Safi ni hatua moja nzuri sana katika ujenzi wa chama , poleni sana pro magamba najua hii habari inawachoma sana.
Kama ni za ofisi zitazalisha migogoro tu, ccm arusha wanakopesha vijana watano pikipiki moja, marejesho 30,000/= kwa mwezi. Ukifanya multiplier effect hao watano wanaweza kuwa zaidi ya wapiga kura 50. Anyway, chama ni kichanga wafanye wawezavyo ila wakumbuke pia 'kugusa matumbo ya watu'.Wanakopeshwa watendaji!!!!?????
Zinakuwa za ofisi!!!????
Ufadhili au pesa ya ndani!!??? Kama ufadhili wa nani na makubaliano yepi!!!!??????
Operation mode please na expected maintenance costs !!!!!
A matter of sustainability.....otherwise it is a good move!!!!!
Utakoma, umeishiwa Umbeya sio ? Nendeni TRA mtapata taarifa zote, mbona mna kuwa kama sio watawala ?
Chadema ina vichwa vinachemka hasa! Ndio maana nawapenda japo sina kadi ya uanachama! haya ndiyo majibu. Mwenye serikali analialia badala ya kuchukua action! Pambaf
Kuna kampuni moja inayomilikiwa na MTEI.
Hii ni hatua moja kubwa sana na mwanzo!
Angalizo!
Kanuni ya Ugawaji wa hizi Pikipiki ziwe shirikishi kwa maana ya Sifa itakayo zingatiwa kwa Kanda husika na viongozi wake kufanikiwa kupata ngawo wa hizi piki.
Ushari wakati vitendea kazi hizi vinakabidhiwa ni vizuri Makao Makuu ya Chama ikawekeana Mkataba na Kanda husika kuwa malengo ya kuletwa kwa Pikipiki hizi inatekelezwa hivyo Mkataba ueleze lini kila kanda itarejesha taarifa ya utekelezaji.
Maeneo muhimu sana kuelekea 2014-2015;
-Uhakiki wa Wanachama
-Uandikishaji wa wanachama wapya.
Uandishaji wa watanzania na hasa wanaCDM wenye Umri zaidi 18yrs lakini hawana Kadi ya Kupigia kura ya Tume ya Uchaguzi- ilikuwasilisha Malalamiko na hata ikilazima kufungua Kesi Mahakama Kuu kudai haki hii ya Msingi ya kuwa na Uhuru wa kumchagua/kuchagua viongozi.
CC. Mohamedi Mtoi , Kurugenzi ya Habari Tumaini Makene , Ben Saa Nane
Mp Kalix2,
Mkataba Upo na una details za kutosha pamoja na Mwongozo wa Matumizi ya Raslimali za Chama.Uko very Professional

Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
Hizo pikipiki kila moja imegharimu shs ngapi?
ENOK ndio jina lakoKuna ufisadi mkubwa sana kwenye mchakato wa manunuzi ya hizo pikipiki, ndio maana tunahoji.
Tumepewa na ccm.Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.
Ben huyo unayemjibu ana sura ya CCM au masaliaMSALANI,
Taarifa itatolewa Rasmi Kwenye Vikao kupitia vyombo vya uwakilishi katika uendeshaji wa chama yaani sekretarieti,Kamati Kuu na Baraza Kuu ambavyo vipo kwa niaba ya wanachama,wapenzi na Wafuasi wa CHADEMA na harakati za Mageuzi kwa ujumla
Teh teh teh subiri matusi kutoka ufipa!Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.
Hapa hakuna mambo ya UDAMp Kalix2,
Mkataba Upo na una details za kutosha pamoja na Mwongozo wa Matumizi ya Raslimali za Chama.Uko very Professional