Hapo ndipo kwetu;karibu sana na nyumba ya wazazi wa Meya wa Kinondoni Yusufu Mwenda!
Narudi kumtoa Kipeja kwenye udiwani wa Kyela mjini hata yy anajua hilo na CHADEMA tutaongoza Halmashauri!
Niungeni mkono wadau!!
Mkuu!
Lughombo ndiyo kwa baba!Karibu sana na kilabu cha pombe za kienyeji cha Ngomelako ukoo wa Mwambalaswa!Mwaya kuzuri katika sehemu rahisi cdm kupeta ni kyela kote wameamka
Nimecheka sana .
Mkuu!
Lughombo ndiyo kwa baba!Karibu sana na kilabu cha pombe za kienyeji cha Ngomelako ukoo wa Mwambalaswa!Mwaya kuzuri sana
Sasa ndo mtushirikishe mi maccm syapendi sana yametukatia majikuna mkakati wa vijana wa kyela kuipeleka halmashauri mikononi mwa cdm 2015 ili kuboresha barabara za ndani .
Mwakyembe kachafuka sana Kyela!!
kyela vituko tupu iko rafu mbaya hakuna chochote
kuna kijiji kinaitwa NJISI karibu na ziwa nyasa , mbele ya kajunjumele nimeikuta CLUB YA POMBE INAITWA NGULA NGOGE , NILISHANGAA SANA KUKUTA BENDERA ZA CDM ZINAPEPEA HAPO !
umeiona barabara yenye jina lake pale juu , ile ya kutoka posta hadi bondeni inayopitia benki mpya huku nyuma ya hospitali ya wilaya ? Ukiona utazimia !
2015 tunakabidhi halmashauri kwa cdm .
Malafyale uko Kyela wewe kwasasa? Uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa kipimo kizuri sana Kyela kuona kama wameamka au bado wamelala. Kila nikitazama barabara na jinsi maendeleo yanavyorudi nyuma badala ya kwenda mbele Unamkumbuka Mzee wetu Lumuli Alipipi Kasyupa,heri zama zile kuliko ilivyo sasa Mbunge wetu ni zaidi ya Diamond Platinumz ni msanii sana sana! Nitashangaa kama atapewa tena miaka 5 mingine
Mbeya mjini asahau kabisa APA Luna mbunge rais Wa kudumu suuuuguu
Kweli mkuu,tumeshuhudia chaguzi safi zisizo na harufu ya rushwa.Hakika CDM ni chama cha mfano Africa.
Leo Dr Mwakyembe kafuturisha WAISLAM wote waliopo kwenye kata za Kyela!Hapa mjini WAISLAM wanekusanyika uwanja wa Mwakangale na kata zingine zimepewa miongozo wapi wakutane kwa futari!
Hajawahi fanya haya mambo kwa miaka yake 9 ya madarakani iweje leo bado mwaka uchaguzi?