CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

Pigeni kambi hasa hapo Bukene,Mwamala,Sigili hili jimbo lote hata diwani mmoja wa upinzani halina.[/QUOTE]

Acha kamba basi Diwani kata ya Bukene ni kutoka CDM ambae ndie mwenyekit wa chama wilaya
 
CHADEMA ni chama makini chenye viongozi makini OPERASHENI FUTA DELETE CCM NCHI NZIMA imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana asanteni sana wananchi wa Bukene kwa imani yenu kwetu .
 
Mbona huonyeshi hizo Kadi za CCM zilizo rudishwa??? Acha uongo

Hizi hapa.

attachment.php
 
Hii ndiyo Chadema.Wendawazimu wanaodhani watafanikiwa kuhujumu Chadema kupitia vyama vibaraka vya CCM wanajidanganya sana.
Mwanahabari Mwenzangu ulishaonawapi konokono anashindana na duma Kwa mbio?
 
Mwanahabari Mwenzangu ulishaonawapi konokono anashindana na duma Kwa mbio?

Eti unaanzisha chama leo kwa lengo la kupambana na chama kilichojijenga kwa zaidi ya miaka 20.Huu ni ujinga wa hali ya juu.

Badala ya kuanzisha chama kwa lengo la kumkomboa Mtanzania kiuchumi wewe lengo lako ni kupambana na Chadema!
 
Hizo nidalili zakukata tama hata Mbwa akishajua hapati chakula tena anabaki akizurura jelalani nakinachofuata niviroboto na utitiri mwisho nikupata kicha sasa ukiona unaaza kutapatapa nakukimbia huku na kule nidalili za ukicha hizo
 
Kwa habari hii leo ntalala vizuri sana sio kila mara ACT,mara Zito,mara sijui Limbu achaneni na hao watu mnawapa sifa bure tu,ili mshinde nyie Chadema habari kama hizi za ukombozi ndizi zinazotakiwa kuhubiliwa muda wote ili watu waelewe.
Asante sana kwa taarifa!

Tarajia mengi makubwa zaidi ya haya.Chadema ni mpango wa Mungu.
 
Kwenye Uzi wenye ushahidi kama huu ma-misukule ya Lumumba huwezi kuyaona humu! Juliana Shonza (K kubwa), Simiyu yetu, FaizaFoxy, Mingoi, Lizaboni, and, the like!!
 
Pigeni kambi hasa hapo Bukene,Mwamala,Sigili hili jimbo lote hata diwani mmoja wa upinzani halina.

Acha kamba basi Diwani kata ya Bukene ni kutoka CDM ambae ndie mwenyekit wa chama wilaya[/QUOTE]

Anaitwa nani mkuu?

Kama Kuna diwani mmoja tu jimbo zima,sasa wewe unaona kuna upinzani kweli hapo?

It's negligible!!

Unajua Bukene ina kata ngapi lakini?

All in all upinzani kushinda Bukene kwa 2015 ni muujiza.
 
Acha kamba basi Diwani kata ya Bukene ni kutoka CDM ambae ndie mwenyekit wa chama wilaya

Anaitwa nani mkuu?

Kama Kuna diwani mmoja tu jimbo zima,sasa wewe unaona kuna upinzani kweli hapo?

It's negligible!!

Unajua Bukene ina kata ngapi lakini?

All in all upinzani kushinda Bukene kwa 2015 ni muujiza.[/QUOTE]
Diwan huyo namfaham kwa jina moja Sheikh Omary..idadi ya kata ziko15 kwahyo ni jambo linalohitaj nguvu za ziada..kwahyo kusema hakuna diwani si kweli
 
Anaitwa nani mkuu?

Kama Kuna diwani mmoja tu jimbo zima,sasa wewe unaona kuna upinzani kweli hapo?

It's negligible!!

Unajua Bukene ina kata ngapi lakini?

All in all upinzani kushinda Bukene kwa 2015 ni muujiza.
Diwan huyo namfaham kwa jina moja Sheikh Omary..idadi ya kata ziko15 kwahyo ni jambo linalohitaj nguvu za ziada..kwahyo kusema hakuna diwani si kweli[/QUOTE]

Nimekuelewa kwa uzuri mkuu.

Harakati za kweli zinahitajika.

Shukrani Sana.
 
Mkuu ule mpango wa Zitto Mnafiki wa kuingiza magari umefikia wapi? hebu nidokolee kidogo!

Mkuu Kila kitu utaanza kukiona baada ya uzinduzi.....

Pia Kuna taarifa kuwa wamepata Fungu kubwa sana kwa ajili ya uzinduzi, Na limeshaanza kutumia hata kugaramia matangazo kwenye TV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom