Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,582
Kweli mmechanganyikiwa, mlitaka mtonywe kabla ya mzigo kuingia au? Maana hapo Imekula kwenu , uchaguzi wa vijiji , maandalizi hayo, Kinana Anahangaika kuhonga media zote ........Mkuu kuuliza sio ujinga. Ungetusaidia sana kama ungetoa hayo majibu kwa faida ya wanajamvi wote tusiojua huu mchakato wa kupata pikipiki uliendaje.
lile jengo la uvccm limegarimu ngapi?
Ina nembo tu au mpaka Injini ina maandishi ya M4c ? Maana wapo wapenzi wa Chadema wameamua kuweka sticker hizo kwenye pikipiki zao ,Nimewahi kupanda boda boda (ya kukodisha) hapa Morogoro yenye nembo ya M4C. Sasa sielewi kama zinaruhusiwa kufanya kazi hiyo, au vipi?
bei yake inakuhusu nini au umekosa mgao wa ESCROW? CHADEMA 4lifeHizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
Masada wa Denmark ni mkataba uliosainiwa last week , pikipiki zinaagizwa , huwezi order leo na kesho ukapata , wewe ulitaka mhasibu awe nani?nani alikuwa mhasibu wa kudraw pesa wakati wa kununua.na je pesa hizo ni ruzuku ya chama au ni ule msaada wa pesa za DERNMARK.NAOMBA NIPEWE TAARIFA
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
Ina nembo tu au mpaka Injini ina maandishi ya M4c ? Maana wapo wapenzi wa Chadema wameamua kuweka sticker hizo kwenye pikipiki zao ,
Zimeshaenda mikoani tangu juzi , ndio picha zikaruhusiwa kuwa released , Asante kwa ushauri , kesho au keshokutwa mtaona zikiwa assembled kwenye mikoa mbalimbaliUshauri wangu kwa Mohamed Mtoi, hizo pikipiki fanya mpango wa kuziweka sehemu tofauti badala ya kuzirundika katika sehemu moja. Tatizo ni kwamba hii habari si nzuri hata kidogo kwa Maintrahamwe na yule gaidi namba 1 anaweza kufanya mpango zichomwe moto kabla hazijasambazwa kwenye kanda.
Take my advise seriously, la sivyo majuto yasije kuwa ni mjukuu.
Tiba
Noted , thanksKwenye injini sina uhakika. Niliona nembo pale mbele. Labda ni ushabiki wao tu?
UNATAKA KUJUA ILI NINI? Zinakuhusu nini au siku hizi CHADEMA ni topic ya siku kwenu
Zimeshaenda mikoani tangu juzi , ndio picha zikaruhusiwa kuwa released , Asante kwa ushauri , kesho au keshokutwa mtaona zikiwa assembled kwenye mikoa mbalimbali
CHADEMA walivyo na siasa za kitoto wanaweza kuzichoma ili ionekane ni CCM. Kama walichoma ofisi yao wenyewe na kuanza kulalamika ni CCM, hili watashindwa?.By Tiba
Ushauri wangu kwa Mohamed Mtoi, hizo pikipiki fanya mpango wa kuziweka sehemu tofauti badala ya kuzirundika katika sehemu moja. Tatizo ni kwamba hii habari si nzuri hata kidogo kwa Maintrahamwe na yule gaidi namba 1 anaweza kufanya mpango zichomwe moto kabla hazijasambazwa kwenye kanda.
Take my advise seriously, la sivyo majuto yasije kuwa ni mjukuu.
Tiba
Sawa kabisa wala hujakosea baereze baelewe!CHADEMA inapokea mamilioni ya fedha kutoka serikalini kila mwezi(ruzuku) , mimi kama mtanzania na mmoja wa walipa kodi ninapaswa kujua fedha hizo zinatumikaje.