Itachukua muda mrefu sana neno ACT kufika huko. Litabaki mitandaoni na magazeti Dada ya Uhuru.
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.
Mbona kama vile hawawaelewi? Mmewashikisha ili muwapige picha!
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo
da imefikia hatua hats ukionyesha kila kitu bado MTU haamini sasa muhogo mchungu kinachoungua hapo no mini sada
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.
Hii sasa SIFA CHADEMA tena, yaani wanakijiji 270 duuh!!
na wewe kama vile huelewi si umeona na kadi za magamba zikila jehanamu hapo?mbona kama vile hawawaelewi? Mmewashikisha ili muwapige picha!
Ha ha ha haaaaaaa! Ama kweli Hiki kinazidi kukubalika sasa. Hata wazee vikongwe kabisa wameona huku ndiko kwenye nuru, safi sana