CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

Magamba hayo lazima yavuke. Vijitu 800 katika wilaya ya watu millioni 4 ni kama ushuzi wa ngomani, upo lakini haunusiki.!

1. Unatumia lugha ya matusi na maudhi...ustaarabu unatakiwa humu
2. Kama kwenye umri huu hujui kuwa si Ngorongoro tu, ila hakuna wilaya Tanzania yenye watu milioni 4,hustahili kuandika kwenye JF
3. Kwamba CDM imeisambaratisha CCM Ngorongoro au la ni suala ambalo wakati utatoa majibu
 
Back
Top Bottom