CHADEMA yakumbuka miaka 6 ya kifo cha Alphonce Mawazo na kusema wako tayari kuonana na Rais Samia lakini sio Polisi

Kwamba!Eti??!!EL aliwatuma watu kumuua Mawazo kisa kumdhalilisha Baada ya kujinyea jukwaani?Ina maana Mawazo alipinga EL kuteuliwa Mgombea ndani ya chama????!!! kazi ipo aiseh!!!
 
ninachojua mimi ni kwamba, waliosemekana walimuua walikamatwa, walishitakiwa na walitiwa hatiani. ila kiundani zaidi sijui. pamoja na kwamba huwa sielewi kwanini watu wakihama icho chama huwa wanajawa na hofu kuu.

eg. Dr. slaa hadi aliomba alindwe na serikali, yaani, mkosoaji, mtukanaji na adui wa serikali alikuja kuomba msaada kwa serikali imlinde, kuna siri gani alikuwa anaijua ambayo watu walikuwa wanafanyiwa na yeye aliogopa angefanyiwa?, nini alikuwa anakijua kingefuata na aliogopa nini? Zito alitishia mambo ya kichawi kwa atakayemdhuru, Ben Saanane alikuwa msaidizi wa mbowe lakini jitihada za mbowe kushadadia issue yake haikuwa ya kutosha kwa mtu aliyekuwa msaidizi wake ambaye yeye ndio angekuwa na uchungu usio na woga kwa lolote kwa kupotea kwake, he is always silent about this matter, kuna mengi. sinyooshei kidole ila huwa nasema huwa sielewi. ni maswali yanayotakiwa kujibiwa na wao wenyewe ili wananchi tusiwe na doubts. hivi kweli msaidizi wako anaweza kupotea halafu ukamute tu au ukaongea kama kawaida tu na kunyamaza? kweli Dr. slaa aliyekuwa na power namna ile aombe msaada wa ulinzi toka ccm?hahaha.

Leo chadema wanaadhimisha siku ya kifo cha Mawazo na wala hakuwa na wadhifa wowote ktk ngazi kuu ya Chadema taifa, lakini hakuna hata siku moja waliyoadhimisha siku ya kifo cha CHACHA WANGWE ilhali alikuwa Makamu Mwenyekiti Taifa Chadema

Je, kwasababu kifo cha Chacha Wangwe kuhusianishwa na Mbowe ndio kunapelekea leo hii asikumbukwe kwa chochote huku ufipani..!???
 
Back
Top Bottom