Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!
hivi umepata kujuwa mkoa wa arusha unawakazi kiasi gani?
Nape kama publicity master anatakiwa angalau abuni operations zitakazorudisha matumaini. Unajua watu sasa wameelimika zamani ilitosha kutoa tamko toka Lumumba kwenye RTD na watu wakafuata siku hizi ni tofauti kabisa. Mfano kama CDM wameanzisha M4C wao CCM wanaweza kubuni Operation Mapinduzi Daima OMD ni mfano tu wakaipeleka mikoani, sijui wanashindwa nini wakati funds kwao si tatizo.sasa mnataka nape afanye nini kwa wakati huu hata yeye anaona chama kinavyo poromoka na mbaya zaidi hawezi kuzuia hayo maporomokokwani yanakuja na majabali makubwa sana yana bomoa vizingiti vyote vilivyopo inabidi atazame tu na kubaki ofisini la sivyo yatamsomba nayeye.
jaribu kushilikisha ubongo wako na siyo hayo makamsi na usijaribu kuwafanja wana JF wajinga eti wilaya ya watu milioni 4, hizi takwimu za mwaka gani.....Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!
Mkuu sometimes ili kuwa na ushindani mzuri inabidi kumkumbusha mshindani wako aendelee na mazoezi.Mkuu ukimuamsha aliyelala.............
habari njema sana hizi, ngoja aje Rejeo asema kuwa huu ni upepo tu utabita...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimevunjavunja ngome ya CCM wilaya ya Ngorongoro ambapo wanachama 800 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.
Tukio hilo kubwa lilitokea juzi baada ya Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse kufanya mkutano mkubwa wa hadhara wilayani hapo na kutoa somo kubwa la uraia kwa wananchi wa wilaya hiyo.
Akikabidhi kadi mpya kwa wanachama hao Mchungaji Natse aliwataka wakazi hao kuwa mabalozi wa CHADEMA katika maeneo ya vijijini wanakotoka na kuwaambia sasa hivi hakuna kulala mpaka CHADEMA itakapokamata dola mwaka 2015.
Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walimweleza Mchungaji Natse kuwa wamekuwa wakipata vitisho kutoka kwa viongozi wa serikali wilayani hapo wakilaaniwa kwa uamuzi wao wa kuipinga CCM.
Hata hivyo wanachama hao wameahidi kupambana mpaka tone la mwisho.
Source: Mwananchi Alhamisi Uk 16
Mkuu Feedback, Siku hizi na wewe unasahau sana...chadema ilipotangaza maandamao nchi nzima CCM wakaja na kujivua gamba lakini angalia nini kimetokea...kuna wananchi kwasasa wana hasira sana na CCM eti leo CCM waje pale uwanja wa NMC nao waitishi mkuano siwatavuna aibu na ndipo watakuwa wanautangazia umma biashara ya CCM imekwisha, mimi naona bora wakae kimya wapange baraza lao litakalo tuwezesha maisha kuwaangala kaahueni vinginevyo tutawapopoa mawe tu....Nape kama publicity master anatakiwa angalau abuni operations zitakazorudisha matumaini. Unajua watu sasa wameelimika zamani ilitosha kutoa tamko toka Lumumba kwenye RTD na watu wakafuata siku hizi ni tofauti kabisa. Mfano kama CDM wameanzisha M4C wao CCM wanaweza kubuni Operation Mapinduzi Daima OMD ni mfano tu wakaipeleka mikoani, sijui wanashindwa nini wakati funds kwao si tatizo.
Umesema yaliyo moyoni mwangu, kuiua CCM ni kuiua Tanzania,Hatupanii kuiua CCM bali kuipunguza, unataka kuileta CCM kwenye uwiano ulio sawa ili uwajibikaji uwepo.
Taarifa nilizo zipata muda si mrefu ni kuwa taasisi mbili za CCM zitakufa kabisa baada ya mkutano wa Jumamosi utakao fanyika NMC kwani kuna viongozi wengi sana kutoka UVCCM na umoja wa wanawake CCM kuhamia CHADEMA....tunasubiri tamko la nape aseme alikuwa na mpango wa kuwafukuza...Tulikuwa njiani kuwafukuza uanachama - Nnauye Jr
Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!
CCM inatakiwa ife kabisa na hilo litatokea siku wakiwa chama cha upinzani ndiyo itakuwa mwisho wao kwani mtifuano uliko CCM ni mkubwa ila kwa kuwa ni chama tawala ndiyo maana unaona watu wameng'angana nacho..CCM walisha zoea ruzuku kubwa na kodi ya mapango wanayo amini kuwa ni ya CCM lakini siku chama makini kikiengia madarakani viwanja vilivyo jengwa enzi za babu/Baba zetu lazima zirudi kwa wananchi mfano uwanja wa Sheikh Amri Abeid iweje uitwe uwanja wa CCM wakati baba yangu alishiriki kuujenga huku akiwa hana kadi ya Tanu/CCM pia kuna wachina walikuja kutusaidia kuujenga....Umesema yaliyo moyoni mwangu, kuiua CCM ni kuiua Tanzania,
ni vigumu sana kwa nchi kuendelea bila kuwa na upinzani imara.
hata mimi nimeshangaa sana Dar inawatu wengi sana lakini inasemekana wako takribani mil 5, iweje wilaya ya porini iwe na watu mil 4 au alijumlisha na wanyama na miti....Kuna wilaya yenye population ya million 4 nchi hii? Nape, kazi unayo! Ukiendelea na kazi yako hadi 2015 lazima utakuwa kichaa! Kwa watu wa aina ya huyu mtalishwa kasa wenye sumu hadi muishe!
USIMWOGOPE HUYO NI MEMBE IN ACTION!! mzee hata zamu yako ya vijiti vya magamba ikifika ni lazima ukimbie kaya tu!!Mkuu una maneno machafu sana.Nisije nikakujibu ukanisababishia BAN kama ulivyomsababishia MOLEMO
Mkuu Crashwise sijasahau, nakumbuka baada ya kikao cha Dodoma kina Nape waliongozana Iringa, Mwanza na kwingineko kwa kutafuta sifa tu, sidhani kama walikuwa serious, ilikuwa ni zuga au kwa msemo wa mitaani walikuwa wanampaka mafuta mwanzilishi kwa mgongo wa chupa, ndiyo maana operation vua gamba haikufika popote.Mkuu Feedback, Siku hizi na wewe unasahau sana...chadema ilipotangaza maandamao nchi nzima CCM wakaja na kujivua gamba lakini angalia nini kimetokea...kuna wananchi kwasasa wana hasira sana na CCM eti leo CCM waje pale uwanja wa NMC nao waitishi mkuano siwatavuna aibu na ndipo watakuwa wanautangazia umma biashara ya CCM imekwisha, mimi naona bora wakae kimya wapange baraza lao litakalo tuwezesha maisha kuwaangala kaahueni vinginevyo tutawapopoa mawe tu....