CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

Tuonyeshe hizo kadi za CCM zilizo rudishwa

attachment.php
 
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.Ipigie Kura ya ndiyo katiba pendekezwa ... APRIL2015.

Utawatambua kwa matendo na rangi zao. Ni vyema ungeandika "Ipigie Kura ya ndiyo katiba inayopendekezwa ya CCM" ningekuelewa zaidi.
 
Excellent! We are in North of the country and chadema is doing well... God's willing in October we will be declared winners in many constituencies.

Hatusikii cha usaliti wala propaganda chafu na mipango ya kuhujumu uchaguzi. Tunasongambele no matter what!

Hakika umenena.Chadema kwa sasa ni mbele kwa mbele.
 
Hao wajinga wamekubali kadi zao zichomwe na wahuni, ilhali Mzee Slaa ya kwake ameihifadhi sandukuni.

mjinga ni wewe!wenzio wametambua kuwa haiwezekani leo hii mgonjwa akalazwa hospital ya mkoa kama Mwanza-SEKOU TOURE alafu akakosa hata panadol na bomba la sindano badala yake anaandikiwa na doctor kwenda kununua nje(duka la dawa) na huku serikali inayotokana na chama chako ccm ikikusanya kodi kila mwaka na kodi hizo zikiishia mifukoni mwa wachache ndani ya hicho chama cha mbogomboga alafu unawashangaa waliorudisha makadi hayo,hakika wewe hamnamo kitu!
 
Kadi sio kura, mbona hata kwenye mikutano mnapewa kampani cku ya kura 25% ngoja act waje wachome za cdm idadi hiyo hiyo.
 
mjinga ni wewe!wenzio wametambua kuwa haiwezekani leo hii mgonjwa akalazwa hospital ya mkoa kama Mwanza-SEKOU TOURE alafu akakosa hata panadol na bomba la sindano badala yake anaandikiwa na doctor kwenda kununua nje(duka la dawa) na huku serikali inayotokana na chama chako ccm ikikusanya kodi kila mwaka na kodi hizo zikiishia mifukoni mwa wachache ndani ya hicho chama cha mbogomboga alafu unawashangaa waliorudisha makadi hayo,hakika wewe hamnamo kitu!

Wafuasi wa CCM wamepigwa upofu
 
Sisi tuna Mungu, acheni CCM na vibaraka wao act waimbe tarabu
 
Chadema imefanya operesheni kubwa mkoani Tabora jimbo la Bukene, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita bwana Afphonce Mawazo.

Katika operesheni hiyo Wanavijiji 267 Wamerudisha kadi za CCM na kuchukua kadi za chadema.

Akizungumzia kazi hiyo Kamanda mawazo alisema "Kazi ya Mungu inaendelea Jimboni Bukene,hapa ni Vijijini sana na mababu na mabibi wamesema yatosha''.

11078100_348021918735876_3114637145711800151_n.jpg
1897834_348021952069206_5165707398724445157_n.jpg


Kadi za CCM zilizorudishwa zilichomwa moto hapo hapo...Nilikuwa sitaki kuweka hii picha ila Kuna Matomaso huwa hawaamini bila picha
attachment.php



Hongera Chadema, tunahitaji mapinduzi kama haya Tanzania nzima.
 
Hili jimbo kuing'oa CCM kwa 2015 ni issue kubwa sana tena sana hata sijui sababu ni nini since enzi za Kahumbi.

2010 Seleman Zedi alishinda kwa 71% ya kura zote na hili ndo jimbo la mwisho kimaendeleo Afrika mashariki na Kati.

Pigeni kambi hasa hapo Bukene,Mwamala,Sigili hili jimbo lote hata diwani mmoja wa upinzani halina.
 
CDM jeshi kubwa, maccm na vibaraka vyao watatafutana mwaka huu.
 
Ni hatari, kazeni buti makamanda tupo nyuma yenu katika harakati za mapinduzi ya kweli Tanzania.
 
Nimeshasema Kadi zilichomwa moto....Picha angalia juu...Utomaso sio Tabia nzuri...
Unajua Kuna watu wengine hata kama wanakata roho huwa wanajifanya kama hawaelewi....Hiyo ndio CCM..
Hadi kijijini Wamefahamu Kuwa Chadema ndio Mkombozi wao

Mkuu ule mpango wa Zitto Mnafiki wa kuingiza magari umefikia wapi? hebu nidokolee kidogo!
 
Kwa habari hii leo ntalala vizuri sana sio kila mara ACT,mara Zito,mara sijui Limbu achaneni na hao watu mnawapa sifa bure tu,ili mshinde nyie Chadema habari kama hizi za ukombozi ndizi zinazotakiwa kuhubiliwa muda wote ili watu waelewe.
Asante sana kwa taarifa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom