CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

Mkuu Molemo, kwa Kawe mtakuwa mmefanya vema, ila kwenye kete ya urais kazi bado mnayo!. Kwanza nilizungumza naye (off the record), hivyo msimamo wake binafsi naujua!. Msimamo binafsi ni tofauti na matakwa ya Chama!.
Kwa political dynamics za 2015, chances yoyote ya mgombea huyo kushinda, determinant ni mgombea wa CCM, hivyo endeleeni kusali, CCM isimamishe weak candidate, ikisimamisha strong candidate, you are dead!.

Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya, mshindi wa urais anapatikana sio tuu kwa simple majority, bali kwa quota system yaanini lazima ushinde kwa theluthi moja ya kura kutoka pande zote za muungano!. Kwa mgombea huyo, sioni jinsi yoyote ya Chadema kuvuna theluthi moja ya kura za urais kutoka Zanzibar!. Hivyo mtaongoza bara, kwa kukosa Zanzibar, CCM mwenye theluthi kote ndio atatangazwa mshindi!.

Kuna uwezekano mkubwa mgombea wa CCM kuwa ni Mkatoliki, na Dr. ni Mkatoliki, mtagawana kura za bara ila Zanzibar CCM ndio watavuna!. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.

Kama mtasimamisa mgombea ambaye nyinyi Chadema ndio mnamkubali sana, tegemeeni kuchaguliwa na wanachadema tuu lakini mkimsimamisha mgombea anayekubalika zaidi kwa wapiga kura wa 2015 ambao 80% ni vijana, then the one and only anaweza kuwapatia ushindi mnene na mnono, ni ZZK pekee!.

The choice is yours, sisi wengine kazi ni kusema tuu!.

Pasco.

Pasco wananchi gani unawazungumzia wanaompenda ZK? Vijana wa wapi? hata hapa JF huoni kuwa haugwi mkono na watu wengi? Hizi siasa watu wanazijua kuwa mnatka mgombea weak ili mafisadi wawe salama. Mkuu kama CDM wanataka kampeni zao ziwe ngumu wajaribu kufuat ushauri wako huu. Angalia kura za maoni zilizoendeshwa hapa JF kati ya DR na ZK ilikuwaje? Je hawa waliopiga hizo kura ni sehemu ya wapiga kura wa Tanzania? Kama ni sehemu ya wapiga kura utafiti wako unaufanyia wapi? Jambo lingine linalonipa wasiwasi juu ya mchango wako huu ni wewe kukiri kuwa bado upo kwenye Payrol ya mheshimiwa.
 
-CHADEMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kiweze kuongoza harakati za kuiondoa CCM 2015 ni lazima kimsimamiahe Adui mkubwa wa CCM na mfumo wake Mbovu.Rafiki wa CCM hafai kusimama kama mgombea Urais

-Wana-CHADEMA tukubali kukosolewa kwa hoja zenye mantiki lakini pia tusikubali kupotoshwa.Hiyo ndiyo Demokrasia yenyewe

-Si jukumu la CCM kutuchagulia aina ya silaha za kuwapigia.Sisi ndio tunaojua ni silaha gani tuzitumie effectively.Ukiona adui yako anakuchagulia silaha ujue hiyo silaha ni dhaifu sana sana.Ni bora uichome moto kabisa ili siku moja usije ukajisahau na kuitumia.Ni bora isiwepo
 
-Ni bora uichome moto kabisa ili siku moja usije ukajisahau na kuitumia.Ni bora isiwepo
Ah ndio maana...!. Mungu bariki mpango huo wa bora asiwepo kabisa haukufanikiwa, maana ambacho kingefuatia!. Sina uhakika kule ambako hata panya asingebaki kungeishia kwa mtekelezaji tuu au hata kwa mpangaji wa mpango?!.
P.
 
-CHADEMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kiweze kuongoza harakati za kuiondoa CCM 2015 ni lazima kimsimamiahe Adui mkubwa wa CCM na mfumo wake Mbovu.Rafiki wa CCM hafai kusimama kama mgombea Urais

-Wana-CHADEMA tukubali kukosolewa kwa hoja zenye mantiki lakini pia tusikubali kupotoshwa.Hiyo ndiyo Demokrasia yenyewe

-Si jukumu la CCM kutuchagulia aina ya silaha za kuwapigia.Sisi ndio tunaojua ni silaha gani tuzitumie effectively.Ukiona adui yako anakuchagulia silaha ujue hiyo silaha ni dhaifu sana sana.Ni bora uichome moto kabisa ili siku moja usije ukajisahau na kuitumia.Ni bora isiwepo

Siku zote mkuu Ben hakuna urafiki na adui yako akakupa ofa ya chakula ukasafiri nae mpaka sudan ya kusini mkala raha za dunia asikutongoze kuwahujumua watu walio makini ndani ya chama chako then mwisho wasiku anakushauli ugombee urais kupitia chama chako na kuanza kukushabikia wakati ni mpinzani wako nawe ukafurhia kama hakuna ajenda ya siri na milungula hapo,haya ndio tunayaona kwa Kigagila Zitto anashangiliwa kugombea na magamba sisi CDM chama makini mchezo huo wa kitoto tilisha usoma kitambo tun
 
-CHADEMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kiweze kuongoza harakati za kuiondoa CCM 2015 ni lazima kimsimamiahe Adui mkubwa wa CCM na mfumo wake Mbovu.Rafiki wa CCM hafai kusimama kama mgombea Urais

-Wana-CHADEMA tukubali kukosolewa kwa hoja zenye mantiki lakini pia tusikubali kupotoshwa.Hiyo ndiyo Demokrasia yenyewe

-Si jukumu la CCM kutuchagulia aina ya silaha za kuwapigia.Sisi ndio tunaojua ni silaha gani tuzitumie effectively.Ukiona adui yako anakuchagulia silaha ujue hiyo silaha ni dhaifu sana sana.Ni bora uichome moto kabisa ili siku moja usije ukajisahau na kuitumia.Ni bora isiwepo

hapo kwenye red yamekujaje hapa????we dogo ni mroho sana na una chuki ya asili sijui umejifunzia wapi.mjadala hapa ni chadema kinondoni wewe unakurupuka na kuanzisha mada ya urais,ndio kilichopo kichwani kwako kila dakika.unafiki tu huo unakusumbua
 
-CHADEMA ili kiwe chama kikuu cha upinzani na kiweze kuongoza harakati za kuiondoa CCM 2015 ni lazima kimsimamiahe Adui mkubwa wa CCM na mfumo wake Mbovu.Rafiki wa CCM hafai kusimama kama mgombea Urais

-Wana-CHADEMA tukubali kukosolewa kwa hoja zenye mantiki lakini pia tusikubali kupotoshwa.Hiyo ndiyo Demokrasia yenyewe

-Si jukumu la CCM kutuchagulia aina ya silaha za kuwapigia.Sisi ndio tunaojua ni silaha gani tuzitumie effectively.Ukiona adui yako anakuchagulia silaha ujue hiyo silaha ni dhaifu sana sana.Ni bora uichome moto kabisa ili siku moja usije ukajisahau na kuitumia.Ni bora isiwepo

WE sanane una roho mbaya sana wewe...utaishia kutumika...huyo bwana ako ataishia kuuota urais maisha. badilika.
 
Kwenye payroll bado nipo na vibahasha kama kawa, ila pia nimeishaijua jf, mtu ataongea point pale tuu anapoisifia Chadema!, akiikosoa inakuwa ni pumba, katumwa, gamba etc!.
Merry X-mass
Pasco.
Ukiona hivyo ujue inakubalika na wengi.
 
WE sanane una roho mbaya sana wewe...utaishia kutumika...huyo bwana ako ataishia kuuota urais maisha. badilika.

Ukweli unawauma masalia wa Zitto Ben kaongelea chama hapa mkuu mbona povu linakutoka mkuun
 
. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.
Pasco.

Si bure umetumwa na Matunguri wewe. Masalia @work. Kwa taarifa yko tutampitisha mgombea anayekubalika na nguvu ya Umma sio wa kukubalika na Jussa na Matunguri
 
Ah ndio maana...!. Mungu bariki mpango huo wa bora asiwepo kabisa haukufanikiwa, maana ambacho kingefuatia!. Sina uhakika kule ambako hata panya asingebaki kungeishia kwa mtekelezaji tuu au hata kwa mpangaji wa mpango?!.
P.

Bora ISIWEPO....Acha spinning!

Likisifiwa kombora ujue lime-expire,kama ni bomu litajilipukia.Adui anajua so i suggest Liwe/yawe disposed kweli.Gongo la Mboto au Mbagala ya kisiasa ni hatari kwa CHADEMA na Taifa la baadae
 
WE sanane una roho mbaya sana wewe...utaishia kutumika...huyo bwana ako ataishia kuuota urais maisha. badilika.
Naona ujumbe wa Saanane umekuchoma sana.
Tulia ndugu usiwe na hasira.

Au na wewe unatoka kundi lile la Jujuman?
 
WE sanane una roho mbaya sana wewe...utaishia kutumika...huyo bwana ako ataishia kuuota urais maisha. badilika.

Roho mbaya nimeumbiwa kwa makusudi maalumu....!

Nimetoka kuitwa Jembe,Carterpillar,Cobra hadi sasa nabatizwa tena "Dogo Mwenye Roho mbaya".Duh!
 
Ah ndio maana...!. Mungu bariki mpango huo wa bora asiwepo kabisa haukufanikiwa, maana ambacho kingefuatia!. Sina uhakika kule ambako hata panya asingebaki kungeishia kwa mtekelezaji tuu au hata kwa mpangaji wa mpango?!.
P.

Bora ISIWEPO....Acha spinning!
 
Ah ndio maana...!. Mungu bariki mpango huo wa bora asiwepo kabisa haukufanikiwa, maana ambacho kingefuatia!. Sina uhakika kule ambako hata panya asingebaki kungeishia kwa mtekelezaji tuu au hata kwa mpangaji wa mpango?!.
P.

Unavimambo vya mashosti zako wa Tandale sana, mbona majungu wakati wewe ndo umeanzisha unajibiwa kwa hoja unaleta propaganda. Vipi umetumwa na wewe nini?
 
Kumekucha!! Hv ccm kwa akil zao finyu wanadhan wanaweza kuwachagulia cdm mgombea? Masalia wanahangaika sana jambo la msingi ni kwenda kuendeleza chauma yao
 
Ndo siasa za ktz Ben, ni kazi chafu lakini lazima uifanye!!
Roho mbaya nimeumbiwa kwa makusudi maalumu....!

Nimetoka kuitwa Jembe,Carterpillar,Cobra hadi sasa nabatizwa tena "Dogo Mwenye Roho mbaya".Duh!
 
Kwenye payroll bado nipo na vibahasha kama kawa, ila pia nimeishaijua jf, mtu ataongea point pale tuu anapoisifia Chadema!, akiikosoa inakuwa ni pumba, katumwa, gamba etc!.
Merry X-mass
Pasco.

Ndugu Pasco tatizo ni kwamba vijana wengi nwameichoka CCM, ndio maana hapa JF wengi wanatoa point za kuichukia CCM. Ni wakati umefika kwa kubadilika ndio maana vijana wamaona huenda CDM likawa chaguo jipya.

CCm kama Chama siyo kibaya isipokuwa sera zake zimepitwa. Na viongozi wamezoeana kiasi cha kulindana katika uozo wa kuliumiza Taifa.

MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
 
Last edited by a moderator:
Jimbo la Kinondoni ni weak point kwa CCM, hivyo 2015, Chadema inayo nafasi kulitwaa kiulani!. Ilala bado ni ngome ya CCM, Temeke na Kigamboni CUF ikijiimarisha inayakomba. Kawe ni hatihati linaweza kurejeshwa CCM. Ubungo kwa Mnyika ni ngome imara ya Chadema, Ukonga pia inaweza kuchukuliwa kiulaini!.

Tatizo la ndugu Chadema ni digo tuu "kujipanga!".
Pasco.

Na jimbo la segerea ni ngome imara ya cdm. Tunatakiwa tu kudhibiti uchakachuaji 2015. Ni vyema tukajipanga kuongoza halmashauri za jiji la dsm.
 
Back
Top Bottom