CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

Hamkua na mipango mizuri tu toka mwanzo makao makuu mngetaka mpaka sasa kupitia kwa mashabiki wenu mngekua hata na ghorofa. Kkt vitu ambavyo mh mbowe ajakitendea haki chama ni kutosimamia ujenzi wa maofisi yake.
 
Fanyeni kila linalowezekana ofisi zijengwe, chama ni kikubwa sasa, wabunge wenu wakijitolea mshahara wa mwezi mmoja kila mmoja wao inatosha kuanzishia msingi
 
Jamani hata kama nje ya mada kuuliza sio ujinga, vipi visima vya Sabodo? vimechimbwa wapi manake mzee wa wawatu katoa mtonyo kiroho safi na kamera kama kawa vimeishiwa wapi? japo mchanganuo.
 
Kuna hatari ya vibali vya ujenzi kusitishwa nchi nzima kwa kisingizio cha TETEMEKO .
 
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka jana ambao tulishuhudia upinzani ukiimarika kwa kupata wabunge wengi, pia mgombea urais wa upinzani Eduard Lowassa alipata kura zaidi ya milioni sita nyuma ya mshindi John Magufuli aliyepata zaidi ya kura milioni nane, matokeo hayo yaliongeza ruzuku kutoka kwa serikali, mara baada ya Magufuli kuapishwa kuwa rais wa awamu ya tano alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, mwaka mmoja umeisha tangu marufuku hiyo, kwa maana hiyo vyama vinapokea ruzuku bila kuzitumia kwa operesheni mbalimbali, kwa msingi huo nakishauri Chadema kwa sababu kinapokea pesa nyingi za ruzuku kizitumie kujenga ofisi ya makao makuu yanayoendana na hadhi ya chama.
 
mwelekeo wao sio mbaya pamoja na kubanwa na magufuli. nadhani umewapa wazo chokozi kwa wakati wake
 
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu mwaka jana ambao tulishuhudia upinzani ukiimarika kwa kupata wabunge wengi, pia mgombea urais wa upinzani Eduard Lowassa alipata kura zaidi ya milioni sita nyuma ya mshindi John Magufuli aliyepata zaidi ya kura milioni nane, matokeo hayo yaliongeza ruzuku kutoka kwa serikali, mara baada ya Magufuli kuapishwa kuwa rais wa awamu ya tano alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, mwaka mmoja umeisha tangu marufuku hiyo, kwa maana hiyo vyama vinapokea ruzuku bila kuzitumia kwa operesheni mbalimbali, kwa msingi huo nakishauri Chadema kwa sababu kinapokea pesa nyingi za ruzuku kizitumie kujenga ofisi ya makao makuu yanayoendana na hadhi ya chama.
CCM ruzuku yao wamejenga nini? Ofisi za CCM zote zilijengwa enzi za Chama kimoja kwa nguvu za wananchi wote na wafanyakazi walikuwa wakikatwa mishahara yao kuchangia ujenzi wa ofisi
 
Hivi kweli kuna umuhim wa kuishangaa CHADEMA kua n.a. ofisi kama hiyo..Mimi nadhani wana ccm inabidi tujishangae wenyewe kwa miaka tuliokaa madarakani lakini tunaishia kukwapua raslimali za wananchi kwa kujinufaisha sisi makada tu
 
Onyesha ofisi za ccm kabla ya yote?
Kushika dola ofisi siyo kipaombele uliza hata ulaya !

Labda ofisi za ummaa ! Sio vyama
 
Ofisi ni muhimu kwani vikao na mahali pa kuhifadhi kumbukumbu panahitajika. Na viongozi wapimwe kwa uwezo wao wa kujenga ofisi za chama. Sio lazima ziwe za gharama!
Nguo ya kuazima haisetiri ..... kwa hiyo kupanga ofisi isiwe sera ya kudumu kwani mara nyingi kulipia pango inakuwa shida.
 
Makofi kwa makamanda Tafadhari
KIDOGO WAMEFIKIRIA SANA MAKAMANDA WETU
 
Yaani baada ya miaka 20 ya chama ndio kwanza mnajipanga kujenga Ofisi Bora mimi sio mwanachama wa hiki chama kisicho na dira wala mwelekeo. Chadema ni kundi la watu waliokosa maono kabisa!
Nyie mmejenga offisi ipi kama si kurithi ofisi zilizojengwa na watu wote wakati wa chama kimoja
 
Back
Top Bottom