CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

CHADEMA yajipanga kujenga ofisi

Kama CHADEMA imeuzwa, aliyenunua ni baba yako. Kwani Cha kushangaza mpaka sasa sijamuona huyo taila wako akija kunichukua mimi kama damu ya CHADEMA.
 
Wakimaliza kupitisha kapu watangaze wamepata kiasi gani na sio kuondoka kimya kimya kama uhuni anaofanya Mbowe.
 
Dili limebuma mlikuwa mnaleta mgogoro cuf lipumba aondoke ili maalim sefu awape mjengo wa buguruni chama hakina hata ofc ya makao mkuu viva pr LIPUMB
 
Yaani baada ya miaka 20 ya chama ndio kwanza mnajipanga kujenga Ofisi Bora mimi sio mwanachama wa hiki chama kisicho na dira wala mwelekeo. Chadema ni kundi la watu waliokosa maono kabisa!

Boss usifananishe CCM na Chadema Kwa Utajiri kutojenga ofisi sio kutokua na maono? kabla hujaropoka hebu niambie ni vyama vingapi vya upinzani vinamiliki ofisi?

Kumbuka CCM ipo tangu enzi za chama kimoja. ni hatua kubwa sana kwa chadema nawapongeza kwahilo jombaa.

Huko sisiem Rosatam peke yake enzi hizo angewajengea ofisi nchi nzima. kama una upeo utanielewa
 
Inasikitisha saaanaaa. Hivi nani pale atakuwa mtunza fedha za miladi hiyo??. Maaaana hata fedhazilizochangwa wakati wa kampeni hatujapewa mrejesho mpaka leo
 
Eti tuna mtaji wawatu wanaokipenda chama!!!

Yani na hali hii ya maisha, unamwongezea ugumu wa maisha mwananchi awajengee ofisi zenu.
Ruzuku zinaenda wapi??
Wabunge wote hao posho nyingi na mishahara minono mpatayo mnapeleka wapi??
 
Poor Mbowe, poor Slaah in 20 years now you are planning to build the offices. Cha ajabu mnawacheka na kuwashambulia CCM kwamba in 50 yrs hawajajenga nchi what if mkiulizwa in 20yrs chama tu mumeshindwa kujenga ofisi na huku mna ruzuku na michango na wafadhili vipi nchi mtaweza kuijenga kweli. POOR UPINZANI TANZANIA
 
Fedha za Ruzuku, wabunge kukatwa Millioni 1.5 kwa mwezi sijui ela zote mnapeleka wapi
 
Hongera Mr.Sumaye,ujio wako utabadilisha mengi ndani ya chama chetu,pia huu ndio muda sasa wa lowasa kupiga support kila mkoa wajenge ofisi kama alivyokuwa anasupport ujenzi wa nyumba za ibada.
 
Fedha za Ruzuku, wabunge kukatwa Millioni 1.5 kwa mwezi sijui ela zote mnapeleka wapi
Msiwe mnatumia masaburi kufikiri, hivi unafikiri CCM ingepewa miaka 20 pekee itumie ruzuku pekee bila kutumia rasilimali za nchi kujijenga ingeweza kuwa hivi ilivyo? Kwanza inaonekana huwezi fikiri zaidi ya hapo 'ela' ndio nini?
 
mbwembwe zote eti mnataka kushika dola mjenge nchi kumbe hata office hamuwezi?? kura yangu niliipoteza!!
 
Chadema wezi tu,milioni 600 kwa mwezi mnataka majimbo yajenge ofisi kwa hela gani? Wanywa viroba wana hela gani ya kujenga ofisi
Mashinji anatakiwa ajenge kwanza makao makuu,halafu apeleke ruzuku majimboni
 
Msiwe mnatumia masaburi kufikiri, hivi unafikiri CCM ingepewa miaka 20 pekee itumie ruzuku pekee bila kutumia rasilimali za nchi kujijenga ingeweza kuwa hivi ilivyo? Kwanza inaonekana huwezi fikiri zaidi ya hapo 'ela' ndio nini?

acha kujitetea kwa kutapatapa kama Kuku anayechinjwa!! utetezi wako hauna mashiko kabisa!! Mr sabodo aliwapa mihela mjenge office mkazila!! ruzuku misaada vyote mlikula!! halafu mnainyoshea kidole CCM eti mafisadi wakati nyie ni namba moja!!acheni hizo!! toa kiboriti jichoni kwako kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzako
 
Yaani baada ya miaka 20 ya chama ndio kwanza mnajipanga kujenga Ofisi Bora mimi sio mwanachama wa hiki chama kisicho na dira wala mwelekeo. Chadema ni kundi la watu waliokosa maono kabisa!

CCM ofisi yake ilijengwa na serikali. Hebu waambie serikali iwajengee na CHADEMA basi
 
Chadema wezi tu,milioni 600 kwa mwezi mnataka majimbo yajenge ofisi kwa hela gani? Wanywa viroba wana hela gani ya kujenga ofisi
Mashinji anatakiwa ajenge kwanza makao makuu,halafu apeleke ruzuku majimboni

Na sasa hivi team L imehamia huko ndo wizi utazidi ile mbaya
 
Msiwe mnatumia masaburi kufikiri, hivi unafikiri CCM ingepewa miaka 20 pekee itumie ruzuku pekee bila kutumia rasilimali za nchi kujijenga ingeweza kuwa hivi ilivyo? Kwanza inaonekana huwezi fikiri zaidi ya hapo 'ela' ndio nini?
Kwani ofisi za kwanza za ccm zilijengwa lini?
 
Kwa akili yenu mnafikiri fedha za lowasa ni zakujengea ofisi? mmeliwa.
 
Back
Top Bottom