CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

CHADEMA yaishika pabaya CCM Kinondoni

Mkuu ujipange vizuri kuleta habari, Kichwa cha habari kiendane na unachopost humu. CDM imeishikaje CCM pabaya????
 
Kinondoni, mbona Azan
anamsukuma kama unasukuma mlevi!. Hata mimi ningekuwa Chadema nikasimama
Kinondoni, CCM Chali!.
Merry X-mass
Pasco.

Azan hakubaliki hata ndani ya CCM, kwa kulijua hili hata yeye kaanza vita na viongozi
 
Mkuu Molemo,
Taarifa za chini chini zimeshaanza kuenea kuwa mnataka kulitoa Kawe sadaka kama mlivyolitoa sadaka Tarime kwa kumuengua Charles Mwera?!.

Sio siri, hata wale posible candidates wanaounga mkono upinzani, hawathubutu kabisa kuliwazia jimbo la Kawe kwa sababu, Halima Mdee ni kama Komandoo!, hata kitendo cha Mbatia kutia pua was a mistake na aliijutia. Nilimshauri Dr, kwa ajili ya 2015, msisubiri kipenga cha NEC, anzeni ground work mapema ya head hunting posible serious candidates hata ikibidi ku groom, fanyeni grooming!. Muhakikishe mnaanza na uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, simamisheni mtu kila kiti!. Kuna sehemu CCM imechokwa mpaka basi kiasi kwamba hata mkisimamisha jiwe litapita!.

Ila uchaguzi wa 3015 utakuwa mgumu kidogo kwa upande wenu, wenzenu CCM watasimama na track record ya visible developments wakati nyinyi mtasimama na ahadi za tumaini jipya!. Ahadi hizo lazima ziwe solid with justification: mfano mkisema Elimu bure mpaka chuo kikuu, mnakuja na data how much does it cost, na indication budget hiyo itotoka wapi au mpunguza matumizi gani that will save this much tutakayo itumia kwenye elimu bure etc!.

Merry X-mass
Pasco.

Mkuu , kuhusu CHADEMA kutaka kulitoa jimbo la Kawe ni propaganda za Masalia kykidhoofisha chama. Si mkakati wa Chama.

Hata hivyo angalizo lako ni zuri.

Na kwamba yapasa wanamapinduzi na wanaCHADEMA tujue bado hatujafika na bado hatujashika. Jitihada za kutoa elimu ya mabadiliko na kuisaka kura moja moja ziendelee bila kukoma.g
 
Point taken Mkuu Pasco.Nikuhakikishie tena na naomba niamini kwamba Halima Mdee ni chuma cha Pua na Chadema kamwe haitathubutu kufanya majaribio Kawe.Ingawa kwa kusema hivi hatukumbatii udikteta wala kuwaogopesha wanachama wengine.Lakini ukweli ni lazima usemwe kwamba Halima Mdee ni kete ya Chadema Kawe kama Dr Slaa alivyo kete ya Chadema kwenye urais 2015.
Mkuu Molemo, kwa Kawe mtakuwa mmefanya vema, ila kwenye kete ya urais kazi bado mnayo!. Kwanza nilizungumza naye (off the record), hivyo msimamo wake binafsi naujua!. Msimamo binafsi ni tofauti na matakwa ya Chama!.
Kwa political dynamics za 2015, chances yoyote ya mgombea huyo kushinda, determinant ni mgombea wa CCM, hivyo endeleeni kusali, CCM isimamishe weak candidate, ikisimamisha strong candidate, you are dead!.

Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya, mshindi wa urais anapatikana sio tuu kwa simple majority, bali kwa quota system yaanini lazima ushinde kwa theluthi moja ya kura kutoka pande zote za muungano!. Kwa mgombea huyo, sioni jinsi yoyote ya Chadema kuvuna theluthi moja ya kura za urais kutoka Zanzibar!. Hivyo mtaongoza bara, kwa kukosa Zanzibar, CCM mwenye theluthi kote ndio atatangazwa mshindi!.

Kuna uwezekano mkubwa mgombea wa CCM kuwa ni Mkatoliki, na Dr. ni Mkatoliki, mtagawana kura za bara ila Zanzibar CCM ndio watavuna!. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.

Kama mtasimamisa mgombea ambaye nyinyi Chadema ndio mnamkubali sana, tegemeeni kuchaguliwa na wanachadema tuu lakini mkimsimamisha mgombea anayekubalika zaidi kwa wapiga kura wa 2015 ambao 80% ni vijana, then the one and only anaweza kuwapatia ushindi mnene na mnono, ni ZZK pekee!.

The choice is yours, sisi wengine kazi ni kusema tuu!.

Naunga mkono hoja.
 
Last edited by a moderator:

Hatutaki nadhari bali Dr.Slaa ni ndio tumaini jipya full stop.
 
Habari Taifa stars, CDM imeishika pabaya CCM kupitia operetion yake safisha kinondoni baada ya mkutano mkuu wa jimbo, mbele ya katibu mkuu ndg Dr Slaa kuuondoa uongozi wa awali na k uweka kikosi cha mauaji kwa CCM
Viva CDM, Viva M4C
Dieufem, karibu jf.
Ili kuanzisha thread iliyokamilika, thread yako lazima ijibu (5W +H)
Yaani
  1. NANI?
  2. Amefanya NINI?
  3. LINI?
  4. WAPI?
  5. AMEFANYAJE
  6. KWA NINI?.
Merry X-mass.
Pasco.
 
Hatutaki nadhari bali Dr.Slaa ni ndio tumaini jipya full stop.
Nilidhani tumaini jipya ni Chadema!, kumbe ni watu!, endeleeni kuabudu watu!. Hakuna ubishi kuwa Dr. amefanya kazi nzuri sana uchaguzi wa 2010 na anaendelea kufanya kazi nzuri sana ya kujenga chama kupitia M4C.

Determinant ya Chadema kuchukua nchi 2015 lies with mgombea wa CCM!, subiria ujue CCM itamsimamisha nani, then umpime na Dr kama atafua dafu, then its ok Dr ashawishiwe akubali, asimame, vinginevyo Chadema kitaendelea kuwa Chama cha upinzani!.
Pasco.
 
Kwenye payroll bado nipo na vibahasha kama kawa, ila pia nimeishaijua jf, mtu ataongea point pale tuu anapoisifia Chadema!, akiikosoa inakuwa ni pumba, katumwa, gamba etc!.
Merry X-mass
Pasco.

Vijana wa CDM inabidi wakuwe kidogo hii mambo ya kupenda kusifiwa itawakost sana kwani unakuwa kama blind
 
Mkuu Molemo, kwa Kawe mtakuwa mmefanya vema, ila kwenye kete ya urais kazi bado mnayo!. Kwanza nilizungumza naye (off the record), hivyo msimamo wake binafsi naujua!. Msimamo binafsi ni tofauti na matakwa ya Chama!.
Kwa political dynamics za 2015, chances yoyote ya mgombea huyo kushinda, determinant ni mgombea wa CCM, hivyo endeleeni kusali, CCM isimamishe weak candidate, ikisimamisha strong candidate, you are dead!.

Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya, mshindi wa urais anapatikana sio tuu kwa simple majority, bali kwa quota system yaanini lazima ushinde kwa theluthi moja ya kura kutoka pande zote za muungano!. Kwa mgombea huyo, sioni jinsi yoyote ya Chadema kuvuna theluthi moja ya kura za urais kutoka Zanzibar!. Hivyo mtaongoza bara, kwa kukosa Zanzibar, CCM mwenye theluthi kote ndio atatangazwa mshindi!.

Kuna uwezekano mkubwa mgombea wa CCM kuwa ni Mkatoliki, na Dr. ni Mkatoliki, mtagawana kura za bara ila Zanzibar CCM ndio watavuna!. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.

Kama mtasimamisa mgombea ambaye nyinyi Chadema ndio mnamkubali sana, tegemeeni kuchaguliwa na wanachadema tuu lakini mkimsimamisha mgombea anayekubalika zaidi kwa wapiga kura wa 2015 ambao 80% ni vijana, then the one and only anaweza kuwapatia ushindi mnene na mnono, ni ZZK pekee!.

The choice is yours, sisi wengine kazi ni kusema tuu!.

Pasco.

Mkuu Pasco mara nyingi sipendi kuzungumzia watu binafsi lakini ukweli ni kwamba huyo unayemtaja ameshajivika mavi ndani ya Chadema.Hatutasimamisha na kuunga mkono watu walioanzisha na kufadhili makundi ya waasi ndani ya Chadema.Kwa hali yoyote ile ni lazima chama kimuunge mkono Dr Slaa na hata CCM wanajua na ndiyo maana wanahangaika sana kumchafua.

Msimamo wa wanachama wengi uko nyuma ya kauli ya Mkiti wa Bavicha John Heche kwamba tunampeleka Ikulu Dr Slaa uchaguzi.Halafu mkuu wangu achana na mawazo ya kwamba wakatoliki wanamuunga mkono Dr Slaa.CCM kumsimamisha mkatoliki haitutishi.Wanaomuunga mkono Dr Slaa ni watanzania waliopigika na maisha.Wiki hii huko Tabora Chadema imepata ushindi mkubwa kwenye chaguzi ndogo za vijiji na vitongoji.Huko nako kuna wakatoliki tu? Mkuu Pasco achana na mawazo haya.Je malaki ya watu waliompokea Lema Arusha nao ni wakatoliki.?

Mkuu Pasco siku za karibuni unashadadia sana mambo ya 2/3 ya kura kutoka Zanzibar.Hii ni Propaganda isiyo na mashiko.Hii itakubalika tu kama kutakuwana serikali tatu.Ili Rais wa Tanganyika achaguliwe na watanganyika,na Rais wa zanzibar achaguliwe na wazanzibar na huyo wa muungano apatikane kwa hizo theluthi.Vinginevyo huo ujinga kamwe hatutaukubali.,

Unataka kusema Dr Slaa akipata kura Milioni 7 asitangazwe Rais kisa hajapata theluthi mbili Zanzibar? Narudia tena Patachimbika.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo, kwa Kawe mtakuwa mmefanya vema, ila kwenye kete ya urais kazi bado mnayo!. Kwanza nilizungumza naye (off the record), hivyo msimamo wake binafsi naujua!. Msimamo binafsi ni tofauti na matakwa ya Chama!.
Kwa political dynamics za 2015, chances yoyote ya mgombea huyo kushinda, determinant ni mgombea wa CCM, hivyo endeleeni kusali, CCM isimamishe weak candidate, ikisimamisha strong candidate, you are dead!.

Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya, mshindi wa urais anapatikana sio tuu kwa simple majority, bali kwa quota system yaanini lazima ushinde kwa theluthi moja ya kura kutoka pande zote za muungano!. Kwa mgombea huyo, sioni jinsi yoyote ya Chadema kuvuna theluthi moja ya kura za urais kutoka Zanzibar!. Hivyo mtaongoza bara, kwa kukosa Zanzibar, CCM mwenye theluthi kote ndio atatangazwa mshindi!.

Kuna uwezekano mkubwa mgombea wa CCM kuwa ni Mkatoliki, na Dr. ni Mkatoliki, mtagawana kura za bara ila Zanzibar CCM ndio watavuna!. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.

Kama mtasimamisa mgombea ambaye nyinyi Chadema ndio mnamkubali sana, tegemeeni kuchaguliwa na wanachadema tuu lakini mkimsimamisha mgombea anayekubalika zaidi kwa wapiga kura wa 2015 ambao 80% ni vijana, then the one and only anaweza kuwapatia ushindi mnene na mnono, ni ZZK pekee!.

The choice is yours, sisi wengine kazi ni kusema tuu!.

Pasco.

intimidation !!!!!
naona sio wakati muafaka kwa watz kuanza au kuendelea kuzungumzia maswala ya ugombea kwa minajili ya kidini au kikanda maana inaonyesha kunasumu yakueneza mambo haya inazidi kuenezwa ikizingatiwa kwamba 69.9% ya wananchi hawajui kuchambua taarifa kama ni zakiupotoshaji au la ! hivyo nivyema watu waelemishwe juu ya hili hasa serikali zikifuatiwa na taasisi nyingine ,ili kuepusha kusemwa mengi kuhusu ugombea ,wagombea na sera watakazokuja nazo 2015
itakuwa vyema sana!! kuliko kuja na rumors kwenye social media zakutugawa!
 
Haya na tusubirie pachimbike!, sisi yetu macho!.
P.

Pasco mimi naona ww ni wasomi na tena ww ni mwanasheria kijana sasa mtazamo wako wa kura za udini unatoa wapi? mm kwetu mbeya kimkoa 2010 kikwete alishinda kwa 58% japo wakristo 94% ya wakazi. mimi na wewe tunapaswa kupiga vita sana uchaguzi kwa misingi ya udini ndgu yangu itafika wakati mtu hataangaliwa kwa uwezo wake bali kwa dini yake. KAMA Dr anavyoangaliwa.
 
Mkuu mpepo,
Kule nyuma niliwahi kuandika hivi
Wanabodi nauliza, hii sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda are they real au ni dhana tuu?!.

Jee Watanzania si wana dini zao?, jee kuna ubishi kuwa alipoanza rais Mkristu, JK Nyerere, alipoondoka Mwinyi aliingia tuu by chance?. No miongoni mwa sababu za Mwinyi kuingia ni pamoja na dini yake, this is a fact!. Alipoondoka Mwinyi sialiingia Ben, inamaana aliingia tuu by a mare chance and by chance akawa ni Mkiristu na alipotoka JK nae akaingia by mare chance, na by chance akawa ni Mwislam?. Tutake tusitake, kuna kupokezana hata kama ni by chance, then tuendelee ku play by chance?. Kwenye uchaguzi uliopita kuna vyama vilipata kura nyingi maeneo ya dini fulani, and this is a fact!. Kuna taasisi na makundi ya watu wali waendorse wagombea fulani kutokana na dini zao!. This is fact!. Jee hii ni dhana ya udini tuu au ndio ukweli wenyewe?

Jee Watanzania hawana makabila yao?, Lazima tukubali tukatae, Tanzania kuna dorminant tribes na makabila madogo madogo. Kati ya hizi dorminant tribes lazima tukubali kuna baadhi yake wana ukabila wa kutisha!, kuna baadhi yake wana nyodo za ajabu!, kwani iliwahi kutamkwa au kuandikwa popote kuwa watu wamakabila fulani sio hawafai kuchukua urais wa nchi hii, bali hawawezi kupewa kwa sababu matokeo tunayajua!, hivi tuu walivyo na hizo nafasi kubwa kubwa tayari ni miungu watu, wakiukwaa urais si ndio wataota pembe kabisa!. Ni general unwritten public opinion kuwa rais wa nchi hii asitokee kwenye hizi dorminant tribes!. Kuna wagombea fulani walinyimwa kura maeneo fulani kwa kuitwa wakuja!. Kuna mikoa fulani mgombea ambaye sio mzawa huitwa "chasaka" na wanakuambia kabila letu kamwe haliwezi kumchagua "chasaka"!. Jee hii ni dhana tuu ya ukabila au ndio ukweli wenyewe?.

Jee Watanzania hawana kanda zao?. JK Nyerere alitoka kanda ya Ziwa, Mwinyi akatoka Zanzibar, Ben akatoka kanda ya Kusini, JK ametoka kanda ya Mashariki, Kanda ya kati by now haina mtu mwenye uwezo wa urasi kwa sasa (sorry), hivyo kanda iliyobakia ambayo haijatoa rais ni Kanda ya Kaskazini!, hivyo rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini!. Jee hii ni dhana tuu au ndio ukweli wenyewe.

Juzi nilipandisha hii thread iliyosema "Kanda ya Kaskazini CCM imechokwa mpaka Basi", nilishambuliwa sana kwa siasa za ukanda ili this is a fact!. Nikasisitiza CCM haina namna yoyote ya kujiokoa ili ipendeke na kutoa angalizo kuwa majaaliwa ya CCM kuendelea kutawala nchi hii, yanashikiliwa na kanda ya Ziwa, hivyo nikasema kama ikitokea na Kanda ya Ziwa wakaichoka CCM kama walivyochoka kanda ya Kaskazini, 2015 CCM inapigwa chini, kichwa chini miguu juu huku mnashuhudia bila kuamini macho yenu wala masikio yenu!.

Hii dhambi ya mbegu ya sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda, zimepandwa na CCM, zimelelewa na CCM na hatimaye 2015, CCM itavuna ilichopanda!.

Jee mbegu hii ya sumu kaipanda nani?, jee tunaweza kuipiga vita kwa kuikanusha tuu (denial) au tunatakiwa kuubali ukweli mchungu na kukabiliana nao (facing the problem)!.

Nauliza tuu?

Pasco
 
intimidation !!!!!
naona sio wakati muafaka kwa watz kuanza au kuendelea kuzungumzia maswala ya ugombea kwa minajili ya kidini au kikanda maana inaonyesha kunasumu yakueneza mambo haya inazidi kuenezwa ikizingatiwa kwamba 69.9% ya wananchi hawajui kuchambua taarifa kama ni zakiupotoshaji au la ! hivyo nivyema watu waelemishwe juu ya hili hasa serikali zikifuatiwa na taasisi nyingine ,ili kuepusha kusemwa mengi kuhusu ugombea ,wagombea na sera watakazokuja nazo 2015
itakuwa vyema sana!! kuliko kuja na rumors kwenye social media zakutugawa!
Mhindijohn,
Kule nyuma niliwahi kuandika hivi
Wanabodi nauliza, hii sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda are they real au ni dhana tuu?!.

Jee Watanzania si wana dini zao?, jee kuna ubishi kuwa alipoanza rais Mkristu, JK Nyerere, alipoondoka Mwinyi aliingia tuu by chance?. No miongoni mwa sababu za Mwinyi kuingia ni pamoja na dini yake, this is a fact!. Alipoondoka Mwinyi sialiingia Ben, inamaana aliingia tuu by a mare chance and by chance akawa ni Mkiristu na alipotoka JK nae akaingia by mare chance, na by chance akawa ni Mwislam?. Tutake tusitake, kuna kupokezana hata kama ni by chance, then tuendelee ku play by chance?. Kwenye uchaguzi uliopita kuna vyama vilipata kura nyingi maeneo ya dini fulani, and this is a fact!. Kuna taasisi na makundi ya watu wali waendorse wagombea fulani kutokana na dini zao!. This is fact!. Jee hii ni dhana ya udini tuu au ndio ukweli wenyewe?

Jee Watanzania hawana makabila yao?, Lazima tukubali tukatae, Tanzania kuna dorminant tribes na makabila madogo madogo. Kati ya hizi dorminant tribes lazima tukubali kuna baadhi yake wana ukabila wa kutisha!, kuna baadhi yake wana nyodo za ajabu!, kwani iliwahi kutamkwa au kuandikwa popote kuwa watu wamakabila fulani sio hawafai kuchukua urais wa nchi hii, bali hawawezi kupewa kwa sababu matokeo tunayajua!, hivi tuu walivyo na hizo nafasi kubwa kubwa tayari ni miungu watu, wakiukwaa urais si ndio wataota pembe kabisa!. Ni general unwritten public opinion kuwa rais wa nchi hii asitokee kwenye hizi dorminant tribes!. Kuna wagombea fulani walinyimwa kura maeneo fulani kwa kuitwa wakuja!. Kuna mikoa fulani mgombea ambaye sio mzawa huitwa "chasaka" na wanakuambia kabila letu kamwe haliwezi kumchagua "chasaka"!. Jee hii ni dhana tuu ya ukabila au ndio ukweli wenyewe?.

Jee Watanzania hawana kanda zao?. JK Nyerere alitoka kanda ya Ziwa, Mwinyi akatoka Zanzibar, Ben akatoka kanda ya Kusini, JK ametoka kanda ya Mashariki, Kanda ya kati by now haina mtu mwenye uwezo wa urasi kwa sasa (sorry), hivyo kanda iliyobakia ambayo haijatoa rais ni Kanda ya Kaskazini!, hivyo rais wa 2015 lazima atoke Kaskazini!. Jee hii ni dhana tuu au ndio ukweli wenyewe.

Juzi nilipandisha hii thread iliyosema "Kanda ya Kaskazini CCM imechokwa mpaka Basi", nilishambuliwa sana kwa siasa za ukanda ili this is a fact!. Nikasisitiza CCM haina namna yoyote ya kujiokoa ili ipendeke na kutoa angalizo kuwa majaaliwa ya CCM kuendelea kutawala nchi hii, yanashikiliwa na kanda ya Ziwa, hivyo nikasema kama ikitokea na Kanda ya Ziwa wakaichoka CCM kama walivyochoka kanda ya Kaskazini, 2015 CCM inapigwa chini, kichwa chini miguu juu huku mnashuhudia bila kuamini macho yenu wala masikio yenu!.

Hii dhambi ya mbegu ya sumu ya siasa za udini, ukabila na ukanda, zimepandwa na CCM, zimelelewa na CCM na hatimaye 2015, CCM itavuna ilichopanda!.

Jee mbegu hii ya sumu kaipanda nani?, jee tunaweza kuipiga vita kwa kuikanusha tuu (denial) au tunatakiwa kuubali ukweli mchungu na kukabiliana nao (facing the problem)!.

Nauliza tuu?

Pasco
 
Kwa hapa mkuu Pasco nitakuunga mkono,ila kwa Jimbo la Kawe bado Halima Mdee ana nguvu kubwa.

Pasco anaonekana kama ametubu dhambi ya kulamba viatu vya Lowassa, sasa anatumia taaluma yake bizuri.

Mkuu Pasco,

hebu tupe strategics ulizotumia kufanya analysis zako na kugundua Temeke inaenda cuf!
what I understand, and from the best of my knowledge ni kwamba cuf will no longer exist kwenye siasa za Tz tangia wajionyeshe dhahiri kuwa ni mke wa ndoa, halafu wadini wamepoteza hadhi kabisa.

Labda uniambie chama kipya cha akina mdude chenye back up ya PM7 ikijiimarisha ndo tukuelewe!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo, kwa Kawe mtakuwa mmefanya vema, ila kwenye kete ya urais kazi bado mnayo!. Kwanza nilizungumza naye (off the record), hivyo msimamo wake binafsi naujua!. Msimamo binafsi ni tofauti na matakwa ya Chama!.
Kwa political dynamics za 2015, chances yoyote ya mgombea huyo kushinda, determinant ni mgombea wa CCM, hivyo endeleeni kusali, CCM isimamishe weak candidate, ikisimamisha strong candidate, you are dead!.

Uchaguzi wa 2015 chini ya Katiba Mpya, mshindi wa urais anapatikana sio tuu kwa simple majority, bali kwa quota system yaanini lazima ushinde kwa theluthi moja ya kura kutoka pande zote za muungano!. Kwa mgombea huyo, sioni jinsi yoyote ya Chadema kuvuna theluthi moja ya kura za urais kutoka Zanzibar!. Hivyo mtaongoza bara, kwa kukosa Zanzibar, CCM mwenye theluthi kote ndio atatangazwa mshindi!.

Kuna uwezekano mkubwa mgombea wa CCM kuwa ni Mkatoliki, na Dr. ni Mkatoliki, mtagawana kura za bara ila Zanzibar CCM ndio watavuna!. Mkimpitisha ZZK, CUF haitasimamisha mgombea urais kufuatia ukaribu wa ZZK na Jussa, hivyo kura zote za bara za wale jamaa zetu, mtavuna na kura za Zanzibar pia mtavuna na mtatangazwa washindi!.

Kama mtasimamisa mgombea ambaye nyinyi Chadema ndio mnamkubali sana, tegemeeni kuchaguliwa na wanachadema tuu lakini mkimsimamisha mgombea anayekubalika zaidi kwa wapiga kura wa 2015 ambao 80% ni vijana, then the one and only anaweza kuwapatia ushindi mnene na mnono, ni ZZK pekee!.

The choice is yours, sisi wengine kazi ni kusema tuu!.

Pasco.
Kumbe wameshatuandalia katiba mpya!
 
Mkuu Molemo,
Taarifa za chini chini zimeshaanza kuenea kuwa mnataka kulitoa Kawe sadaka kama mlivyolitoa sadaka Tarime kwa kumuengua Charles Mwera?!.

Sio siri, hata wale posible candidates wanaounga mkono upinzani, hawathubutu kabisa kuliwazia jimbo la Kawe kwa sababu, Halima Mdee ni kama Komandoo!, hata kitendo cha Mbatia kutia pua was a mistake na aliijutia. Nilimshauri Dr, kwa ajili ya 2015, msisubiri kipenga cha NEC, anzeni ground work mapema ya head hunting posible serious candidates hata ikibidi ku groom, fanyeni grooming!. Muhakikishe mnaanza na uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, simamisheni mtu kila kiti!. Kuna sehemu CCM imechokwa mpaka basi kiasi kwamba hata mkisimamisha jiwe litapita!.

Ila uchaguzi wa 3015 utakuwa mgumu kidogo kwa upande wenu, wenzenu CCM watasimama na track record ya visible developments wakati nyinyi mtasimama na ahadi za tumaini jipya!. Ahadi hizo lazima ziwe solid with justification: mfano mkisema Elimu bure mpaka chuo kikuu, mnakuja na data how much does it cost, na indication budget hiyo itotoka wapi au mpunguza matumizi gani that will save this much tutakayo itumia kwenye elimu bure etc!.

Merry X-mass
Pasco.
Mkuu Pasco, naona siku hizi unapiga 50/50 , nusu CHADEMA nusu CCM. Naona umeona mbali maana Lowasa ndoto zake zinazidi kupotea, hasa baada ya Mangula kuingia timu ya waamuzi!
 
Back
Top Bottom