CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

Tatizo la CCM hawaoni kuwa wananchi wamebadilika siyo tena wa wakuongozwa kwa matamko toka Lumumba kama enzi za Makamba na Tambwe. Secretary wa Ideology and Publicity Nape badala ya kutafuta strategy ya ku-counterattack yeye anazidi kubishana na watu tu FB. Anyway ngoja tuone inawezekana chama kina mbinu zake za kisasa za kupambana na hii hali, lakini ninachotaka kumwambia ni kwamba kama anapita humu JF, he and his party should take this as a serious note.

Mkuu ukimuamsha aliyelala.............
 
Acha I uongo, huyu mchungaji alikoshwa Watu huko ngorongoro, alikutanana na Watu wasizizi 12 na kufungua tawi sasa wanachama 800 walikuwa wapi? Kimbe mengi yanayoandikwa katika forum hii ni uongo. Huko Arusha ole Millya aliwadanganya Chadema kuwa Ana vijana 600 wa kimasai wako tayari kumfuata mpaka leo hakuna hata kijana moja aliemfuata. Bananga nae akaenda na ahadi ya kufuatwa na kundi la vijana 30 hakuna aliemfuata Ambako huko peke yake.. Chadema walivyoi na kiherehere wangepata wanachama 800 ngorongoro wangeonyesha picha. Kwa hili wanasema uongo kabisa aibu.
 
Thibitisha uongo uko wapi.Tukio ka kugawa kadi lilifanyika hadharani na waandishi wakashuhudia wakatoa kwenye vyombo vya habari.Umewekewa mpaka reference ya gazeti.Kinachosababisha ccm idharaulike sasa hivi ni kutokana na maneno ya hovyohovyo ya wafuasi wake kama wewe ulivyoandika ujinga hapa.
 
Toka jana hii imekuwa habari nzuri kwangu big up all, lets join hands to fight against CCMlism
 
Acha I uongo, huyu mchungaji alikoshwa Watu huko ngorongoro, alikutanana na Watu wasizizi 12 na kufungua tawi sasa wanachama 800 walikuwa wapi? Kimbe mengi yanayoandikwa katika forum hii ni uongo. Huko Arusha ole Millya aliwadanganya Chadema kuwa Ana vijana 600 wa kimasai wako tayari kumfuata mpaka leo hakuna hata kijana moja aliemfuata. Bananga nae akaenda na ahadi ya kufuatwa na kundi la vijana 30 hakuna aliemfuata Ambako huko peke yake.. Chadema walivyoi na kiherehere wangepata wanachama 800 ngorongoro wangeonyesha picha. Kwa hili wanasema uongo kabisa aibu.
Unaonekana wewe umetumwa na sisiem, halafu kajifunze kiswahili kwanza, then ndiyo uje upost pumba zako humu.
 
Acha I uongo, huyu mchungaji alikoshwa Watu huko ngorongoro, alikutanana na Watu wasizizi 12 na kufungua tawi sasa wanachama 800 walikuwa wapi? Kimbe mengi yanayoandikwa katika forum hii ni uongo. Huko Arusha ole Millya aliwadanganya Chadema kuwa Ana vijana 600 wa kimasai wako tayari kumfuata mpaka leo hakuna hata kijana moja aliemfuata. Bananga nae akaenda na ahadi ya kufuatwa na kundi la vijana 30 hakuna aliemfuata Ambako huko peke yake.. Chadema walivyoi na kiherehere wangepata wanachama 800 ngorongoro wangeonyesha picha. Kwa hili wanasema uongo kabisa aibu.
Majitu kama haya I wish kama ningekusaba kibao wewe, halafu nipo karibu na wewe angalia sana.
 
Nape hajaikimbia JF, anaingia sana ila kwa ID nyewngine. Hata hivyo ana VIBARUA wa kutosha hapa JF wanaompelekea ripoti ya yanayojiri hapa JF kila siku.

Hapo kwenye capital letters, wapo kina Rejao, Ritz1, Topical, nk!
 
magamba hayo yaliziama yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!
hakuna watu milioni nne ngorongoro!!! Kulingana na sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2002, ngorongoro kulikuwa na jumla ya watu 168,000 tu, annual growth rate ni 4.5%, je wamefika milioni nne??
 
Kama hakuna million 4 basi juwa kuwa hakuna 800 waliojivua gamba! Simpo. Ngojeni idadi ya watu itapofika million 4 mjaribu bahati yenu.
 
Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Hao 800 siyo wa Wilaya nzima, ni mkutano mmoja tu uliofanyika Ngorongoro mjini. Subiri Natse atakapozunguka Ngorongoro nzima ndiyo utajuta
 
Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

Hatupanii kuiua CCM bali kuipunguza, unataka kuileta CCM kwenye uwiano ulio sawa ili uwajibikaji uwepo.
 
Waendelee kukata matawi ila sisi CDM tuna mkakati mmoja tu wa kung'oa shina na mizizi yake then tunapanda yetu
 
hivi cdm isiposhinda uchaguzi 2015 hawa wanachama wote wanaohamia cdm kutoka ccm itakuaje..wataomba msamaha wajirudishe ccm ama? naona kila mtu anataka kula hapa!!
 
Back
Top Bottom