Safari ya ujerumani wamerudi mikono mitupu.Wajerumani wamewahoji pesa zetu tulizowapa mumezipeleka wapi wakati tukija hata ofisi hamna mnatupeleka mahotelini ndio tuongee hamtupeleki ofisini kwenu.Hawajapata pesa haoooooo.Ndio na UKUTA ukaihirishwa kwa kuwa porojo zao za kupata pesa kwa kisingizio cha kugharimia maandamano kukwama na kugonga UKUTA original wa Wajerumani.
Wajerumani wamewasoma na kuwaelewa kuwa ni matapeli wa kisiasa.
Sasa hivi ndio wanaibuka kusema tutajenga ofisi !!!! Baada ya wazungu kuwapiga chini!!!
Miaka zaidi ya 20 toka CHADEMA ianzishwe bado wanajipanga kujenga ofisi ya makao makuu!!!! Hata kama ni kupanga CHADEMA wanatia aibu.Hivio Chama kikubwa kama hicho waweza panga kajumba kama haka uswahilini kuwa ndio ofisi ya makao makuu?