako inarudi kama hao wakoloni wazamani .mganda wako wa akili ni mkubwa sanahao machotara hisbu si ndio walikua vibaraka wa usaltani wakitambulika kushiriki kuwabagua na kuwadhulumu waafrika. bila shaka bango lilikua linakumbusha tu waliofanyiwa waafrika. waafrika siku zote ni victim wa ubaguzi hata leo kwenye nchi huru za kiafrika mbari zingine hazikati tamaa kujaribu kuwabagua waafrika.
Osiombe maradhi ya kukosa akili ni shidaaIla ALILOLIFANYA Lowassa Kwenda Kuomba KUUNGWA MKONO NA KANISA LA KILUTHERI Ni Jambo La Kheri Kwenu CHADEMA Na Mmelibariki? Na Mlivyo WAPUUZI Najua Hili Bango Litawafanya Sasa Muungane Na Muweze Kupata Coverage Ktk Media Zetu Kwani MLISHAPOTEA Ktk Ramani. Siasa Zenu CHADEMA Ni Za KITOTO Na Ndiyo Maana Sasa MNADHARAULIKA Na Hata WALIOKUWA WAKIWASAPOTI. Acheni Kudandia Treni Kwa Mbele Na Tumieni Muda Huu KUJIJENGA ZAIDI KISIASA ILI ANGALAU MWAKA 2020 ACT Wasije Wakawapiga Bao Kwani Naona Kabisa CHADEMA Kinakwenda Alijojo. Mnadai CCM Tuna UBAGUZI Nani Asiyejua Kuwa CHADEMA Kama Siyo Mwana Kaskazini Kilimanjaro na Arusha Kupata UONGOZI WA JUU KABISA Ni Ndoto? Kwenu Nyie CHADEMA Mnatafsiri Vipi Ubaguzi? Nikimalizia Kwa Huyu Huyu Tumaini Makene Ambae Leo ANAJIFANYA Kuisema CCM Kwa UBAGUZI Wakati Yeye Yeye Pia AMESAHAU WAKATI WA KAMPENI ALIVYOKUWA AKIVIBAGUA Baadhi Ya Vyombo Vya Habari Kwa KUDANGANYA Na CHUKI Zake BINAFSI Hali Iliyopelekea Hadi AKAJIJENGEA UADUI Mkubwa Mpaka Leo Na Wana Habari. Huyo Tumaini Makene Na CHADEMA Yake WAKAWADANGANYE Wengine Na Siyo Sisi TUNAOWAJUA KINDAKINDAKI. Jipangeni Kwa Mwaka 2035 Kwani Mwaka 2025 Akimaliza Tu Rais Dr. Magufuli Nchi Tunamkabidhi Waziri Mkuu FUNDI au MTAALAM au JEMBE Majaliwa Kassim Majaliwa. Na Kuna Tetetsi Mr. Naumwa Muhimbili Anataka Kurejea CCM Kwani Huko Kwenu Anaona MNAZINGUA Tu.
MATAMKO NA MAANDAMANO. Ndo maana siasa inawashinda.CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
CCM WAMEDHIHIRISHA FIKRA ZA KIKABURU
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ambayo kwa namna yoyote haiwezi isingeachwa imee katika fikra za watu achilia mbali kuachiwa itembezwe hadharani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia katika mojawapo ya mabango yaliyobebwa na wanachama wake kuiadhimisha Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar, imedhihirisha kuwa inakumbatia fikra hatari za kikaburu.
Kupitia bango hilo ambalo kwa namna lilivyotengenezwa na lilivyobebwa ni vigumu kuamini kuwa liliibuka ghafla kama vile kitambaa cha mfukoni, mwanachama wa CCM akiwa amesindikizwa na wenzake, waliopita mlangoni mwa Uwanja wa Amani bila kuzuiliwa, kukemewa wala kubugudhiwa, ujumbe hatari wa kibaguzi umeandikwa 'MACHOTARA HIZBU ZANZIBAR NI NCHI YA WAAFRIKA'. Hizi ni fikra za kikaburu. Ni ishara ya mbegu za kibaguzi zilizokomaa na sasa zinachipua.
Kwa wafuatiliaji wa masuala ya kisiasa nchini na kipekee katika muktadha huu, siasa za Zanzibar wataelewa kuwa kauli iliyotolewa katika bango hilo, si ya bahati mbaya. Ni matokeo ya siasa za chuki zinazopaliliwa, kusimamiwa, kuratibiwa na hata kunyamaziwa na uongozi wa juu kabisa wa CCM.
Tutatoa mfano. Moja ya maskani maarufu za masuala ya kisiasa Visiwani Zanzibar inayomilikiwa na CCM iitwayo Kisonge imekuwa na kawaida ya kuandika lugha hatari zinazoashiria ubaguzi ulio wazi kabisa ulio na maudhui sawa sawa na huu uliotolewa leo kwenye Sikukuu ya Mapinduzi.
Mojawapo ya kauli ambazo ziliandikwa katika ubao ulioko katika maskani hiyo hivi karibuni wakati wa joto la Uchaguzi Mkuu uliopita, iliandikwa hivi "Katiba ni ya Unguja na nyinyi Wapemba mwende mkatengeze yenu Pemba."
Lugha hiyo na nyingine za namna hiyo kama ilivyotokea leo, zimekuwa zikitolewa mbele ya viongozi wa CCM au wanaziona lakini kwa sababu wanazozijua wao, pengine zinawasaidia katika kufikia malengo ya siasa hatarishi zinazokiuka misingi yote ya demokrasia, zimekuwa zikifumbiwa macho na kuzidi kumea vichwani mwa wanachama wao na kuleta mpasuko wa ubaguzi wa itikadi za kisiasa, rangi, kanda, kabila na hata dini, si Zanzibar pekee bali nchi nzima.
Kilichotokea leo Zanzibar, ni mwendelezo usiokuwa wa bahati mbaya bali maelekezo ya kimkakati ya kueneza propaganda za chuki miongoni mwa Watanzania ambayo ndiyo imebakia kuwa silaha pekee ya kuibeba CCM ikiwa ni dalili ya wazi ya chama kilichofilisika sera, kuacha misingi yake, kuishiwa ushawishi wa hoja na kukosa uhalali wa kisiasa hivyo kujihalalisha kwa ubaguzi kama huo.
Ni mwendelezo wa kauli za viongozi wakuu wa chama hicho ambazo hutolewa hadharani kwenye majukwaa ya siasa, wakiwabagua wanachama, wapenzi, wafuasi wa vyama vingine kuwa ni wa dini fulani, kanda fulani au kabila fulani. Wakijua kabisa hakuna kikundi chochote cha kisiasa chenye sifa hizo kwa sababu ni kinyume cha sheria na misingi ya taifa letu.
Ni mwendelezo wa kauli iliyowahi kutolewa na viongozi wa chama hicho dhidi ya viongozi wenzao na wala viongozi wakuu wa CCM hawakuthubutu hata kukaripia, tena yakiwa maazimio rasmi ya kikao kwamba "Rais wa Tanzania hawezi kutoka Kaskazini".
Kauli hiyo iliyotolewa baada ya kikao ilikuwa kauli ya kikaburu sawa sawa kabisa na ile iliyotolewa leo huko Zanzibar.
Mwalimu Nyerere, Baba wa Taifa aliwahi kusema ukaburu si rangi, ni fikra.
CHADEMA tunalaani na kupinga kwa nguvu zote mipango, mikakati, tabia na chembechembe za ubaguzi wa aina yoyote, ukiwemo huu wa kisiasa ambao sasa unaanza kusakafiwa kwa ubaguzi wa rangi kwa sababu tunaamini wanaobeba agenda hii hawataishia hapo bali watazidi kutugawa Watanzania pia kwa ubaguzi wa ukanda, ukabila na udini kama ambavyo wamekuwa wakijaribu kuchochea.
CHADEMA kwa kusimamia misingi yake na kuzingatia kikamilifu misingi ya taifa letu hasa haki, uadilifu, utu, umoja na uzalendo, haiko tayari kuona taifa likifikishwa huko na kuhatarisha maisha ya jamii nzima ya Watanzania kwa sababu ya maslahi ya kikundi cha watu wachache.
Tunamkumbusha Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu kuwa kauli za namna hii ambazo zimekuwa zikipaliliwa na viongozi wa CCM na wengine wakitumia nafasi za kiserikali kuchochea ubaguzi ambao ni hatari kwa amani ya nchi na usalama wa raia na mali zao, ni ushahidi wa wazi kwa ajili ya hatua za kisheria badala ya jeshi hilo kujikita katika kubambikia wanachama, wafuasi na wapenzi wa vyama vya upinzani, hususan UKAWA tuhuma na kesi zisizokuwa msingi wowote kwa maslahi tu ya kisiasa kuisaidia CCM.
Wakati tukimtaka Rais John Magufuli kutimiza kwa vitendo kauli yake ya kwamba Serikali yake haitawabagua watu kwa misingi ya kisiasa (huku Waziri Mkuu wake akitoa maagizo kinyume kabisa na kauli hiyo) tunakitaka CCM, kupitia kwa Mwenyekiti wake, Jakaya Kikwete kama hakiko nyuma ya agenda hizo za kibaguzi na fikra hizo za kikaburu, kichukue hatua za haraka mara moja kuwawajibisha viongozi wake waliosimamia na kuachia jambo lililotokea leo huko Zanzibar.
Imetolewa leo Jumanne, Januari 12, 2016 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari
CHADEMA
Ushahidi ni taarifa ya CHADEMA kwa vyombo vya habari iliyowekwa humu jamvini. Mwenye asili na moyo wa ubaguzi ni yule anayeshikilia hilo jambo kindakindaki, kama taarifa hiyo inavyojielekeza. Ukweli bado CUF, hasa Seif, kuna harufu ya ubaguzi kurudisha Zanzibar kwenye Usultani. Hili likemewe mapema na Wazanzibari wamelitambua hili hadi kuliweka wazi hadharani. Lisifumbiwe macho, kumezewa au kukemewa ati ni ubaguzi.Weka ushahidi, nyumbu
Kwa Chedema, ukimwomba Mungu wa walutheri hakuna neno ha ha haIla ALILOLIFANYA Lowassa Kwenda Kuomba KUUNGWA MKONO NA KANISA LA KILUTHERI Ni Jambo La Kheri Kwenu CHADEMA Na Mmelibariki? Na Mlivyo WAPUUZI Najua Hili Bango Litawafanya Sasa Muungane Na Muweze Kupata Coverage Ktk Media Zetu Kwani MLISHAPOTEA Ktk Ramani. Siasa Zenu CHADEMA Ni Za KITOTO Na Ndiyo Maana Sasa MNADHARAULIKA Na Hata WALIOKUWA WAKIWASAPOTI. Acheni Kudandia Treni Kwa Mbele Na Tumieni Muda Huu KUJIJENGA ZAIDI KISIASA ILI ANGALAU MWAKA 2020 ACT Wasije Wakawapiga Bao Kwani Naona Kabisa CHADEMA Kinakwenda Alijojo. Mnadai CCM Tuna UBAGUZI Nani Asiyejua Kuwa CHADEMA Kama Siyo Mwana Kaskazini Kilimanjaro na Arusha Kupata UONGOZI WA JUU KABISA Ni Ndoto? Kwenu Nyie CHADEMA Mnatafsiri Vipi Ubaguzi? Nikimalizia Kwa Huyu Huyu Tumaini Makene Ambae Leo ANAJIFANYA Kuisema CCM Kwa UBAGUZI Wakati Yeye Yeye Pia AMESAHAU WAKATI WA KAMPENI ALIVYOKUWA AKIVIBAGUA Baadhi Ya Vyombo Vya Habari Kwa KUDANGANYA Na CHUKI Zake BINAFSI Hali Iliyopelekea Hadi AKAJIJENGEA UADUI Mkubwa Mpaka Leo Na Wana Habari. Huyo Tumaini Makene Na CHADEMA Yake WAKAWADANGANYE Wengine Na Siyo Sisi TUNAOWAJUA KINDAKINDAKI. Jipangeni Kwa Mwaka 2035 Kwani Mwaka 2025 Akimaliza Tu Rais Dr. Magufuli Nchi Tunamkabidhi Waziri Mkuu FUNDI au MTAALAM au JEMBE Majaliwa Kassim Majaliwa. Na Kuna Tetetsi Mr. Naumwa Muhimbili Anataka Kurejea CCM Kwani Huko Kwenu Anaona MNAZINGUA Tu.
wewe acha tu hata hapa huwa wanawawinda kweli watanzania tukemee hili chama kiache ubaguzi...Inamaana na maalibino zanzibar hawatakiwi?
Wazee wa timuatimua.....Yeah...MmeshamtimuaWewe siasa tuache tu maana tutavunjiana heshima bure...
Hivi kocha tumetimua
wangesikitishwa pia na lowasa kuomba kura kidini / lutheran ,
Isitoshe huyu ni mwanachama tu wa kawaida kaibuka huko na bango lake basi jamaa wameshupaa utafikiri ni msimamo wa chama. Isitoshe CCM wameonyesha uungwana na ukomavu wa hali ya juu kwa kulikana hilo bango mara moja. Pengine vyama sasa inabidi viwe vinakagua mabango yote ya wafuasi wao kabla ya maandamano ili ikitokea mtu aliyevaa nguo za chama akatokelezea na bango lenye ujumbe tatanishi basi ananyang'anywa. Yote haya ni matokeo ya chama kupoteza mwelekeo na kubakiza kudandia dandia matukio ambayo hayana kichwa wala miguu. Baada ya ile ajenda ya ufisadi iliyowapa umaarufu mkubwa kuota mbawa sasa chama kipo kipo tu kinaenda kama boya katika bahari kuu iliyochafuka.Ila ALILOLIFANYA Lowassa Kwenda Kuomba KUUNGWA MKONO NA KANISA LA KILUTHERI Ni Jambo La Kheri Kwenu CHADEMA Na Mmelibariki? Na Mlivyo WAPUUZI Najua Hili Bango Litawafanya Sasa Muungane Na Muweze Kupata Coverage Ktk Media Zetu Kwani MLISHAPOTEA Ktk Ramani. Siasa Zenu CHADEMA Ni Za KITOTO Na Ndiyo Maana Sasa MNADHARAULIKA Na Hata WALIOKUWA WAKIWASAPOTI. Acheni Kudandia Treni Kwa Mbele Na Tumieni Muda Huu KUJIJENGA ZAIDI KISIASA ILI ANGALAU MWAKA 2020 ACT Wasije Wakawapiga Bao Kwani Naona Kabisa CHADEMA Kinakwenda Alijojo. Mnadai CCM Tuna UBAGUZI Nani Asiyejua Kuwa CHADEMA Kama Siyo Mwana Kaskazini Kilimanjaro na Arusha Kupata UONGOZI WA JUU KABISA Ni Ndoto? Kwenu Nyie CHADEMA Mnatafsiri Vipi Ubaguzi? Nikimalizia Kwa Huyu Huyu Tumaini Makene Ambae Leo ANAJIFANYA Kuisema CCM Kwa UBAGUZI Wakati Yeye Yeye Pia AMESAHAU WAKATI WA KAMPENI ALIVYOKUWA AKIVIBAGUA Baadhi Ya Vyombo Vya Habari Kwa KUDANGANYA Na CHUKI Zake BINAFSI Hali Iliyopelekea Hadi AKAJIJENGEA UADUI Mkubwa Mpaka Leo Na Wana Habari. Huyo Tumaini Makene Na CHADEMA Yake WAKAWADANGANYE Wengine Na Siyo Sisi TUNAOWAJUA KINDAKINDAKI. Jipangeni Kwa Mwaka 2035 Kwani Mwaka 2025 Akimaliza Tu Rais Dr. Magufuli Nchi Tunamkabidhi Waziri Mkuu FUNDI au MTAALAM au JEMBE Majaliwa Kassim Majaliwa. Na Kuna Tetetsi Mr. Naumwa Muhimbili Anataka Kurejea CCM Kwani Huko Kwenu Anaona MNAZINGUA Tu.