CHADEMA yaisambaratisha CCM Kyela

Kyela ipi wanayompenda mwaktembe wewe kijana, acha kutufanya mazuzu watu wa kyela ci tushajitambua kitambo,. Mwakyembe ashawai fukuzwa stend askanyage sasa we umetoa wapi upotoshwaji huu

Kyela ipi? We Kyela unaijua? au unaisikia tu redioni.... Nenda kamtukane Mwakyembe Ikolo, au Ipinda, tuone kama ujarudi na ngeu! We utakuwa mtu wa mbugani tu; huko kungine wala ata ujaenda.
 
simiyu una kazi nzito ya kupambana na kuitetea chama cha majambazi!!! Hivi UNAFANYA KAZI KWELI!

Anafanya kazi lakini customer care, halafu hakuna foleni za wateja ndo maana muda mwingi yupo Lumumba
 
CHADEMA kwao hata mbuzi wa mwanaccm wakienda kwenye zizi la mwanachadema wanasema CCM imebomoka ni watu wa ajabu sana.

Waziri wa propaganda wa Saddam Hussein alikuwa anakanusha na kupiga mkwara, "..Hawawezi kuingia Bagdad kabisa, tumejiimarisha na wakitia mguu tu mjini tunawateketeza wote...! Kumbe hana lolote wakaenda kumshika bosi wake kama panya. Wewe nawe ndo kama yule, ngome inabomolewa una sema, "kwani nguzo moja ikianguka ndo jengo zima!" Huoni kama unadhoofika..., endelea na kujifariji ila nakushauri ukae karibu na mlango wa kutokea. Ukiona lina anza kudondoka toka mbio la sivyo utakufa nalo!
 
Wajifunze kuandamana au kupigana bungeni sikuelewi make chadema wanaongoza kwa mambo machafu sasa nani ajifunze mambo machafu toka kwao.
Sasa ivi unajadili katiba mpya unafikiri ilitoka kwenye ilan ya chama gan? Magamba wanaweza kua na mtazamo wa namna iyo that's y tunawashauli wajiandae kuwa shupav ili watoe constructive idea
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela.

Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja.

Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo.

Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela.

Source:Tanzania Daima.

kumbe source ni Tanzania Daima?
 
Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,

umesema ccm imechoka lakini ccm inamiaka 50 lakini slaa anaumri mara mbili ya ule wa ccm hapa na kachoka na anapaswa kuondolewa?

Kwani mjumbe wa nec akiondoka ndiyo ccm imekufa akili yako kama ya lisu mkuu full kuropoka.

Wajifunze kuandamana au kupigana bungeni sikuelewi make chadema wanaongoza kwa mambo machafu sasa nani ajifunze mambo machafu toka kwao.

Kusanyeni tu masalia ila mjue mvua itawanyea tu hata pakutokea hamtapata.

Haraka haraka haina baraka mkuu.

CHADEMA kwao hata mbuzi wa mwanaccm wakienda kwenye zizi la mwanachadema wanasema CCM imebomoka ni watu wa ajabu sana.

Hizo ni ndoto za mchana wewe ukitaka kujua kuwa mwakyembe mtambo katie mguu kyela uone kiama chako kitakavyokuwa kikubwa.

Kwa nini mliovurugwa hamjifichi hasa wale wa kutokea bavicha.

Asiyekupenda mpende.

Katika Page moja wamepost watu 14 lakini wewe umepost 8 na zote hakuna hata kimoja chenye maana, sijui kama akili zako zimekaa vizuri na hii inathibitisha kuishabikia CCM lazima uwe na akili kama za Maiti na hili linajithibitisha kupitia kwako.
 
kumbe source ni Tanzania Daima?

''MAREHEMU WA TOHARANI:TUNAMHITAJI YULE DAKTARI WA MHIMBILI ALIYEONGOZA MGOMO TUKAFA AJE KUTUSALIMIA''

Hapo juu ni maneno yaliyopo katika signature yako nafikiri maneno haya yanadhihirisha jinsi ulivyojisahau na ulimwengu tulionao kwani waswahili walisema
""USITUKANE WAKUNGA UZAZI UNGALIPO""
 
Katika Page moja wamepost watu 14 lakini wewe umepost 8 na zote hakuna hata kimoja chenye maana, sijui kama akili zako zimekaa vizuri na hii inathibitisha kuishabikia CCM lazima uwe na akili kama za Maiti na hili linajithibitisha kupitia kwako.

Mzee wetu Mzindakaya japo alifisadi ardhi ya wananchi ana akili kuliko hili limandazi sijui mnaliita simiyu
 
Wewe twende polepole unaharaka kama unaoga nje,

umesema ccm imechoka lakini ccm inamiaka 50 lakini slaa anaumri mara mbili ya ule wa ccm hapa na kachoka na anapaswa kuondolewa?

Kwani mjumbe wa nec akiondoka ndiyo ccm imekufa akili yako kama ya lisu mkuu full kuropoka.

tunazungumzia CCM na siyo Dr. Slaa mbona huelewi wewe? Kwani humsemi Mangula
 
Hapa kwetu kyela neno CCM ni tusi kubwa sana huhitajiki utaje hadharani hata bibi angu pale Bujonde, mjomba pale Katumba Songwe hawalitamki tena,. Mwakyembe hapa analijua hilo

Siku hizi simsikii Mwakyembe. Yuko wapi?
 
Hizo ni ndoto za mchana wewe ukitaka kujua kuwa mwakyembe mtambo katie mguu kyela uone kiama chako kitakavyokuwa kikubwa.

muundo na mwendo wa Chadema wanafanana sana na ile ndege ya aina ya Dreamliner iliyotengenezwa na kampuni Boeng. kila leo matatizo na zinakuwa graunded. please keep dreaming, Kyela CDM never possible . thats theTerritory of Don Mwakyembe, na mkijaribu mtaaishia at the bottom of lake nyasa.
 
Sio kweli mtoa mada umekurupuka naona viroba vimekuelemea CCM kyela ipo imara under jeuri yenu Hunter Mwakifuna, Mwakyembe hamumuwezi kwa hizo cheap politics zenu wajumbe wa halmashauri kuu kutoka Kyela ni 1. Omega Mwakyelu 2.Mary Kapemba na wa tatu ambaye aliteuliwa na mwenyekiti Zambi ni Ali Kinanasi aliyeko nchini ujerumani kwa masomo yake. Hivyo hizo habari ni uzushi mtupu ulio ambatana na viroba. VIVAA CCM VIVAA
 
Ikolo ndo kwao mwakyembe, na navyongea nipo apa mjini kyela, sasa unabisha mwakyembe hakufukuzwa stenf pale
Kyela ipi? We Kyela unaijua? au unaisikia tu redioni.... Nenda kamtukane Mwakyembe Ikolo, au Ipinda, tuone kama ujarudi na ngeu! We utakuwa mtu wa mbugani tu; huko kungine wala ata ujaenda.
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo-CHADEMA kimeibomoa vibaya ngome ya waziri wa Uchukuzi Harisson Mwakyembe jimboni kwake Kyela. Hali hiyo imetokea baada ya mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mbeya Juma Mwalunga kujiunga na CHADEMA na kulaani CCM kwamba ni chama kilichochoka na kinapaswa kuondolewa madarakani mara moja. Kiongozi huyo alikuwa ni nguzo kuu ya CCM jimboni Kyela na ndiye aliongoza kampeni za CCM jimboni humo. Wanachama kadhaa wa CCM waliohojiwa kuhusu uamuzi huo wameshtushwa na kusema ni wazi CCM itazikwa Kyela. Source:Tanzania Daima.
hadithi za pwagu na pwaguzi, ata tahaira ukimwambia ataanza kucheka, ulipokuwa unapost ulikuwa chooni or unakunywa chimpumu? kweli akili ndogo kazi sana.
 
Sasa ivi unajadili katiba mpya unafikiri ilitoka kwenye ilan ya chama gan? Magamba wanaweza kua na mtazamo wa namna iyo that's y tunawashauli wajiandae kuwa shupav ili watoe constructive idea
teh teh teh ata muhuni naye anashauri wenye akili timamu? acha uhuni wako. kiplate
 
Back
Top Bottom