Kwa hapa mkuu
Pasco nitakuunga mkono,ila kwa Jimbo la Kawe bado Halima Mdee ana nguvu kubwa.
QUOTE="Pascal Mayalla, post: 5307301, member: 17813"]
Mkuu Molemo,
Taarifa za chini chini zimeshaanza kuenea kuwa mnataka kulitoa Kawe sadaka kama mlivyolitoa sadaka Tarime kwa kumuengua Charles Mwera?!.
Sio siri, hata wale posible candidates wanaounga mkono upinzani, hawathubutu kabisa kuliwazia jimbo la Kawe kwa sababu, Halima Mdee ni kama Komandoo!, hata kitendo cha Mbatia kutia pua was a mistake na aliijutia. Nilimshauri Dr, kwa ajili ya 2015, msisubiri kipenga cha NEC, anzeni ground work mapema ya head hunting posible serious candidates hata ikibidi ku groom, fanyeni grooming!. Muhakikishe mnaanza na uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, simamisheni mtu kila kiti!. Kuna sehemu CCM imechokwa mpaka basi kiasi kwamba hata mkisimamisha jiwe litapita!.
Ila uchaguzi wa 2015 utakuwa mgumu kidogo kwa upande wenu, wenzenu CCM watasimama na track record ya visible developments wakati nyinyi mtasimama na ahadi za tumaini jipya!. Ahadi hizo lazima ziwe solid with justification: mfano mkisema Elimu bure mpaka chuo kikuu, mnakuja na data how much does it cost, na indication budget hiyo itotoka wapi au mpunguza matumizi gani that will save this much tutakayo itumia kwenye elimu bure etc!.
Merry X-mass
Pasco.
[/QUOTE]
Point taken Mkuu
Pasco.Nikuhakikishie tena na naomba niamini kwamba Halima Mdee ni chuma cha Pua na Chadema kamwe haitathubutu kufanya majaribio Kawe.Ingawa kwa kusema hivi hatukumbatii udikteta wala kuwaogopesha wanachama wengine.Lakini ukweli ni lazima usemwe kwamba Halima Mdee ni kete ya Chadema Kawe kama Dr Slaa alivyo kete ya Chadema kwenye urais 2015.
That was then, 2020 hii ngoma chali!.
P