Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
mwenye imani kuwa ccm bado ina wafuasi ni nape na mkama.............hata kikwete anajua ccm saaizi haina mwanachama hata mmoja...waliopo ni kwa ajili ya kuendelea kukwapua mihela kwa njia za kifisadi,,.....
Kweli wameisha juzi hawa ndiyo walio mpokea hapo Tanga akienda mbeya anapokelewa kwa mawe..Arusha huwa anakuja kwa visa...tena usiku usiku kama popo..............hahahahahahahahahaahah