CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

Point of correction:
Jimbo la Bukene liko kwenye Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega. Vinginevyo labda ubadilishe heading!
Otherwise hongera sana Makamanda wa CHADEMA.
 
Point of correction:
Jimbo la Bukene liko kwenye Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega. Vinginevyo labda ubadilishe heading!
Otherwise hongera sana Makamanda wa CHADEMA.

Kamanda Mawazo anaendelea kupiga kazi hapa Bukene-Nzega ziara ambayo ameianza Jana
 
Asante sana mkuu Standalone kwa taarifa.

Marekebisho kidogo tu ni kwamba jimbo la Bukene liko mkoani TABORA na Mbunge wake ndio yule Seleman Zedi.
 
Last edited by a moderator:
Point of correction:
Jimbo la Bukene liko kwenye Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega. Vinginevyo labda ubadilishe heading!
Otherwise hongera sana Makamanda wa CHADEMA.

Nashukuru kamanda..
Haya majimbo yanachanganya kweli.
 
Hongera kamanda Mawazo, CCM ni sikio la kufa. Makamanda tuendelee kuwakimbiza hawa jamaa hadi vijijini kwa kutumia fursa tulionayo ya kuaminika na kutumainiwa na watanzania wapenda mabadiliko.
 
Excellent! We are in North of the country and chadema is doing well... God's willing in October we will be declared winners in many constituencies.

Hatusikii cha usaliti wala propaganda chafu na mipango ya kuhujumu uchaguzi. Tunasongambele no matter what!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom